UNAWEZA KUDHANI NI MWANAUME SIO??
Anaitwa Renee Toney mwanamke body builder(mjenga misuli)na mnyanyua vitu vizito.Renee au Rene wanavyomfupisha asili yake ni Brazil lakini ni raia wa Marekani...
I have over heard ladies say that a boy becomes a man when he is 18 or 22. But may guys of that age now days are still being pampered either by their parents or guardians. While many at that age...
Habari zenu wakuu.
Nina rafiki yangu wa kike ambae ninampenda sana. Tupo kwenye mahusiano kwa miezi minne sasa. Mahusiano yetu ni mazuri, ila kila nikimuomba tushirikiane faragha (yaani kufanya...
Mimi na mke wangu wote tuna Masters (Second Degree), Tulioana mara baada ya kumaliza degree ya kwanza. Mimi nafanya kazi sekta binafsi na mke wangu yuko Serikalini. Kimapato mimi namzidi mke wangu...
Nimekuwa nikikerekwa sana na UNAFIKI wa baadhi yetu na tabia ya kuona jambo fulani ni dogo kwa kuwa tu si haki yetu inayokiukwa kwenye tukio fulani. Nimewatanguliza Wanaume Wakristo kwa kuwa...
Hata mimi kiukweli-kweli sipo.
Nipo tu kama NN na wakati mwingine huwa siingii kwa miezi hata mitatu na zaidi.
I'm just too private a person to put my personal business and pics in there...
assume wewe ni mzazi mwenye mtoto wa umri huo, je huwa unafanyaje pale mtoto huyu anapokuwa anakataa kwenda shule??
ipi ni njia sahihi ya kumtia moyo hadi apende tena kwenda shule?? na je...
Habari wana MMU? Nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tulikuwa tunapendana sana na tulipanga Mungu akijaalia tufunge ndoa mwaka huu mwishoni. Sasa leo ameniandikia meseji akiniambia Mama yake...
Habari zenu wana MMU, kuna binti nimefahamiana nae km 2month ago na tumependana ki ukweli,nlikua nikitafuta mpenzi wa namna hii kwa muda mrefu. Huyu binti kamaliza chuo na anakazi kwa...
Mwenye sura hiyo ni mwanamke. Ninaamini umeshawahi kukutana na sura kama hiyo mahali na kama bado, huenda utakuja kukutana nayo. Kama ni hivyo, hebu soma kidogo kuhusu haiba za mtu mwenye sura...
Habarini wana jamvi. Namtafuta rafiki yangu mpendwa Evart Mpambije,uncle wangu Mary Kimbuzi pamoja na wale wote waliowahi kupitia MAKUTUPORA JKT OPRESHENI KAMBARAGE,B-COY chini ya makamanda...
Wadau mwenye kulijua hili anisaidie,kuna dada nilizaa nae kabla sijafunga ndoa sasa mtoto amefikisha umri ambapo tumekubaliana nimchukue baaada ya kufuata taratibu zote za ustawi wa jamii,hatua...
USHAURI KUTOKA KWA RAFKI YANGU
Rafki yangu ni mwanamke mwenye umri wa 21. Tangu mwaka wa tatu huuu huwa ana hisi maumivu sehemu za siri akiwa na feeeling ya kumkumbuka boy wake wa Tanzania...
Ndugu wadau wapendwa, katika tafuta yangu nimemkwa huyu demu wa kidhungu lakini sasa kimekua kizunguzungu kwangu kwakua english yenyewe ni ndogo na hii ni barua ya 5 izo za nyuma nilijitahidi...
A 29 years School drop-out woman whose parents died in an accident couldn't get help from any family member, because she was adopted. 10 years now, she had been staying with a weed smoker...
Wakubwa zangu shikamooni!
IGWEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!
Wanawake wengi (mie nikiwemo) tumekuwa na tabia isiyo ya kistaarabu ambayo mwanaume humtaki wala nini nae huna ila kufaidi vitu vyake...
samahani kidogo kwa kutumia lugha kali............
lakini naomba tuelezane ''ukweli''.hoja ya kwamba infidelity is there to stay NAIKUBALI SANA......
lakini kuna hili swala la mwanaume kutoka...
Mauaji ya "Wivu wa Kimapenzi"Ndugu wana jamvi mimi kwa mudasasa kama mwaka hivi nimekuwa nikifuatilia kwa karibu haya mauaji ya wanawake au akina mama na wakati mwingine wamekuwa wakiuwawa kwa...
Niko mbali na Tanzania kwa muda.
Nimebahatika kkukutana na huyu mzaire, kijana ametuma maombi. najihisi kumpenda! Ila yeye sio wale wazaire wanaojichubua na kupenda vipodozi.
haha majina kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.