Kuna kakijana kana miaka 18 kinamtaka mke wa baba yake mimi najua nakaeleza hii ni laana akanielewi. Nimekatishia baba na huyo mama yake mdogo wana ukimwi kameenda kuwaambia wote.
Sent from my...
I am convinced that my husband having affairs with three different women. I got this information from friends and relatives. I cannot prove my fears as he plays the perfect husband at home, but...
Nilipofika hapa mjini nilikua sina ndugu,dah nikakutana na jamaa mmoja ambae tulielewana sana nilikaa kwake mda wa miezi 8 mpaka na me nipokua mwenyeji nikapata chumba changu za kupanga na...
A store that sells husbands has just opened in New York City, where a woman may go to choose a husband.
Among the instructions at the entrance is a description of how the store operates.
You...
Kama ilivyo ada katika jamii mkwe ni mtu anae heshimika sana kwa vile ndie mzaa chema. Mkazi wa kijiji cha Genkuru wilayani Tarime Marwa George ameuwa kwa kuchomwa na mkuki na baba mkwe wake John...
Habari wana JF kuna rafiki yangu kaowa wiki mbili zilizopita ila tatizo linalomsumbua na kumkwaza ni kua mke wake anapata maumivu makali sana wakati wa tendo na kibaya zaidi ni kua hafurahii tendo...
Bahari kitu kibaya,haiwezi aminika
Bahari si km kwaya,unacheza ukicheka
Bahari haina haya,kwa kile inachitaka
Hii ni bahari gani?
Kuna wanyama wakali,baharini watajika
Wengine twala kwa wali,pale...
Habari wana jukwaa..kwa mara ya kwanza naomba mniambie je kuna tofaut kati ya KUPENDA na KUJALI au yanafanana.je unaweza mpenda mtu halaf ukawa huonyesh kumjali???msintukane naitaji kujua
ki ukweli mimi nimetokea kumpenda dada ,,pja kutoka kwenye mtandao wa fb, na sio siri tunapendana sana kila siku tunaongea na cm kwasababu yko chuo na anatarajia kumaliza mwaka huu kaniambia kuwa...
imekuwa kama biashara ya waganga wa kienyeji,biashara ya wachungaji na mapepo au mashehe na majini lol....almost inamuaminisha mtu pengine ambaye ni mzima kuwa ana kitu fulani au kuna forces...
Jamani naombeni ushauri tumetembelewa na mdogo wake shemeji yangu dada mzuri kinoma kila wakati ananiraumu kwanini simleti geto kwangu niliko panga ili akapaona na ananitega kinoma jamani vipi ni...
nakumbuka mwaka huo huyo binti alinipigia simu kuwa anaparty ya engagement kwao......nilimjibu nipo nyumbani likizo and wished her all th ebest,,,nilishare picha after likzo...
huyu binti ana...
Jiran yetu leo amtimua mwanae wa kike kisa kutukanwa na bwana wa mtoto. Tusi ambalalo lilomfanya afukuze mtoto uyo ni.(siri kdogo)ili ni neno la mwisho kwa uyo jamaa--> Usimwogope uyo mwanajeshi,)...
hello wanajf hope mpo well wakati mwingine tunawaonea wasichana walo soma eti wanawadharau waume zao pale wanapoolewa na wanaume ambao hawajasoma,kwa upande mwingine nao wanaume wanamatatizo ya...
Hivi kama mimi natoka na mumeo lakini tumehakikisha hujui wala hatukuvunjii heshima, simchuni wala nini ni kwamba tunapendana ni vile dini ya kikristo hairuhusu wake 2 sasa wewe unamchunguza wa nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.