Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
'MARRIAGE CERTIFICATE NDIO CHETI PEKEE AMBACHO HUTOLEWA BILA MTU KUFANYA MITIHANI' karibuni kwenye ulimwengu wa NDOA
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tangu juzi nimepoteza kabisa mapenzi kwa mke wangu kutokana na matatizo yake na sitaki hata kuongea na kwani bado nina hasira sana na yeye naisi nikiongea naye atanijibu kitu kibaya nikafanya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kazi ambayo sitamruhusu mpenzi wangu aifanye ni _______________ 1. Baamedi 2. Mcheza shoo 3. Mlinzi 4. Bongo movie 5. Modelling 6. _________ (jaza nyingine)
0 Reactions
43 Replies
3K Views
Between 18 and 22, a woman is like Africa. Half discovered, half wild, fertile and naturally Beautiful! Between 23 and 30, a woman is like Europe. Well developed and open to trade, especially for...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
..while everyday here tunasoma vibweka na sarakasi za wanandoa,wachumba,marafiki na vimada but still life should go ON!! just to inform you lara1 na wenzako that nimefanya booking ya wedding...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
mpenzi wangu ananiambia tuachane bila sababu na sijawahi hata kumwambia swala la kufanya mapenzi lakini basi tuu ananiambia tuachane bila kosa lolote nifanyeje maana nahisi kuchukia mapenzi
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Nauliza mujuao, Mulio na nyingi fani Watu na elimu zao, Magwiji na Magogeni Nimekwama hadi leo, Mebaki mushkelini Unaopenda ni moyo, Au akili kichwani? Wengi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni ushauri kutoka kwenu wana jamii...maana nina rafiki yangu...yeye anapenda sana totoz ila hasa wake au wapenzi wa watu wa karibu naye hasa mabest zake...sasa amenisimulia hali hiyo pamoja na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
mimi ni msichana ninakaa na baba mtoto wangu hatujaoana lakini tunamtoto wa miezi mitatu sasa, baba mtoto wangu ni kijana ambaye anajipenda sana yani yupo very smart sijawahi kuona kijana...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Wapendwa wana jamii naomba nifike kwenu japo kwa neno la faraja na ushauri maana mpenzi wangu tumekuwa pamoja kwa muda wa miaka miwili sasa...takribani miezi miwili kuna siku nilimshauri tabia ya...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Salaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam.................. Yamenikuta jamani. Nikweli nampenda kwa dhati hata yeye ananipenda kwa dhati kiufupi ni kwamba tumeshibana I mean we are in deep love. Hivi...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Ogopa Sana Mtu Anayekuwa Na Wewe Kwa Sababu Haoni Chaguo Lake. Adhabu Yako Ni Kubwa Mbele Ya Safari Ingawa Unaweza Kujiona Upo Kwenye Bwawa La Asali Mwanzoni. Kiama Chako Ni Pale Atakapomuona...
11 Reactions
62 Replies
15K Views
Ni kitu gani hutokea hadi mtu una deny jambo ambalo ni facts hasa mwenye mahusiano? what makes our eyes and ears closed?? kwa extent ya kuja kujuta baadae?? je mtu una deny jambo kwasababu gani...
9 Reactions
69 Replies
4K Views
Researchers from the University of Cambridge and Microsoft Research have been quietly (and innocuously) collecting data on Facebook user likes and personality traits using applications like...
7 Reactions
11 Replies
2K Views
Hii ni kwa wanaume na wadada pia mnaweza kuchangia Hivi mwanaume mwenye mapenzi ya dhati kwa mpenzi wake ambaye anataka awe mkewe (yaani afunge naye ndoa) ana act vipi kwake? kimatendo...
2 Reactions
25 Replies
10K Views
Ninakushukuru Mungu Baba Mwenye Enzi, muumba wa mbingu na nchi utupaye uzima na kutujalia shibe. Ninakushukuru kwakuwa umenijalia kuifikia siku hii ya leo muhimu ninapotimiza nusu karne duniani...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
wakuu demu wangu kaamua kuniacha , nipo nae hu n mwaka 3, na mwez 1 this year alinitambulisha kwa mama yake , na mama yake maneno aliyotuambia muheshimiane , msichezeane alafu mkashindwa kufika...
0 Reactions
51 Replies
9K Views
Asalam aleikhum wanaume wote. Wanaume wengi wa mujini wamekuwa wakisifiwa sana na watu back kwa ukarimu wa bia, michango mikubwa ya send-off/harusi na kwenye sector ya kula bata. Napenda...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimekuwa nikisema kwamba wanawake ni wakatili sana, nao wakaja juu na kusema kwamba eti wanaume ndo wakatili zaidi. Sasa haya anayafanya nani? Wanaume tunapigwa, tena kisawasawa tu, watoto ndo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana JF, Kuna thread nyingi sana humu ambazo wanawake wamedai wanawapenda wanaume wenye pesa, magari and kupenda kuolewa na mwanaume ambaye ana nyumba, tena sio hiyo ya pale Gongolamboto au...
7 Reactions
81 Replies
7K Views
Back
Top Bottom