Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wake up!! ……Decide to have a good day. “today is the day the Lord hath made; let’s rejoice and be glad in it” Psalms 118:24 Dress up!! ……The best way to dress up is to put a smile. A simile is an...
1 Reactions
2 Replies
755 Views
ILIKUWA NUSURA IWE KESI KUBWA KWA WAPANGAJI,,BAADA YA MPANGAJI (MWANAUME) KUJIFUNGIA NDANI PASIPO KULA KWA SIKU TATU MFULULIZO ,HATA HIVYO HALI HII ILIPOBAINIKA ALITOLEWA NJE NA KUPEWA HUDUMA...
1 Reactions
67 Replies
12K Views
Ni kweli. Kuwa uzuri wa ndani ni muhimu sana. Lakini tusidanganywe. Wala tusijidanganye. Eti kuwa uzuri wa nje si muhimu. Tena tusidanganyike eti kuwa uzuri wa nje unachuja na kuchakaa. Ukiupenda...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kabla ya Ndoa mambo huwa hivi:- MME: Nilitamani sana muda huo ufike. MKE: Vipi wataka niondoke? MME: Hapana hata kidogo. MKE: Unanipenda? MME: Ndo maana ake... MKE: Utaniletea demu mwingine...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Yan nikimuona tuh huwa nakuwa hoi bin taaban, mke si ndio huyu??
8 Reactions
102 Replies
11K Views
nikiwa job nahisi kumpenda na kumis sana na kuwasiliana vizuri. kama tulivyo ishi 3yrs mke wangu wa ndoa ila siku hizi nikimuona nahisi kumchukia sana bila sababu.nimejaribu kuuli nimeambiwa et...
1 Reactions
39 Replies
16K Views
habari ya jioni wadau. Niko na rafiki yangu hapa ananiomba nimshauri afanyaje maana anatamani kuolewa na mtu watakaependana kwa dhati. Tatizo anaowapenda wanamtenda, asiowapenda wanamjali sana...
0 Reactions
50 Replies
7K Views
Habari zenyu bhana! Siku nyingi sana ila kiukweli nimewamiss sana! Sasa nakuja na hii! Ni kwa nini wanandoa hutoka nje ya ndoa zao! Nimemkuta jamaa mmoja kijana hivi ndoa yake ka miaka 5 hivi...
0 Reactions
34 Replies
9K Views
Pengine hii inawahusu walio katika ndoa na ambao bado!Ni zipi hasa lugha za mwili katika mapenzi?! Hapa nnazungumizia ishara, milio au sauti fulani ambazo ukisikia au kuona kutoka kwa mwenza...
11 Reactions
15 Replies
7K Views
Ninashindwa nikuweke kundi gani Nashindwa nikuite jina gani Nashindwa nikulipizie kisasi gani Nashindwa nikufanye nini Nashindwa nikueleweje Nashindwa nikuchukulie uamuzi gani Ahhhhhh Mwanaume...
2 Reactions
70 Replies
5K Views
a woman's loyalty is tested when her man has nothing.A Man's loyalty is tested when he has everything
0 Reactions
13 Replies
1K Views
kuhusu namna ya kudumisha penzi iwapo wewe umeolewa hasa kwa kina mama ambao penzi lao ninaelekea kuyeyuka. Na bila jitihada za hapa na pale penzi lako na mumeo linaweza kunyauka kabisa!!! Na...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Poleni na majukumu kwa wenye kaz na msio na kaz endeleeni kutafuta na laana kwa wote msiopenda kaz ila mnataka kula na kuvaa vizur. Mimi ni mwanafunz katika chuo kikuu kimoja maarufu hapa nchini...
16 Reactions
79 Replies
6K Views
Mara nyingine matatizo yanayo hitaji ushauri hapa yanaweza pata majibu toka kwa wana saikolojia. Haya sasa,mmefuatwa saivi,acheni ubahili,Chris Mauki ana wakaribisha.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
MWANAMKE: 1.Unakutana na jamaa anakutongoza na wewe unamkubalia (Vigezo na masharti kuzingatiwa). Baada ya muda kidogo kupita jamaa anaomba mkutane faragha kwa ajili ya mambo fulani(......)...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Hapa namanga kuna mzungu aliyelowea Tanzania toka 1980's aliyekua anaitwa Shaban hapa namanga amepanga upande ana mke na watoto ila mke wake na watoto wake wanaishi Zanzibar. Huyu shaban kibarua...
0 Reactions
51 Replies
8K Views
. Wanaume wenyeheshima ni walinzi na pia watauhifadhi moyo wako, kulinda hisia zako, kulinda heshima yako na watakupatia msaada wa kiroho, kiakili na ustawi wa kimwili. 2. Wanaume wasiokuwa na...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Tuweni makini ndugu zangu kwani wale dada zetu ambao wamekuwa wakifanya ukahaba mavyuoni ndo wanarejea nyumbani kwa ajili ya likizo hivyo tuwe macho kwani wanaweza kutuletea biashara zao magetoni...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Hay mamods wenzengu Sasa naona zile gia zote gari zimekwisha, niliingia kwa kusimama, nikaja kwa kutembea na kisha kunyata nyata na kutambaa kabisa sasa kuna gia ipi ingine ambayo...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Dah!
12 Reactions
82 Replies
5K Views
Back
Top Bottom