Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Dunia inamambo mengi sana wakati nikomdogonilijuakuamaisha niubwete sana na kuishi na mawanamke nijambo ambalo kilamtu analiweza lakinibaada ya kupata akili timamu nimegundua kua yakupasa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
habari wanajamvini... ningependa leo niwaombe wanaume watuelewe kama mlikuwa hamtujui, zaidi nazungumza na wanaume walio kwenye mahusiano, unaweza umkuta mpenzi wako amenuna na usijue...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Dear ........, Najua wewe ni mpz wa JF na ujumbe huu utakufikia. Kumbuka kwamba huu ni mwaka wa tano tangu univike pete ya uchumba. Baada ya kunivika pete ukajihalalishia kunigegeda kadri...
9 Reactions
74 Replies
10K Views
Kwanza napenda kuwashukuru nyote mlio komenti katika thread yangu ya "natafuta mwanamke wa kumlipa anizalie mtoto kwa mkataba" ingawa wengine tulipishana kimtazamo katika kuwekana sawa naomba...
0 Reactions
97 Replies
7K Views
WASIOOA – WALIOACHIKA - KUFA MAPEMA. Utafiti mpya wa masuala ya uhusiano umebainisha kuwa watu wenye umri kati ya miaka 35 na 40, ambao hawajaoa au kuolewa wapo kwenye hatari ya kufa mapema...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
kutokana na kifungu flani (maloya wengine ni wakupe tukiwapa wataenda kukibadilisha itatolewa tu kwa ruhusa ya loya wangu). Open marriage inaruhusiwa kabisa kwa wanandoa kwa kuzingatia vigezo na...
5 Reactions
47 Replies
4K Views
1.Furaha 2.Nyota 3.Sina 4.Faida 5.Vita 6.Amani 7.Bahati 8.Siri 9.Neema 10.Sikitu 11.Aina 12.Bedui 13.Taji 14.Faham 15.Sinabahati 16.Fimbo 17.Fahari 18.Siwema 19.Wema 20 Sikujua 21 Siwema 22.Mazoea...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Polen na majukumu ya kila siku mimi ni kijana wa miaka 23 na bado nipo kimasomo katika chuo flani cha elimu ya juu ila nahitaji kuwa na mtoto m1 na hii nikutokana na shinikizo la mama kuniambia...
1 Reactions
216 Replies
14K Views
Ndugu wana jamiiiii kama kuna yeyote anaye jua kwamba kufanya mapenzi kila siku kuna madhara anihabalishe wandugu
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Zama za awali mahusiano yalipokuwa matamu bint alipata mpenziwake. kwenye simu akam-save.......... 1. urafiki wa mwanzo(boy friend) --------- ----SWEET HEART 2. baadaye...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hay wanajamvi Leo nimeona niingie kwa namba 1 kama ipo kitu kinachonishangaza mie ni hawa watu yaani binadamu kwa kuwaangalia au kuwatazama huwezi kuwamaliza hata punje ya haradali...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hali kama hii huko nyuma haikuwepo. Sijui ni ugumu wa maisha au basi tu kizazi kipya na swagga zake. Mtoto wa kiume kuomba ofa, au kunywa bia za mwanaume mwenzake na kitimoto na ndizi tano si...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Sura unayoiona hapo kulia ni sura ya mwanaume. Bila shaka umewahi kukutana na sura kama hiyo maishani mwako. Hata kama siyo inayofanana hivyo kwa kila kitu, bali ni sura ambayo unaweza kusema...
13 Reactions
65 Replies
7K Views
Several guys are quite comfortable with expressing their affections for the one they love. But most guys have a hard time expressing their feelings the romantic way. #1 He remembers what you...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii ni habari njema sana kwa wale wanaohangaika kutafuta tiba ya kukuza maumbile yao iwe ni matiti,makalio au uume kwani imetangazwa kwamba mti unaofahamika kama "Mvunge" umethibitishwa kuwa...
0 Reactions
15 Replies
9K Views
Habari za asubuhi wanajamvi.natumai weekend ilienda vizuri na leo tunawajibika kama kawaida. Kwenye pitapita zangu weekend hii nkakutana na hili swali kutoka kwa msichana m1 rafiki yangu.hivi...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Tulivyo anza mahusiano salam ilkuwa haigombi tena ilikua shikamoo,miaka inavyoenda shikamoo ilikufa ikabakia za saa hizi nayo imekufaa imebakia kutazamana sura nisipo anza salamu basi tutatazamana...
2 Reactions
52 Replies
5K Views
Najptisha uch uch karbu na chumba chake ila mshkaj kazuzu hata hanipgsh sound, nampikia, nampelekea maji bafuni, kumfulia, namletega zawadi na haitosh nimewah mpaka kulala kwake jamaa hakunigusa...
3 Reactions
99 Replies
8K Views
Wanajamvi naomba ushauri wenu, sasa nina miaka 28 nilibahatika kuanza mapenzi nilipoanza chuo mwaka 2006, nimeshakuwa na relation 4 tofauti tofauti, katika hz relation wawili nimewapata facebook...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
WanaJF habari!! Hapana shaka kuwa sehemu kubwa ya maisha ya binadamu yanataliwa zaidi na mahusiano ya -me na -ke. Bado sijajua sababu hasa ni nini lakini nikiangalia katika maandiko matakatifu...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Back
Top Bottom