Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Chabo ni ugonjwa unao watesa watu wengi sana. Oneni huyu kijana ambavyo amezuzuka kwa ayaonayo. Haogopi tena hatari iliyopo nyuma yake, watu wanaweza kumpigia keleleza mwizi. Sasa naanza kuamini...
3 Reactions
13 Replies
4K Views
Ilikuwa ni jumamosi mnamo mwaka 2012 nilipokuwa kanisani nikishuhudia ndoa ya rafiki yangu. Ilifika mda wa kufungishwa ndoa na mchungaji.......hapo ndipo nilipoacha mdomo wazi Msichana alikataa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
habari yenu wakuu,juz nilisikia mdada mmoja akijitamba kwa mwenzie kuwa jamaa yake ana kifua kikubwa na vinyweleo vingi kuliko wa mpenz wa mwenzie kiukweli nikaona niwaulize kama wadada hupenda...
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Wana MMU heshima kwenu binafsi ningependa kujua ivi chabo ina faida gani? kwa wasio elewa ni nini maana ya chabo, ni "kile kitendo cha kuchungulia watu wakiwa faragha." watu ambao inasemekana...
2 Reactions
67 Replies
13K Views
High heels were originally made for men, It was a sign of virility, masculinity and high status. Source:BBC News - Why did men stop wearing high heels?
11 Reactions
51 Replies
10K Views
Unaweza kufunga shughuli zako,au kuomba ruksa kazini kwako kama tu utasikia au utapewa taarifa kuwa mtu unaemfahamu amefariki au amefiwa na ukaenda msibani hata kama ni mbali ' Lakini inakua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
''Alidhamiria kunichoma kisu kama sikukwepa leo hii mimi ni ningekuwa marehemu''' haya ni maneno kutoka kwenye kinywa cha mwanandoa mmoja ambaye ni rafiki yangu sana.huyu rafiki yangu mwanzoni mwa...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Ni mahusiano ya miaka saba, na mtoto wa miaka 5, hawajaoana Mwanzoni wa mahusiano ndugu za mwanaume hawakumtaka mwanamke kwa kuwa ana imani tofauti, lakini mwanaume aling'ang'ana wamejenga...
5 Reactions
48 Replies
4K Views
binti mmoja wa kuoa jamani!
0 Reactions
3 Replies
874 Views
Habari zenyu wana Jf. nimewahi kuwa na mahusiano na mabinti kadhaa. kwenye kutimiza mahitaji ya msingi huwa nasimamia ipasavyo. Yaani sina mkono wa birika. Tatizo nipale baaada ya lile tendo...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
wadau hebu nisaidieni hili maana nimenishangaza sana leo na hata sijui nyie mtalichukuliaje hususani wanandoa. ni hivi nilikua na friend wangu tunapata soga mbili tatu muda uende kila mtu...
1 Reactions
47 Replies
4K Views
mtakumbuka niliwah weka thread ya kutafuta mwenz wa maisha..ingawa ckusema but moyon niliahid ntakapompata ubavu wangu wa kweli bas nirudishe ripoti kama ambavyo jf mlijua kuwa natafuta mwenz...
4 Reactions
73 Replies
5K Views
Kwa huruma tu hamjambo! Jitu limekutenda weeee,limeuscratch moyo wako kama Vocha,unachoka unaanza mbele maisha yako yaendelee.Ghafla lile jamaa linarudi kama limesahau chenji bar,Anakufuata,analia...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Miongoni mwa ndugu, jamaa na marafiki wanaoishi mbali mbali yupo ambaye analazimika kuwajulia wenzake hali au yeyote anaweza kumjulia hali mwingine? Nahitaji kujuzwa maana wapo wanaoona...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimegundua kuwa ukitaka kujua tabia halisi ya mpenz,rafiki na ndugu yako subiri apate pesa za kutosha. je kuna ukweli wowote juu ya hili jambo?
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Heheheh...kwa kweli huku duniani raha kweli.... hawa mabinti hapa ofisini wanamkandia kuna dogo kaajiriwa hapa kama mwezi hivi sasa...huyu dogo anagonga ng'eli mda wote, mpaka raha yani ......ila...
5 Reactions
50 Replies
3K Views
mimi ni kijana wa miaka 20 nimempenda msichana mmoja kanisani, na naamini nimempenda kutokana hata nikiwa nyumbani huwa sura yake inanijia, tatizo sijui nitamwanzaje kanisani pale na muda wote saa...
0 Reactions
61 Replies
5K Views
Habari za muda huu wadau wote wa ukurasa huu wa MMU na JF kwa ujumla? Binafsi napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mungu Muumba ardhi na mbingu kwa kunijaalia uzima na afya tele pamoja na furaha...
14 Reactions
53 Replies
5K Views
Hapa kwetu nimegundua kuna udhaifu wa wasichana wengi wagegedwe na kuachwa, kwa sababu mbalimbali lakini sababu ya Kwanza,Ni udhaifu!! Wanaume na wao wameishaona kuwa wanawake wengi kwa sasa wapo...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Back
Top Bottom