Kwanza Napenda kuwakaribisha kwenye vikao vinavyo endelea vya Harusi yangu inayotegemea kufanyika mwanzoni mwa mwezi wa Sita,
Lakini kama munavyo jua Harusi za Dar es Salaam, zina ghalimu sana, na...
Habari za muda huu,
Juzi ilikua birthday ya mpenzi wangu siku hudhuria, kuto kuhudhuria ndio ilikua surprise niliyo muandalia mpenzi wangu kwa birthday yake mwaka huu, naona reaction yake imekuwa...
Habari wana jamii!nina rafiki yangu ameolewa na kwa Bahati mbaya wakwe zake wote wawili yaani wazazi wa mume wake ni wagonjwa sana na wanaishi nao hapo nyumbani kwao.bidada ni muajiriwa ktk wizara...
Kila kunakokucha watu wanalalama kuwa siku hizi mapenzi hayan maana but ni kwa sababu wameshau kuwa kati ya mwanaume ( mvulana ) na mwanamke ( msichana) wanatofauti kubwa kati yao, tofauti hizo ni...
Me ni mschana nna umr wa miaka 24....nimeamua kuwa na maisha yangu baada ya kuumizwa sana kimapenz nimembembeleza sana my bf labda hatabadlika lakini bado naishia kila siku kulia najiona sina...
Urafiki limekua ni jambo la hovyo sana siku hizi
'
Japokua dhana yenyewe ya urafiki sikubaliani nayo kabisa sina jinsi zaidi ya kukubali kuwa na marafiki kwa kuwa naishi dunia hihii ya watu...
When people don't get enough sleep, changes to genes that control metabolism may trigger or exacerbate conditions such as diabetes or obesity. Photograph: Getty
Cheza na kujinyima usingizi kwa...
Habari wana jamvini
Mimi sijui kama ni tatizo au ni uwelewa wangu ni mdogo, mimi naishi na mume wangu, na mwanangu na dada wa kazi, wiki tatu zilizopita niliongea na mume nikamwamwambia nilikua...
Si haba kushukuru MUNGU MJAZA NEEMA NDOGO NDOGO NA KUBWA KWA KUTUWEKA HAI WAPENDWA MPAKA LEO HUKU WENGINE WAKIHAHA NA HEWA YA JINAI;IMENIWIWA KUWAPONGEZA WANANDOA MLIOANZA KULA TUNDA LA ROHO...
A psychologist walked around a room while teaching stress management to an audience. As she raised a glass of water, everyone expected they'd be asked the half empty or half full question...
Huko Mombasa Mzungu akisalimiwa "Jambo, hakuna matata," na kurushiwa tabasamu la kimahaba hufikiria kuna amani na upendo kwa wakarimu wao na hata baadhi ya wazungu kujitosa kwenye dimbwi la mahaba...
Ilikuwa ndio mara yangu ya kwanza kutia timu katika jiji hili la Arusha.......
Ilikuwa ni mwaka 1999, nilienda jijini Arusha kumfuatilia binti mmoja, ambaye alikuwa ni binamu wa rafiki yangu...
Habar wanajamii....
Yapata mwaka mmoja sasa tangu nilipo achana na mpenz wangu niliempenda sana.kiukwel hatukuachana katika hal ya kawaida.ulikuwa ugomv mkubwa sana,tangia hapo niliamua kuweka...
Hi wanajamvi wenzangu
Kama ilivyo kawaida yetu kujumuika na kuleteana habari, mambo yahusuyo maisha na vichekesho vya hapa na pale na vilevile kutiana moyo, kurekebishana panapobidi, kujuliana...
Hili swala lmekuwa lkiniumza na kunitatza sna hasa pale lnapokuja swala la matumizi ya pesa,hv ukisndwa kumpatia mpenzi wko pesa au kumtimizia hitaji lake on time pndi anapohtaji na kumwambia...
Habari wana JF,kuna jambo ambalo kwangu mm linanitatiza kidogo,utakuta kwamba mwanamke ameolewa hali akiwa tayari alishakuwa na mtoto na mwanaume mwingine kabla ya kuolewa,jamaa aliyemuoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.