ES umzuri wa sura,rangi yako ilikuwa tiba ya macho yangu,umbile lako hakuna wa kufananisha nae.Nilikupenda nawe ulinipenda tena sana,ni makosa yangu ndiyo yaliyopelekea leo hii umeamua kuniacha na...
Nilichokitafuta nimekipata,hii imenitokea jana;
Mimi niliolewa miaka mitatu iliyopita,tuliishi kwa furaha na upendo mimi na mume wangu.Mwaka jana nilianza kuhisi mahusiano ya mume wangu na...
Habari zenu wadau? Mie ni mgeni naomba mnipokee kwa kushirikiana kwenye hii mada.
Katika maisha yako ni nani unamuamini zaidi? Mazazi/rafiki ama Mpenzi? Au kuna yeyote ambaye hayupo kwenye kundi...
. He won't commit to a future with you.
A man who is in a very unhappy or unsatisfying marriage can feel swept awayby how wonderful you make him feel. He may even blurt out, "I've neverfelt this...
MARA nyingi vijana hupata taabu sana katika suala la kuchagua mchumba. Vijana wa kiume ndio hasa hupata wakati mgumu zaidi kwani jamii imewapa wajibu wa kuanzisha mazungumzo yahusianayo na...
Niaje wana jamii? nimekuwa muda mrefu sana nikipita na kusoma comments za wadau mbalimbali bila kuchangia chochote,hongereni sana kwa mawazo yenu na ushauri mnaowapatia members wengine...
Huwezi kuongelewa mapenzi bila kutaja suala la pesa. Wapo watu ambao wanaamini kuwa na pesa nyingi, nyingi kabisa za kutosha husaidia penzi kuwa imara na linaloridhisha.
Hata hivyo tumeona penzi...
Hii ni tabia ambayo imekuwa common sana katika relationships nyingi nowdays.
Kumjaribu kwa meseji au kuchange voice au kumpa rafiki yako wa karibu amjaribu mpenzio/mkeo au mumeo,ajifanye...
salaam wanajamvi,
Leo nimeamua kuandika kuelezea umma namna udini na ukabila ulivyojengeka nchini, hususani katika mapenzi. Mimi ni mhandisi mhitimu wa chuo kikuu nina miaka 28. Mara ya kwanza...
Najua hapa si mahala pake ila ndo penye wengi wapendwa nahitaji msaada wenu.
Nilireport mtu kunitishia maisha kituo kimoja cha polisi hapa dar,nikapewa RB.baada ya siku mbili nikapigiwa simu
na...
unapogundua mpenzi wako hakuamini kila unachomuambia kwake ni hadithi na mpenzi huyo labda tuseme ni muaminifu kwa aina moja au nyingine lakini wewe tuseme kwa tamaa zako umemcheat na kwa vile...
::
Anaonekana mwenye furaha sana unapotaja jina la mtoto wake.
Lakini kuna wakati anatoa chozi,,anainama,,na anafikiri sana na uso wake unapoteza uangavu wake wa asili.
::
Anasema hakutegemea...
Hivi na wewe hii ilishakutokeaga?
Eti uko na mwenzi wake mahali, ghafla simu inapigwa, akishaona jina au namba (kwavile anaijua) anakwambia wewe eti ndo uongee naye, tena anakwambia 'mrushie...
Mapenzi ya siku hizi tofauti na zamani Ya sasa yanahirinzi,au kitanzi shingoni Mapenzi ni kama wizi,ulahai wa moyoni Wapendwao si wajuzi,hawajui kuthamini Wengi wao ni bazazi,mapenzi ya mdomoni...
Leo kwa muda; nilijikuta nimmiss Konnie wa miaka kadhaa. Ilikuwa hivi . . .
Katika pilika pilika za leo, nikakutana na mtu tulipotezana more than 17 tulipomaliza High School.
Na tulikuwa...
Woman mauled to death by lion as she made love to her boyfriend in the African bush
Boyfriend jumped up and fled in terror after the big cat pounced
Same animal is believed to have killed a...
Mapenzi ya siku hizi tofauti na zamani
Ya sasa yanahirinzi,au kitanzi shingoni
Mapenzi ni kama wizi,ulahai wa moyoni
Wapendwao si wajuzi,hawajui kuthamini
Wengi wao ni bazazi,mapenzi ya mdomoni...
Nawasalim,
Ninadhani hii topic ilishakuja mara kadhaa lakini nashare nanyi hii kitu inayonifanya nikose raha sana nyumbani.
Tuna wiki sasa amekuja msichana mdogo wa kazi kwa ajili ya kusaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.