Enyi wadada na wamama wa kileo,tufunge tumwombe Mungu atusaidie tuje kuwa mama wakwe wema wenye upendo wa kweli sio wa kinafiki.Naandika tu lakini nilishamwachia Mungu afanye anavyopenda yeye ila...
Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa letu wakuu.ebana,kitambo flani nilikua na gal wangu ambae naweza kusema ndo nlikua nampgia mahesabu kama mambo yangeenda fresh ndo angekuja kuwa my life...
Mom Cut 20 Years in a Week Using This 1 Weird Trick
The second picture is taken exactly 14 days after the first. Notice the strong difference after applying theTru Visage & Pur Essance
After...
Tokea utandawazi uchukue hatamu hasa kwa nchi yetu tendo la kungonoka limekuwa ka fashion katika kila idara hatakufikia ya kutoheshimiana katika marika yetu si mzee si mtoto kila mtu ana hemuka...
Hivi hii concept ya uvumilivu huwa ina maana gani katika ndoa au mahusiano?
Imagine mwanume ameshaku cheat na wanawake kama nane hivi na unawajua na ni wa uhakika sio wa kuhisi (still bado upo...
Enyi mlio na akili nyingi, jamii yetu imejiwekea "utaratibu" uliojengeka kutokana na mazoea tu kuwa katika wawili wapendanao, kama watafikia kukubaliana wafunge ndoa, hasa ndoa za kidini, na...
Wasalam.
Mimi ni mdada naishi Arusha na nnasoma chuo,ada najilipia na nina mtoto mdogo. Nna msichana wangu wa kazi anaetokea Busaka iko Chato Geita. Huyu binti aliishia form 2 baada ya kukosa...
Rafiki wa kike wa kwenda naye lunch kila siku na awe na sifa zifuatazo; umri 25+ -35, awe mzuri wa sura na umbo, si mnene, awe mke au si mke wa mtu, awe anaweza kujilipia bili itakapobidi na...
Wadau baada ya kumaliza shule ya msingi, sekondari, A-level mpaka shahada ya kwanza (BSc. Agriculture General (SUA) Na kupata kazi sasa ninajipanga kumpata mwenza. Kwa sasa nafasi iko wazi kwa...
NI tabia iliyojengeka miongoni mwa wanawake wengi (siyo wote) kusachi suruali za waume zao zinapokuwa zimetundikwa au wakati wa kufua. Hivi sachi sachi hii mantiki yake ni nini hasa. Hivi kuna...
Helo wana jamii amani iwe nanyi,mimi ni mwanaume ambaye nimekuwa katika mahusiano ya kimapenzi na binti mmoja kwa muda wa miaka 2, nampenda sana na December mwaka huu nilitaka kumwoa.Wiki tatu...
Nimekua nikisikia na kusoma sehemu mbalimbali juu ya Mwanamke kufika kileleni au kupiga goli wakati wa kufanya mapenzi,nimefanya mapenzi mara kadhaa lakini huwa sijui kama mwenzangu amefika huko...
Ee bwana siku moja, mi na rafiki yangu wa kike tukaenda Dharma Lounge kule Zanzibar. Ni club ndogo sana, yaani sio zaidi ya sitting room. It is a decent place na ma bouncer huwa makini nani...
Hivi mke wa mtu anapokuwa na urafiki mkubwa na wifi yake wenye same age au wameachana kidogo au kwa ndugu zangu waislam inapotokea mke mkubwa kuwa na urafiki mkubwa yaani ule wa kushibana na mke...
So what is the magic number? Is it one, three, 15 or like players over 1,000.How many lovers have you had before marriage? And does it matter?.In my experience, for most men and women, a number...
::
Nimekuwa nikisikia vilio na malalamiko mengi kwa wanawake walio katika ndoa,wakilaumu waume zao kuchelewa kurudi nyumbani.Mume akirudi saa 4 usiku ataambiwa amechelewa,,saa 7 za usiku kuna...
Hovyoooooooo!!!
Kazi kushinda kwenye PM na wanaume hata kuwajua hamuwajui, wenyewe mnajifanya mnachart, unachart na mtu humjui?
Chat gani hizo za saa nane, tisa usiku, mnataka nini!! hamna wame...
jamani leo nimeshangaa sana kukutana na mkaka wa miaka 30 akisema hayo maneno. Nijuavyo wakaka wengi hawapendi kuambiwa wadogo. Nyumbani kwangu ukitaka kumkosesha raha mwanangu wa miaka 4 mwambie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.