Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
UTAFITI uliofanywa na Chuo Kikuu cha State cha jijini New York nchini Marekani unaeleza kuwa manii ni nzuri kwa wanawake kwani huwaondolea msongo wa mawazo. Pia, watafiti hao wamesema wanawake...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Una mpenzi wako wa cku nyingi; baada ya muda anaambiwa kuwa una mahusiano na mrembo mwingine - anakugombeza. Baada ya muda wa kama miezi 6 hivi anagundua kuwa una mahusiano na mrembo mwingine...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
:confused3:
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Nimefanya uchunguzi wakina, nikabaini kuwa, watu wanao ongoza kuwatesa wenzao kimapenzi ni wanawake...japo wanaume wapo pia lakini katika grafu yangu inaonesha wanawake wana asilimia kubwa. Hi ni...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Nelson Mandela's secret love... for Rolling Stone Ronnie Wood's mother-in-law Rachel Lundell, mother of Jo Wood,was 16 when Mandela pledged his love Her aunt put paid to the romance in...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wizi wa nywele za aina ya marasta umechachamaa sana Sauzi na wezi wakikukuta wanakutia chini ya ulinzi na wanatembea na mkasi na kukunyoa bila ya ridhaa yako kisha hutoweka kusikojulikana...
6 Reactions
35 Replies
4K Views
Huu ni ukweli mtupu, sikuweza kugundua tofauti ya mabeseni hayo. Baada ya kumaliza haja zangu nikaondoka. Baada ya nusu saa, nikaja kuinuliwa kwenye meza
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Nipo kwenye ndoa kwa muda wa miaka saba, lakini naona nataka kuyashindwa haya maisha ya ndoa, maana nimekuta msg kwenye simu ya mume wangu ameandikiwa na dada mmoja nanukuu'' mpenzi samahani kwa...
0 Reactions
52 Replies
3K Views
Wana mmu nauliza mwenzenu kuna ukweli wowote iwapo mwanaume hawezi kuwa na mwanamke mmoja eti lazima atakuwa na kiburudisho cha pembeni.wangu namuona mpole nashindwa kumsoma kama na yy...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Hili jambo linaniumiza kwel na nashindwa kupata muafaka na nifanye nn? Yapata takriban mwaka mmoja ambapo kuna bint niliye mpenda kwel toka moyon na nilimfanyia uchunguz nikaridhika na mwenendo...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Kuna thread moja ya Preta ya nini wanawake wanaangalia kwenye first date. Nimekuwa interested na alichosema mdada huyu kuwa mojawapo ya vitu wanavyoangalia wadada ni kuwa "Kama pesa hutoi kwenye...
14 Reactions
76 Replies
11K Views
Iwe na itakavyo kua nisha penda nisha penda na siwezi kumuacha ni mpendae kamwe. Wacha nifue, nipike, nioshe vyombo,etc. ninapo mfumania na kidume niwe wakwanza kumuomba msamaha, anapo cherewa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Huu nimsemo ulio zoeleka miungoni mwetu. Msemo huu nilipata usikia miaka mingi sana ila leo umejiruduia masikioni mwangu. Ktk harakati zangu za kuutafuta mkate ( rizki ) niliangukia ktk kundi la...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari zenu wana MMU! Napenda kusema kwamba wanaume tumefanikiwa sana kuharibu dhana ya mapenz katika dunia ya leo kwa sabab, •Wanaume tumekuwa ni wapesi sana kuongozwa na hisia zenye...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Wapendwa NIKO HAPA BREAK POINT MAKUMBUSho BAADA YA UCHOVU WA KAISARI NIKABAHATILKA KUKAA NA MEZA MOJA PEMBENI INA MADADA WAWILI KAKA WAWILI MMOJA WA MAKAKA AKANZA KUSOMESHA NAKUPENDA NAKULVE NA...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Hamjambo?week end inamalizikaje? kwangu iko poa tu nashukuru hadi hapa. Rejea kichwa cha habari hii, kila mtu anapowaza kuwa na mke/mume, mpenzi au hata mchumba huwa kuna picha flani huwa...
1 Reactions
4 Replies
911 Views
Punyeto!punyeto!hili swala lmekuwa ni so ad dicted kwa vjana wengi ulimwenguni kote hasa wale wnye umri kuanzia miaka 13-22 na japo wengne huendeleza mchezo huo mpaka at the age of 30,naomba...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
....mie naanza kuhisi moja ya hawa wakaka na wadada kutotaka kuoa/kuolewa kwa muda mrefu ni kushuhudia ndugu zao kuachwa solemba... chunguza sehemu kama kuna singo maza basi kuna kaka mtu au...
0 Reactions
6 Replies
994 Views
jamaa ajiua kwa kunyimwa penzi hapa iringa kilolo.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kila nimpendae kwa vigezo vyangu na cfa anankataaa nfnye nn jmniiiiiiiiiiiii?????
0 Reactions
36 Replies
2K Views
Back
Top Bottom