Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wanajamvi, Uzoefu unaonyesha kuwa asilimia 90 ya wenye ndoa hawajawaoa au kuolewa na wapenzi walioanza nao mapenzi kwa mara ya kwanza. Binafsi sikumwoa niliyeanza naye, na nina ushahidi wa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Hivi maana halisi ya kuwa Single ni nini??Kuna watu wako Single kweli??Na how long mtu unaweza kuwa Single na ukawa happy tu bila kuwa na stress ukiona wenzio wanasafiri kwenye MV Mapenzi wakati...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kaka yangu yupo masomoni ng'ambo Tangu mwaka jana,mwaka huu mwezi wa 10 atarudi likizo.Lakini mimi natamani arudi mapema nimwambie mambo ya mke wake.alipo kwenda huko aliniachia familia yake niwe...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Brazil couple had sex in the water While hundreds cheered on the beach By In2EastAfrica Reporter “Sex on the Beach” was an entirely different kind...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Najua mtanibishia sana,lakini ukweli wa kile ninachokishuhudia na kinachotokea kinawatia hatiani. . . . . Niliwahi kuwa na uhusiano wakati fulani na Luteni wa JW,lakini kabla uhusiano wangu ule...
18 Reactions
184 Replies
14K Views
Mmmh! Jamani ni muda sasa najitahidi kuwa karibu na wewe lakn wewe unajitahd kusogea mbali, sms zangu unajibu mara chache mno! Niki2ma 10 basi 3 zitajibiwa.. Najitahd kukupigia japo huwa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kujenga uhusiano wa kimapenzi na mtu uliyefahamiana naye kupitia mtandao?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana jf, mda si mrefu nilikuwa najongea nyumbani toka mzigoni,nikakutana na watu fulani wapo kwenye ubishi mkali kuwa eiza wanawake wana zile ndoto zetu za usiku[wet dream] kuota una demu then...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hizi zaweza kuwa sababu.......... 1. Huenda kagundua kuwa una wivu kupita kiasi na unahisi kutokuwa salama kuwa naye 2. Au pengine ulikuwa na kisirani dhidi ya wahudumu wa mghahawa...
8 Reactions
68 Replies
6K Views
LADIES; WHEN IT COMES TO A RELATIONSHIP Don’t wait for the first good guy to come your way. Don’t even let the “butterflies” guide your decisions! Instead, have some standards in place. What are...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
WAFIPA-hawa walisifika sana kwa uchawi,waliogopeka,siku hizi sijui! ' WASUKUMA-hawa kama kawaida hawana makuu,lakini walijulikana kwa uchawi hasa wale wa mko wa Shinyanga lakini pia walipenda...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Kama unajua amkosawa usijaribu sabuni ni sumu ya macho
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hey wana JF! Kuna tabia naona inakuwa kabisa ya watu kuweka picha zao kwenye mtandao. Baadhi ya picha zinaonyesha watu wakiwa smart katika mapozi mbalimbali, tata na ya kawaida. Hii naiona kwa...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Eti wandugu wewe ungefanyaje ukiwa na uhakika kabisa kwamba RAFIKI yako wa karibu ana mahusiano ya kimapenzi na mkeo/ mumeo? Eti?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
KONDOMU zinazodaiwa kuwa ni bandia ambazo zilipigwa marufuku nchini Uingereza kutokana na kubainika kuwa hazina ubora unaotakiwa, zimetapakaa katika maduka mbalimbali ya dawa nchini, Mwananchi...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
wana jf kwanza heshima kwenu! hembu niambieni kwa nn baadhi ya wanaume au wanawake! wenye wapenzi au waume au wake zao! wanafuta sent item! zao kwenye sim? na wengine hata in box uliyomtumia nayo...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mie naamini mwenyezi Mungu hakosei kwa alifanyalo. Binadamu (mwanaume na mwanamke) anapobalehe/kuvunja ungo pana nywele zinaota sehemu yake ya siri lakini utakutana na mdada kanyoa zote, sasa nini...
1 Reactions
176 Replies
36K Views
Huyu mmwanaume tunafanya nae kazi, anamsema vibaya msichana wake mpya eti ni malaya kwa kuwa tu last night it was their first night na mwanamke alilipia chumba. Jamani wanaume, muwe na roho ya...
6 Reactions
80 Replies
6K Views
Researchers in Italy examined monogamy among men and discovered an interesting correlation....having extramarital affair increases men's risk of having a deadly heart attack. Source: 'daily news'...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari zenu wadau wa MMU? Kwa mara nyingine tena tunakutana katika ukurasa wetu huu wa MMU kujadili na kuangalia mbambo mbali mbali yanayotuhusu katika mapenzi. Leo tutaongea juu...
3 Reactions
40 Replies
7K Views
Back
Top Bottom