Haya ni maneno yaliyosemwa na papa mpya Jorge Mario Bergoglio,alipo mwandikia mpenzi wake Amalia Damonte wakati huo wakiwa na umri wamiaka kumi na mbili,kwa bahati mbaya lengo la papa FransisI la...
Hebu fikiria mwanaume anatoka kazini na anapofika nyumbani tu anakutana na ‘kiama' cha maneno na lawama au kero. Baada ya madhila ya kazi ya kutwa nzima ya kutafuta riziki kwa ajili ya...
Ni jioni ya leo nimekaa kwenye kibaraza na Laptop yangu. Mara anatokea mtoto wa kike umri miaka kama
nane hivi mtoto wa jirani yangu, anasoma darasa la tatu.
Akaniita "Uncle plato shikamoo...
Habari wanajamvi wenzangu hapa MMU
Napenda kuwapongeza wale wote ambao kwa namna moja ama nyingine wamekuwa nami
kila ninapotoa thread humu mjengoni, napenda kuwashukuru marafiki...
::
Kijana mmoja ambae alikuwa akimpenda sana msichana wake.
Alimpa ahadi nyingi,
Alizoea kupiga simu sana,
Alipenda kumtembelea sana,
Alikuwa wa kwanza kuomba msamaha hata kama kosa si lake...
Hehehehhe...dah! kwa kweli nimecheka sana mbavu sina........ dogo kaulizwa na mchumba wake, yaani mke wake mtarajiwa.......alafu mbaya zaidi kikao cha kwanza next month.
Dogo hana...
watu wengi walio kwenye mahusioano ya kimapenzi hasa ndoa kwa kawaida huwa na marafiki wa karibu ama wa kazini, majirani, wa kanisani/misikitini n.k. Unakuta unaishi vizuri na mpezi wako na...
Kuna mdingi kaambiwa hivyo na binti yake baada ya mke wa huyo mzee kujifungua. Huyu mzee ameoa dogo dogo ambaye amepishana miaka mitatu na bintiye wa miaka 27 na ye ana 56. Mzee ana watoto wengine...
Ni saa mbili na nusu usiku tumemaliza kula chakula cha usiku, tunaangalia nae Luninga kwa pamoja huku akiwa amelaza kichwa chake kwenye paja langu. Ukimya unatawala kidogo, mara ananiita mama...
Halow wandugu,
Ilikuwa Jumapili usiku aliposhikwa na uchungu mida ya saa nane. Niliona ni jinsi gani uchungu unavyowauma wanawake, nikampeleka hospitali fulani ya masista mbezi alikaa mpaka...
Hi Mujumba. My name is Alfred( not real one). Been married for 3 years now. In all these years, my wife has been the quiet type and am always the one who takes the initiative even in the bedroom...
The average woman cannot keep a secret for longer than 47 hours, a new study suggests.
Researchers found that women are overcome by a burning desire to share gossip as soon as they hear it...
Wakuu,
jana nilikutana na ex-girl wangu! its was unexpected...alikuwa kwenye ishu zake na wenzake 3.
tulisalimiana fresh na aliwatambulisha friends
zake!
cha ajabu aliwaambia mi n kaka yake...
Wanaume wenzangu oyee! Shwari?
Naomba wanaume wenzangu mtambue tabia za dada zetu, wake zetu na mama zetu.
Katika kila siku tatu mpaka tano katika mwezi dada zetu, wake zetu na mama zetu huwa...
Jamani atanifanya siku nimdunde mpaka nimng'oe jino ndio heshima itafuata mkondo wake maana kwanza anagubu kupita maelezo yani ataongea kila kosa ulilomkose hata kama ni miaka kuimi na mara ya...
Quoting from Steve Harvey book
The only way woman can truly be completely satisfied is to get herself four different men--an old one, an ugly one, a Mandingo, and a gay guy
1. The old man...
Wana Jf,
Nipo na mtu wangu ambae nampenda sana na naamini na yeye ananipenda. Tupo katika mahusiano ya miaka mitano. Nimegundua sasa kuwa ana mtoto wa nje ya ndoa, habari niliyoipata wakati wa...
Wiki iliyopita nilipita mahali na mtoto wa kike wa "Class mate" wangu, jamaa zangu waliniuliza kama "natoka" naye, nilishangaa sana. Kweli binti yuko mwaka wa tatu Chuo Kikuu na kwa umbile lake...
Wana jf nina mpenzi wangu jamani anamatatizo sana.mm sina kazi hapa nilipo.nikiona tangazo la kazi huwa sichoki kutuma maombi.nikishindwa kutuma basi sina hela yakukamilisha zoezi ilo.ila huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.