Kuna rafiki yangu anasoma chuo kimoja hapa nchini ambacho kwa kipindi hiki wanafunzi wa Education mwaka wa kwanza na wa pili wako field- Teaching Practice (hapo nadhani mtakuwa mmepata jibu ni...
Uwajibikaji umeshuka sana siku hizi si kwa wanaume au wanawake
'
Siku hizi ni vijana wa kike na kiume kwenye jamii yetu wamekua wakiwasaka wenza wenye vihela ili wao wakae tu bila kuushughulisha...
Kinachowaponza Wanawake wengi na kuumizwa mioyo yao ni kitu inaitwa HURUMA! Kwa huruma tu hamjambo! Jitu limekutenda weeee, limeuscratch moyo wako kama Vocha, unachoka unaanza mbele maisha yako...
Ni juzi tu nilipokea simu kwa mtu nisie mjua,kwa maelezo kuwa nimemsahau na kumtelekeza wakati najua ana mtoto wangu,nilijaribu kujitetea lakini hakunipa nafasi bali aliongea mfululizo huku na...
Huu ni unyama sana kwa mtu asiye na moyo kabisa ambaye amefanya hivi. Amechimba shimo na kumfunika mtoto ambaye ni mzima kabisa. Some member of community in lagos found a Baby who was buried...
1 usiwe mwepesi kuvua nguo hii itakusaidia naturally kujua ni mtu mwenye nia ya dhati au ni wa kusepa(at least six month)
2. kuwa romantic-upendeze kiukweli ili kujua mihemko yake ni % ngapi na...
Wanajamvi habari?
Nionavyo mie katika maisha yetu kama kuna kitu ambacho kinatuboa wengi ni maswali yasioisha na hata pale unapodhani umewaridhisha wauliza maswali...lolz...usijidanganye ndio...
Mie bwana, nimejilalia na dogo wangu. Simu inaingia. Namba naifahamu na nimeisevu jina. Ni mwanaume nilikuwa nasoma nae ITA na yeye kikazi yupo TRA HQ. Tangu nimemaliza chuo 2011 mawasiliano na...
Nimesikia leo TBC Taifa mama mmoja wa Kihehe akisema kuwa mwanamke wa kabila hilo hutahiriwa, nikashikwa na butwaa maana mie natambua tu shughuri hii hufanywa na Waarabu, Wachaga, Wapare, Wagogo...
habari zenu wanajf...
niko kwenye wakati mgumu sana sasa, najaribu kila hali niweze kumsahau mwanaume ninayempenda ambaye naweza kusema uwezo wa kuwa naye tena haupo kutokana na migogoro...
Wadau poleni na Majukumu ya kazi.....
Muda Mrefu nimekuwa nikiona mada nyingi sana kuhusu kuumizwa na Mapenzi,Wengi wetu nikiwa na mimi Hatujui What is Love,So According to Me....
This is What is...
1. Never wake up early: Keep stretching and turning in bed until you get too hungry to continue dozing. If there are no bedbugs, why hurry to get up?
2. Never plan how to spend your money...
Tangu nimepata akili timamu sijawahi kusikia hii kitu,kwamba wanaume nasi tuna ladha tofauti kwenye mambo yale ya usiku
'
Nimewahi kusikia kauli hizi kuwahusu wanawake japokuwa sijathibitisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.