Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Ilisemwa ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Huko nchini Brazil mwanamke mmoja ambaye alikuwa amemchoka mumewe na hivyo kutaka kuachana naye aliamua kufanya jambo moja baya sana ambalo si...
21 Reactions
87 Replies
12K Views
Wakubwa zangu shikamooni! Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Kwanza kabisa nashow some love to JF dar wing waliomake things happen kwenye White Party! Mtambuzi uko juu sana my Broder! Mambo yalikuwa...
17 Reactions
125 Replies
11K Views
Naomba wataalam mnijulishe, shemeji yangu kaondoka nyumbani kwa mumewe ambaye ni kaka yangu kisa eti amekuta mumewe kaandikiana na mwanamke sms wakiitana darling
2 Reactions
58 Replies
6K Views
Ni kona muhimu kwako wewe na wengineo wanaoyajali maisha yao kwani hakika kila utakachokisoma hapa kitakuwa ni chenye manufaa kwako. Leo nitatoa somo kwa wanawake walio ndani ya ndoa, kwenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Niko mkubwa haya mambo yamo humu? nataka kujiliwaza.
0 Reactions
21 Replies
20K Views
Zama Hizi "Wapendanao" Hatupigani! Naomba nichukue nafasi hii kusherehesha kidogo, maana kwa huku uswaz hapaishi vituko! Mara wanandoa hawa wamepigana, mara huyu kamfumania...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Girlfriends! Ukiambiwa uchague; kulizwa au kuliza utachagua nini? I use to be a good girl, but it costed me a lot of cries and sleepless nights! Then siku moja mama mtu mzima akaniambia kuwa...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Poleni na majukumu ndugu zangu,.naomba kuuliza jamani naombeni msaada wenu wa mawazo; Hivi mwanaume akiwa na mpenzi wake, ambaye anampenda na wameshafika mbali kama kuchumbiana na kushirikishana...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Kanisa KKKT laagiza Mabibiarusi kutovaa nguo zinazoachia matiti nje na migongo wazi Mivao kama hii haikubaliki kuingia nayo kanisani wakati wa ibada ya kufunga pingu za maisha, licha ya makwazo...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Habari zenu wana janvi,yamenifika shingoni mwenzenu ndio maana nimeamua kuomba msaada wa mawazo yenu. Nina umri wa miaka 30 na mume wangu ana miaka 38 tunapendana sana na tumeoana miaka sita...
6 Reactions
162 Replies
18K Views
Jiunge nasi uone Mahusiano ya tofauti,karibu katika ulimwengu wa uhalisia,njoo ujue umbali unao weza kwenda zaidi ya ulipo. Usiboreke weekend hii,huhitaji kwenda Club,njoo uone utofauti...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wana wa MMU tupo kwenye jukwaa letu la kujidai kwa sababu za kujuzani siku ziende za kupeana mashasham ya kuelimishana, kukosoana na kuburudishana. Ujue member wa jukwaa hili huwa wanaonekana...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Mkazi wa Kijiji cha Nakalonji, Wilaya ya Nachingwea, Mkoani Lindi, Husein Ng’ombe (35) amewajeruhi watoto wake wawili na baadaye kujinyonga baada ya kukataa kutoa talaka. Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
.........$
2 Reactions
9 Replies
866 Views
Huu wimbo aliimba dada Norah Jones. I love the melancholy of the song. Come away with me in the night Come away with me And I will write you a song Come away with me on a bus Come away where...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Rutgers University researchers have discovered that séxual árousal numbs the female nervous system to such an extent that she doesn't feel as much pain—only pleasure. Orgásm affects up to 30...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani wanajamvi mwenzio akinyolewa nawe tia maji............... Hapa nilipo nimechanganyikiwa ................laiti ningejua haya yatatokea nisingekubali......... Haya ni maneno yaliyomtoka...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Upo msemo kuwa muonja asali haonji mara moja, na msemo huo hutumiwa sana kuwaelezea wanaume wanaowasaliti wenzi wao kwamba, hata wakifumaniwa, ipo siku watarudia tena. Niliwahi kujadili jambo...
14 Reactions
170 Replies
14K Views
Asalaam Alleykhu Wale ndugu Zangu na Bwana Asifiwe , Hope Wanajamvi wote mpo poa., Kuna Demu nilikutana nae kwenye mtandao huu wa J.F juzi juzi tuu hapa., Nikaona ananiPM Kwa Sana Nikaona Kama...
1 Reactions
159 Replies
12K Views
Tatizo cjui ni nn kwa huyu binti,kipindi tunafanya mapenzi yy huwa anafanya shughuli zake 2 mfano,unaweza kuta anarusha nyimbo,anasoma sms,n.k.sasa sijui hana hisia za mapenz au haridhiki na mm??
0 Reactions
78 Replies
7K Views
Back
Top Bottom