1. Huna muda wa kushinda na mpenzi wako kutwa nzima mkipiga stori za mapenzi
2. Ukihitaji kufanya mapenzi mahali unakokufikiria ni kitandani
3. Unaanza kujaza friji lako kwa vyakula zaidi...
Siku kama ya leo tar.17/3/2011 baba yangu aliaga dunia.
Alikuwa ni mume mzuri kwa mama yangu,baba mzuri kwa sisi wanawe,mtani mzuri kwa wajukuu zake na watu wengine na mshauri mzuri kwa jamii...
Habari ya jumapili wadau,poleni na kwaresma,Namshukuru Mungu san asana kwa siku hii ya leo,na somo la leo.Basi yesu akawaambia na asie na dhambi kati yenu aanze kumpiga mawe,hakuna alie jaribu...
In China, a man divorced and sued his wife for $120,000 for being ugly and won the case.
Source : ASIA - Chinese man who sued wife for being ugly awarded $120,000
::
Kosa lako la kwanza ni wewe kuniacha.
Kosa lako la pili ni kunipa nafasi nijue naweza kuishi bila wewe.
Asante kwa kosa lako la pili
::
Kosa lako la kwanza ni wewe kunizoeza maneno matamu...
wanaumeeee
inasemekana kuwa wakina dada wa IFM na ustawi wa jamii ukiwa na promise nao, haji peke yake wanakuja jopo lengo kukukomoa, ndo tabia yao
jamaa yangu mmoja yamemkuta ijumaa ya jana...
Habar wa jf najitokeza kwenu kuomba ushauri kwenu kwani nipo njia panda mi kijana wa miaka 24 ni mfanyabiashara mdogomdogo nilikuwa na mpenzi wangu x ambaye nilikuwa nampendana sn! Lkn yeye...
Wanajamii naombeni mtizamo wenu kwenye hili:
Mim ni kjana nimeoa na nina mtoto 1 na ninafanya kazi serkalin, sasa ofisin kwetu kuna mdada kaolewa kwa sasa ana watoto 2 na huyo mtoto wa pili...
Kuna jambo ambalo ni gumu sana kwangu na huwa najiuliza sana ni hili la mwanamke -------,Swali je huwa wanawake ------- wapo na kama wapo unamjuaje nauliza hivi kwakuwa sijui na inawezekana...
Hapa nipo kwenye kikao cha kupokea mahari. Sasa huyu jamaa anaye oa kwetu ni mkurya. Amepangiwa mahari ambayo nisingependa kusema ni kiasi gani. Jamaa yeye amesema yupo tayari kutoa ila atatoa...
Masturbation and Evil
Masturbation is evil
Evil is masturbation
Masturbation is mastersatan
Mastersatan is masturbation
Masturbation is sin against self, spouse and God...
Watu wengi wamekuwa wakisingizia shetan anaaribu maisha yo;;penginw kwa kuwa aongei subiri ukimkuta uko utajua ulimsingizia mara ngap;;;tuje kwenye mafa wapendwa kuna watu wengi wamekuwa...
Habari ya jumapili wadau,poleni na kwaresma,Namshukuru Mungu san asana kwa siku hii ya leo,na somo la leo.Basi yesu akawaambia na asie na dhambi kati yenu aanze kumpiga mawe,hakuna alie jaribu...
Naomba msaada ndugu niko na kamkutano cha kurudisha ndoa ya watu kwenye mstari wanabishana muda wa kurudi nyuumbn just like dat;;hii ni kwa wanandoa na wale wanaoishi jinsia tofauti nyumba moja...
jana nilikua coco beach kama mjuavyo weekend ikianza na masham sham yake basi katika pumzika pumzika macho yakangona na bint mrembo alieketi mita chache nilipigwa na butwaa la mahaba...
study has revealed that millions of women consume alcohol before having sex because they lack confidence in their bodies.
In the survey of 3000 women aged 18-50, almost half of those quizzed said...
NASEMA KUONJWA NIKIMAANISHA BADO UJAAPATA MPANGAJI;HIVI USHAFIKIRIA SWALI HILI MPAKA MTU AOLEWE UNATALKIWA UMEPITIWA MWISHO MARA NGAPI?na Kama akuna KANNUNI MNAONAJE TUKAWEkA ZA KUWASAIDIA MADADA...
Upendo maana yake ni kumkubali mwanadamu mwenzako bila kumlinganisha au kumpa sharti lolote,unamkubali kama alivyo
'
Kwa maana hiyo ndogo tu unaweza tu kugundua kuwa hujawahi kumpenda yoyote...
Nimezaliwa mkoa wa mara miaka kadhaa iliyopita katika familia ya watoto 6 watoto 4 wa kwanza ni wakike huku wavulana tukiwa 2 na mimi ndo mkubwa, Nikiwa darasa la 6 dada zangu wawili waliolewa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.