morning .
jamani wapendwa mimi huu nauita unafiki, yaani umeachana na mtu miaka kadhaa iliyopita iwe ye mkosaji au we msababishi lakini maisha yaliendelea, n i always avoid kuachana kwa bifu na...
Habari zenu wanajamvi wote
Natumaini mu-wazima wa afya njema na mnaendelea vizuri katika shughuli, kazi, masomo
na hata mihangaiko ya dunia hii iliyotuzunguka.
Awali ya yote napenda kusema...
Katika hatua ambayo Vatikani imesema inaonesha uwazi zaidi, Papa mpya alizungumza na mamia ya waandishi wa habari na alisema alichagua jina la Mtakatifu Francis wa Assisi kwa sababu alikuwa...
Marekani,Washington. Waathirika wa vitendo vya unyanyasaji wa ngono waliobakwa na kunajisiwa walipokuwa wakihudumu katika jeshi la Marekani walitoa wito wa kufanyika mabadiliko ya kimsingi katika...
Hiyo hapo juu ni sura ya mwanamke. Ni sura ambayo pengine umeshakutana nayo mahali au ambayo unaijua vizuri. Kama kuna mwanamke mwenye sura ya aina hiyo, ambaye unamjua vizuri au ambaye uko karibu...
Kisa cha kweli..
Tayari kwa kulazimishwa nimekuwa yatima,nilikuwa kwenye msiba wa rafiki yangu mkubwa Mama yangu.ALIPIGANIA maisha yake vya kutosha lakini ugonjwa wa kansa ya matiti...
Habar zenu wna jf naomben ushaur kwa jambo hili. Nilikuwa ninamchumba ambaye 2lipendana xana yn nilimpenda kwa dhati lkn mwisho wacku akanipgia cmu akaniambia niachane naye bt ckumkosea ki2. Mm...
Ilikua ni weekend tulivu jijini arusha tukiwa vijana kadhaa na mabinti kadhaa tunapata mbili tatu na kitimwaa' kwa ajili ya mtoko wa usiku ambapo tulipanga kwenda club mpya hapa arusha maeneo ya...
jamani wana jamii, hivi ni kabila gani nasikia ukiwapa pesa wafikishe sehemu, pesa inafika salama, lakini ukiwaachia mke wako wamsindikize hata sehemu lazima wamchakachue hata kwenye majani ...
IGWEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Yaani juzi ile siku ya wanawake duniani nilishindwa kuandika hii mada ila leo imenilazimu! Yaani wanaume ni watu katili sanaa na wanawake tumeonewa sanaaa na...
Habari yenu MMU members,
nawashukuruni sana wale wote waliochangia kunishauri kuhusu yule msichana ambaye alikuwa analala kwangu sometimes ila alikuwa anamuota ex boyfriend wake pamoja na kufanya...
Does sex addiction exist? Mie sio medical doctor wala sio Psychologist lakini uzoefu wangu katika maisha nimekutana na watu ambao wako addicted na sex.Ila kwa ukweli sijui kama kuna solid...
Hawa ni wanawake ambao wanakuwa wameshapevuka kimawazo na mtazamo kuhusu mapenzi na maisha kwa ujumla. Hawaangalii sura, mavazi, fedha wala starehe, bali huzingatia yule ambaye anaweza kumfanya...
Nimeishi na mwanamke zaidi ya miaka 10, sijafanikiwa kupata nae mtoto,Amekuwa mkali,mkorofi,anaweza kuamka asubuhi kanuna hata bila sababu, Imefikia mahali kwa maneno yake anataka kuhalalisha kuwa...
Title imejieleza,
Vigezo na masharti vizingatiwe:
-Awe kuanzia mid 30 lkn Serengeti Boys pia watafikiriwa depending na mtu atakavyojinadi
-Awe tall
-Awe intelligent and open minded
-Awe mascular...
Mambo vipi watu wangu wa ukweli,
hope mko poa!
weeknd imekaaje? pande zipi!!!
Me niko poa,
Kesho ni birthday yangu kwa mwaka 2013, naichukulia hii weeknd kama ni best weeknd kwani ina tukio la...
MMh, sijui kama nitaelezea kwa ufasaha.
Ila nalenga kwenye mahusiano ya kimapenzi zaidi.
Kuna hii tabia ya baadhi ya watu 'kuji-brand' kama bidhaa ili kwendana na soko la eneo hilo hasa...
Wapenzi salaam,
Nina mkasa, au jambo ambalo linamsumbua dada yangu kwa kiasi kikubwa sana,nimeshare nanyi kwa kuwa najua kwenye wengi hakukosekani busara na majibu ya maswali magumu.
Nina dada...
Habari zenyu bhana.....
Je kumuachisha mwanamke kazi au biashara na kumuweka nyumbani awe mama wa nyumbani ni solution ya kumuepusha kutoka nje ya ndoa?? Make kuna wanaume wanadai wake zao...
Ilikua ni jana mida ya saa3 na dk hv, nikiwa kituoni nimechoka balaa. Nilikuwa nasubiri magari yanayoelekea kwetu. Nilikuwa nimechoka kiukweli, coz usafiri ulikuwa shida sana.
Pembeni yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.