je unapenda kuishi mkoa gani maana kila mkoa una sifa zake
1. DAR- UTAPELI
2. ARUSHA-USTAARABU
3. MWANZA-FUJO
... 4. MBEYA-MATUKIO
5. TANGA-MAJINI
6. MORO-STAREHE
7. DODOMA-BAHATI
8...
Habari zenu wanajamvi!
Ndugu zangu naomba tusaidiane kama mimi sielewi au hawa watangazaji wa Vipindi vya taarabu katika redio zetu wanazingatia mahitaji ya jamii wanayoihabarisha.
Juzi...
Muwazima wanamod wenzangu humu ndani? Mnaendeleaje
Ni siku ingine ya Blue Monday iliyojaa uchovu kwa wote waliokuwa katika pilikapilika za weekend,
na mihangaiko ya utafutaji wa shiilingi ktk...
Habari zenu wadau,
Its not a new topic kivile..., ila inabidi nilete kwenu great thinkers...frnds with sex benefits na sio frnds with benefits cuz benefits zaweza kuwa nyingi,hapa specifically...
nikimuona msichana kavaa wigi au kasuka rasta,kope za bandia,rangi mdomoni,mikucha ya bandia ,sitamani hata kuwmangalia.hasa wanafunzi wa vyuo vikuu mfano UDSM,UDOM,IFM,CBE,yani ukiwaona...
Jema shada la maua, laua kwa rangi yake.
Limepambwa kwa murua, sioni kifani chake.
Na asumini kutiwa, hakika mahala pake.
Shada hili limea, na pepo na watu wake.
♥
Haya maua...
Habari wana JF natumai muko salama kwa siku hii ya leo
Limeibuka swali katika kichwa changu linaniumiza sana naomba munipe muongozo wenu
Mapenzi yamekua ni ajira siku hizi kwani nijaribu kila...
Kabla ya ndoa, wanandoa huwa na ndoto tamutamu ambazo sio halisi kuhusu ndoa. Kwa kuwa tuna hizi ndoto tamu, tunapokuja kuingia kwenye ndoa na kugundua kwamba tulichofikiria hakipo, ndipo...
Mara nyingi nimekuwa nikisikia wasichana wakilalamika kuwa wao ni rahisi kurubuniwa na wavulana/wanaume wasipokuwa na pesa kwa sababu wao wana mahitaji maalum.wanafunzi wasichana wamekuwa...
Namkumbuka sana huyu mfanyakazi mwenzangu wakati huo.Ilikuwa ni mwaka 1998 wakati nilipokua nafanya kazi pamoja nae,na ni mwaka huohuo alipata matatizo kazini yaliyopelekea kuyavuruga maisha yake...
Habari wana JF natumai muko salama kwa siku hii ya leo
Limeibuka swali katika kichwa changu linaniumiza sana naomba munipe muongozo wenu
Mapenzi yamekua ni ajira siku hizi kwani nijaribu kila...
Haaaaabari wana JF nisaidieni huyu kimwana tulianza mahusiano kwa muda mrefu sana tukaja tukapoteana kwa sabaubu zisizojulikana ila tulikuia kuonana tena akiwa ameshaanzisha mahusiano na mtu...
JAMANI KUOA SI JAMBO DOGO, UNATAKIWA UWE UMEJIANDAA:
Hivi jamani, mnazijua gharama anazoingia bwana harusi hadi anapooa? Katika hali ya kawaida kabisa, kama wewe ni mwanaume na unataka kuoa...
Ndoa yetu bado ilikuwa ni changa.......
Tukio hili lilinitokea siku nyingi kiasi, kama miaka kumi iliyopita, lakini nalikumbuka hadi leo kwa sababu liliniletea balaa kubwa na kuhatarisha ndoa...
Spencer Cox appears in the documentary "How to Survive a Plague," which has been nominated for an Academy Award.
Protesters in front of the New York Stock Exchange in 1989 demonstrating...
Oscar pistorius kaka yake anahusika na mauaji na yeye .kama kaka muuaji mdogo mtu je ?Oscar amemuua model girlfriend wake.Kweli unaweza date family ya hivi au ? Unaweza olewa na Mwizi au jambazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.