Imenitokea last friday nikiwa club wife akashtuliwa na wambea akaja mitaa ya saa 10 na kunikuta na demu. Alimpiga yule demu akakimbia. Home hakuna amani hapa napotezea sitting room kwani nikiingia...
Nimetumiwa ujumbe huu ambao nahisi una msg nzuri sana kwa wale wadau wa kutikisa kiberiti,
Enjoy your week end,
Babu DC!!
DAWA YA MOTO NI MOTO,
Mtu na mkewe wanagombana chumbani, ghafla...
Rafiki yangu hapa ofisini yeye ni bikra anaoa hivi karibuni mwanamke bikra kwa mujibu wa alicho nieleza. Kitu ambacho nimebaini ndoa hizi huwa nzuri sana kwa wachumba wa jinsia zote. Ndoa ya...
Hi all...................
Kama mjuavyo nguo za ndani (bra na chu.pi hasa za kina dada) ni nguo ambazo huwezi kuzigawa baada yakuwa zimechoka ama huzihitaji tena. Haya ndo nauliza baada ya hizo...
Hi wanajamvi.Natumai mu wazima wa afya.
Dhumuni ya thread hii ni kuomba msaada wa kimawazo toka kwenu wanajamvi. Mi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 32 nipo kwenye ndoa kwa muda wa miaka mitano...
Ni Mafinga. Kwenye baa inayoitwa John's Corner ndogo. At any point of time ina mabaa medi wengi kuliko wateja (zaidi ya 30). Nilipochunguza niliambiwa hawa ni ma"flying prostitutes" kutoka Dar na...
Habari zenu wana MMU,
Naombeni niwasimulie kisa hiki nilichokisikia live..................
.............baada ya kuona mazungumzo yanaendelea nikawa nimeshikilia kitabu tuu huku nikiwasikiliza...
Wadau salaam...
Naomba tuusome huu utafiti kisha tujadili.
UTAFITI uliofanywa na Chuo Kikuu cha State cha jijini New York nchini Marekani unaeleza kuwa manii ni nzuri kwa...
Hivi huu ni uzee au uzembe, nimetumiwa email jioni hii na mama Ngina. Naomba nikiri kwamba nilighafilika na sijui nijitetee vipi mpaka anielewe......
Sent: Thursday, February 28, 2013 3:52 PM
To...
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Morogoro limesema halitawafungisha ndoa watarajiwa watakaoingia kwenye ibada wakiwa wamevalia mavazi yanayodhalilisha hasa kwa wanawake...
Habarini wakuu kama kawaida yangu huajindalia kasherehe ka birthday tarehe 29 feb sasa kwa mwaka huu hakuna tarehe29, ninabakia na umri wangu uleule au?
Makalio makubwa yanafaida gani katika mapenzi, maana mi naona watu hupenda makalio au wenzangu mnayatumia hayo mnapo du, au ndio mambo ya jicho la ngombe
Habaaari zenyu bhanaaa!!
Nimepata kuhudhuria sherehe za ndoa nyingi kiasi ambapo wanandoa hao ndo wanaanzisha maisha ya ndoa na si kubariki.
Sasa baada ya mashughuli yote kuisha mnaona mwaka...
1. Once all villagers decided to pray for rain, on the day of prayer all the People gathered but only one boy came with an umbrella..!
-THAT'S FAITH
2. When you throw a baby in the air, she...
hello wana jf mimi ni msichana mwenye umri wa miaka ishirini na tatu nina boyfriend aliyenizidi miaka minne sisi wote ni wanafunz ila wa course tofauti ukweli ni kwamba course yake inavitu ving...
Hii nimekutana nayo Youtube kwenye pita pita zangu...
Its informative and funny (the lady in the show is a good demonstrator.) Sidhani kama ni mambo ya kikubwa bali ni educative.. although k24...
Umefafanuz umetolewa na wazir wa afya nchin kuwa mwanamke mwenye wapenz a.k.a mabwana weng yupo katika hatar kubwa ya kupata kansa ya mlango wa uzazi.
Kaz mnaojifanya mkigegendwa na mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.