Wewe ni mwanaume, unagundua kua mwanamke wako kuna vitu akwambii ukweli, hii baada ya kugundua kua, aliyekua mpenz wake ambaye alimkubali kipindi cha nyuma lakini wakati uko nae, lakini baadaye...
YA TEMEKE CHA MTOTO PATA HII YA MBOZI MBEYA...Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la TIENA MWAZEMBE mwenye umri wa miaka 28 mkazi wa kijiji Hangomba kata ya Bara...
Wanangu hamjambo!
Kumpa siri za mambo unayoyafanya ofisini mkeo ni hatari kubwa.
Sikiliza kisa hiki..........
Kuna rafiki yangu fulani hivi alikuwa akimueleza mkewe kila kitu anachokifanya kwa...
Sura hiyo hapo ni ya mwanaume. Bila shaka umeshawahi kukutana na sura kama hii katika maisha yako. Kama hujawahi kukutana nayo huenda kuna siku utakutana nayo.
Mwanaume mwenye sura kama hii ana...
Habari zenu, naamini mko wazima.
Niko kwenye mahusiano nae kwa muda wa miaka minne, tunapendana sana na hajawahi onesha kunivunjia heshima hata siku moja, isipokua migogoro midogomidogo ya...
Imagine sakata kama hili linakukumba wewe, ungefanyaje?
NB; (volume up please!)
http://www.betterloverseminar.com/desi_wife_catches_husband.php
sikiliza....!
Kwa nyakati za sasa uzinifu si kitu cha ajabu tena.
Wahusika wanadai kufaidi uasherati kuliko tendo la ndoa. Kumekuwepo kuchokana kwa wawili walio katika ndoa na kufanya mmojawapo ajaribu...
Sio wote.....bali wengi wetu.....(nami nikiwemo).....huwa tunaangalia mambo haya........siku ya kwanza kukutana....(au kutoka).....
1.Kwanza tunatazama tembea yako, kisela au kiheshima ili tujue...
Watu Wengi Ambao Wako Kwenye Uhusiano Wanalalamika Kuwa Wenzi Wao Hawawaoneshi Upendo Kama Ilivyokuwa Siku Za Mwanzo Za Uhusiano Wao. Wanaeleza Kuwa Wanaona Uhusiano Wao Unalegalega Na Mapenzi...
Habari zenu! wanaJF
Leo kwa mara ya kwanza ndio na post kwenye hili jukwaa! uwa napita tu,sababu mambo yangu ya mahusiano yalikuwa shwari mpaka jana usiku nilivyoanza kuhisi nina matatizo makubwa...
Amani kwenu nyote...
Wakuu, kuna tabia ya mtumishi ninayefanya nae kazi ofisi moja inanitatiza kidogo, japo sijapenda niifanye akili yangu iamini mabaya zaidi juu yake.
Huyu mshikaji ni mwanaume...
Wapo watu ambao wanatenda mambo katika maisha yetu na tungetamani kuwalipa bei kubwa kuliko chochote duniani. Lakini hata kama tungesema tumlipe mwanamke kwa anayotenda, hakika hakuna bei...
ANAKUFUMANIA: Analia, ananyamaza,
anasononeka, unambembeleza
anakuelewa anakusamehe halafu
anasahau na anaendelea kukupenda!!!
... UNAZAA NJE YA NDOA: Anasononeka
na kulia sana. Anakuchukia lakini...
habari za muda huu wakubwa kwa wadogo.leo hii in mara yangu ya kwanza kuanzisha topic hapa jukwaani tangu nimejiunga na jf,huwa napita hapa kiangalia yanayojiri kila siku na kukaa kimya ila leo...
Hi wana mmu,
Kunua msichana tulikutana nikampiga sound kikaeleweka, km miezi 8 hivi iliyopita.
Tumegegedana kwa mda mie nikijua tunapunguziana stress.
Sasa hiv nataka nitulie nioe ( mchumba...
Utakuta mtu yupo kwenye usafiri wa umma. Ameshikilia simu anatuma meseji. Jamaa mwingine yuko pembeni, bize anakodolea kila neno analoandika mwenzie. Hivi mtu anapata faida gani kufuatilia kusoma...
Habari zenu wana JF!?...nina jamaa yangu niliyesoma nae enzi hzo,tulitengana muda wa miaka kama saba hiv,lakin tulikua tukiwasiliana kama kawaida.
Hivi juzi kanipigia cm anaomba nimshauri juu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.