We are in the conflict (b'se he's cheating me) right now. Can I change the locks? Legally do I have to let him back into the house? Can he call the police (justice community police) and have them...
mpo ndani ya ndoa kwa muda wa miaka 7! tangu mfunge ndoa na mmebaatika kupata watoto wawili! ghafla mmoja wenu mme/mke anagundulika ana HIV+ je ukiwa km mume/mke uammuzi gani utachukua? wewe ambae...
Mimi ninampenzi wangu ila tuko mbali huwa tunawasiliana tu,,tatizo ni kwamba nilikuwa nikimpigia sim hapokei kwa takriibani wiki mbili hivi baada ya hapo alinipigia sim nakunieleza eti alikuwa...
Natumaini hamjambo wanajamvi wenzangu
Awali ya yote nimejisikia vizuri kuwa mmojawapo wa wale wanaoweza kuthubutu kufanya kitu na kikawezekana.
Leo tena nimekuja na jambo au mada hapo...
Je, kujamiiana huondoa msongo wa mawazo kwa wanawake?
UTAFITI uliofanywa na Chuo Kikuu cha State cha jijini New York nchini Marekani unaeleza kuwa manii ni nzuri kwa wanawake kwani huwaondolea...
Ndugu zanguni wapendwa leo naomba niwasilishe hili suala ambalo limekuwa likinitatiza kwa siku nyingi sana kichwani mwangu.Suala lenyewe ni suala la kujitunza kwa msichana au mvulana mpaka siku ya...
Jamani tumesalimika ndugu zangu?
Nina hili jambo huwa naliwaza sana na labda sielewi kwa nini watu wengi wana mtazamo tofauti na ninavyoamini mimi...
Ni hili swala la marafiki wa kuambatana nao...
Unafanya nini unapohusiana na mpenzi wako bila kuchunguza ya ndani zaidi na kuwa na muda mzuri wa urafiki (kama ambavyo mahusiano mengi ya sikuhizi yalivyo) halafu mnafikia kufanya maamuzi mazito...
Hiv mchumba mzur ni yule unampata kutoka
sehem gn?
1.Shuleni
2.Njian
3. Ofisin
4.Ndani ya basi /meli/ndege
5.Msibani
6.Aliyekosea namba ya simu
7-Kanisani/sehemu za ibada
8-Wa facebook...
Habari zenu wadau wa MMU
Kwa mara ya kwanza naingia jukwaa hili kuomba ushauri juu ya kile kilinikuta;
Mnamo mwaka mmoja na kitu umepita nilikuwa home tz kwa bahati mbaya au nzuri nikagongana...
kuna baadhi ya w/mme ni wadanganyifu sana, ana mke na wtt ila anakwambia ningekuta na ww mapema nngekuoa! Hvi huwez kumtongoza mdada bila kusema haya! Hvi ma gents 2juzeni mnajuta kuwah kuoa baada...
Hivi ni kweli wanaume ni wengi kuliko wanawake?na ni kweli wanawake wengi hawajisikii vizuri endapo hawajaolewa au hawapo kwenye mahusiano fotauti na wanaume ambao ni single?
Help, I hate my husband and he wont leave. what do I do now? I have told him over the past 2 days I want a divorce but he doesn't. I don't want counseling I just want him to...
Habar za muda huu wana jamvini, me leo nilikuwa naomba kuuliza eti ukifanya tendo la ndoa ni dawa, maana me siku nikiamka bila ya kupewa tamu(sex) na my wyf bas siku hiyo nikienda kazin nakuwa...
Sura hiyo hapo juu ni ya mwanamke. Hebu itazame vizuri sana, kuanzia midomo, pua, macho na paji la uso. Hiyo ni sura ya mtu wa namna gani kitabia na je, umeshawahi kukutana na mwanamke mwenye sura...
Habari wana jf.
Mimi ni mwanafunzi ambaye mwaka huu natarajia kujiunga na kidato cha tano. Nina mwanafunzi mwenzangu ambaye yeye tatizo hili la vikwazo vya mama wa kambo vimemkabili. Story kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.