Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Jirani yangu amemtisha mkewe kumuacha kisa mke kamkataza kuwa karibu na mwanaume ambae anashukiwa ni shoga hapa mnapata picha gani? Apartment yao iko close na yangu, niliyasikia hayo mm mwenyewe
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Alianza kunitongoza kama masihalah nikamjibu nina wangu akasema tuwe marafiki tu basi ila akawa anakumbushia siku mojamoja kuhusu ombi lake,ananiletea zawadi,anashow care kwangu,anadai hapati...
1 Reactions
55 Replies
6K Views
Tusaidiane kutunza stara zetu kuokoa vijana katika jamii yetu!!! Happy Women's Day!! :A S-heart-2:to all JF Women
10 Reactions
34 Replies
10K Views
HELOW WANA JF NATAFUTA WAREMBO 2 WA KULA NAO WIKEND HII NITAWAFUATA WALIPO NA NITAWARUDISHA KIWANJA WANAWEZA KUCHAGUA pia,ALIYE SERIOUS kiss22love@gmail.com or aniprivate sms haraka wikend...
1 Reactions
41 Replies
3K Views
ni mwanamke umri 27 'nimegundua nina upungufu kwa kutokuwa na mpenzi kwa muda sasa kwani jana mean valentine pamoja ya kwamba nilikuwa na sis yangu na mdogo wangu lakini kuna mda kama saa 8 ivi...
2 Reactions
97 Replies
8K Views
Nakumbuka mwaka 2004 huko nchini Afrika Kusini kulizuka mjadala mkali sana kuhusiana na nguo za nusu uchi, hasa kwa wasichana wa shule. Mjadala huo ambao ulihusisha maoni ya wananchi wakiwemo wale...
7 Reactions
42 Replies
31K Views
wana Jf...eb nisaidien Kuna dada nlmit nae chuo nikamwaproch akanambia for nw hawez kuingia kwny uhusiano cz anaogopa isitoshe yeye ni bikra na alshawai nivulia mpk nguo alnivulia for...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Amekuwa ni rafiki wa mdogo wangu wa kike, ni rika moja na dogo langu, sasa nashangaa juzi kati hapo kanirushia ki2 cha msg eti ananipenda kupita kiasi, nimeshindwa kum judge asee, she is cute ila...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Ndugu wana jamii nahitaji msaada wenu,nina mchumba ambaye nimedumu nae kwa muda wa miaka 2,nampenda sana na ni mrembo sana.Hivi karibuni nimegundua ametoa ujauzito ambao alinipa taarifa kuwa anao...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Hayo ni maneno ya mke kwenye kikao cha usuluhishi kati ya mume na mke walio kwenye ndoa yenye miaka zaidi ya 15.
12 Reactions
360 Replies
25K Views
Habari wana JF, nimejiunga na hii Forums siku si nyingi, ila nimependa sana comment zenu , na ushauri mnaotoa kwa watu mbali mbali pale wanapoomba msaada wa mawazo, nami nikavutiwa nikaona bora...
0 Reactions
74 Replies
7K Views
10000 times stronger killer of CANCER than Chemo".. do share it.. can save many lives, fill up hopes and build confidence in the patients... The Sour Sop or the fruit from the graviola tree is...
8 Reactions
42 Replies
21K Views
Wana JF! Habari za asubuhi. Nina rafiki yangu amekuja kwangu na tatizo dogo niliona bora nije huku kupata ushauri toka kwa wataalamu maana sijawahi deal na hili swala. Rafiki na mume wake...
0 Reactions
41 Replies
3K Views
Wana JF, Katika thread hii https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/412151-kinachodumisha-mapenzi-hiki-hapa-2.html, Mchangiaji mmoja kwa jina la Mzabzab amesema kitu ambacho...
5 Reactions
40 Replies
6K Views
Dear fellow women; You can do almost anything you put your mind to … You can swim the deepest ocean and climb the highest peak … Be a doctor or fly a plane You can face adversity and still walk...
9 Reactions
40 Replies
3K Views
Upo wapi? Umekula?
1 Reactions
19 Replies
2K Views
This goes to all sugar mamy's lovers ....mnalelewa kisha mnajifanya wajanja cheki mwenzenu!! Jamaa alikuwa ni lazima agawe dozi kutwa mara mbili siku saba za juma , mwaka mzima!! Husband...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Jamani nawapongeza sana ma sweet mother wote, hasa mama wa kiafrika kwanza kwa siku ii ya leo, pia kwa majukumu yote mlio nayo. wamama ni jeshi kubwa!
1 Reactions
3 Replies
892 Views
Watu wazima kabisa wengine wanatosha kuitwa babu wanawatongoza mabinti wa shule tena wakiwa na sare zao na sisi tunaona lakini tunauchuna tu, hivi kweli hatuwezi kuzuia? Mfano pale Kariakoo n.k...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu, Kuna msichana yupo njia panda. Ana umri wa miaka 23. Ana mpenzi wake ambaye wana undugu pia. Dada yake huyu msichana kaolewa na anko wa huyo mpenzi wake. Wanapendana kwa dhati na hayo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom