Kutokana na magonjwa ya zinaa (wadada sana ni UTI), Hoteli za kitalii zimegundua kuwa vyoo vyao vinatumiwa zaidi na outsiders ambao hawajanunua hata crisps ktk Hoteli hizo. Wengi wanakwepa vyoo...
Kuna mtu nilikuwa naongea naye mda mfupi uliopita, akaniambia kwao kila kitu cha thamani lazima kiwekewe bima ili kikipata madhara uweze kulipwa fidia...
Mimejaribu kuwaza kwa haraka nikagundua...
Wanajamii hebu nisaidieni kuna tamthilia inaonyeshwa na ITV na EATV inaitwa SIRI YA MTUNGI kiukweli mbona haizingatii vigezo na masharti ya tume ya mawasiliano nchini? Nasema hivyo kwasababu...
Wana JF,
Hivi hii tabia ya mpenzi wako kuwa busy na tamthilia za kwenye Tv stations, hata kuacha ku pay attention ktk mambo muhimu ndani ya nyumba, inawakuta na nyie? Kwangu imekuwa too much...
samahani kwa kuwachosha wakuu,hi kitu kwangu ni tatizo sana na ina nikera.na amini watanzania tumeumbwa na maadili ukutanapo na mtu mkubwa wako au mdogo wako kumsalimia ni jambo la...
Huwa napata shida sana nikikutana na Wanawake wenye hii tabia...Unampenda Mwanamke kabisa from ur heart,unajipanga unampiga saundi..anakujibu,''How old are you kaka'' unamwambia am 26...
Huyu binadamu lol..!nikiwa nae the whole day basi atajifaragua na simu mara ooh sitaki watu wanisumbue...unajua kinafulani wanataka twende.....watanitafuta..!!mara ngoja tu nizime hii...
Nina rafiki yangu hajakaa hata mwezi Kwenye ndoa mama mkwe kahamia na wajukuu wa Tatu .rafiki
Yangu kanipigia simu analia kwa uchungu baada ya kumuuliza mume wake kwa nini wanahamia akasema yeye...
WANAUME,tuweni makini na Bikra feki...Wanawake wana mbinu nyingi sana za kukuingiza kingi,ndoa imekuwa mtihani kwao,wanafanya kila balaa ili wakuchote akili uingie kingi.Ukiacha hawa wengne ambao...
Heshima kwenu sisters and young ladies..
Nimeguswa sana na thread ya sister hapo juu aliyetoswa na jamaa yake kisa mama yake hataki kabila lake..
Na kuna mwingine leo leo nae analalamika...
nina miaka 29 nina mpenz kwa miaka 7 sasa tunakaribia kufunga ndoa hivi karibuni.tatizo mpenz wangu n mvivu ktika suala la mapenz sana na amekuwa akihesabu mara tulizofanya mapenz kwa mwezi na...
Jamani naombeni ushauri. miii mtu wa mazoezi sana siwezi miss a weak sijaingia jim. napenda tooo sii kama mnene mwembamba sana ila napenda cuz body yangu inakuwa kwenye shape nzuri. Ila rafki...
Mume: Nilitamani sana muda huu ufike.
Mke: Vipi wataka niondoke?
Mume: Hapana hata kidogo.
Mke: Unanipenda?
Mume: Ndio maana yake.
Mke: Utaniletea demu mwingine ndani?
Mume: Siwezi kufanya...
Bucket List ni orodha ya mambo ambayo ungependa kufanya kabla ya ku expire. Sote tunafahamu kwamba hatujui expiry date ila sote kuna mambo huwa tunatamani hasa tutekeleze.
1. Ningependa kwenda...
Ndugu zangu wababa kwa wavulana tuige mfano wa mwanaume huyu. Lengo kubwa kuondokana na mfumo dume uliopo wa kumgeuza mwanamke kama punda kazi siku hizi nikusaidiana mwenzio anapika wewe unaosha...
Ni jambo la kiungwana kuomba ushauri kwa wana JF wenzangu kabla sijafanya maamuzi fulani.
Kuna jamaa yangu hapa Mwanza (fundi kompyuta) ambaye nilifahamiana naye kwa mara ya kwanza kupitia nyumba...
Hivi ni kweli wanaopendana sana kiasi cha kuwashangaza wengi,hawadumu ktk uhusiano na hata ktk ndoa? Wenye uzoefu mmewahi kuliona hili?
Pia,uchumba unaodumu miaka zaidi ya 3 mara nyingi haudumu...
Hivi siku hizi katika mahusiano wapi wanasumbua hasa???wanawake au wanaume??maana kuna kauli mbalimbali sana utasikia wanawake wa siku hizi bwanaa wasumbufu ile mbaya hivi ni jinsia zote mbili...
Labda mie ni mshamba wa mapenzi basi mnisaidie wapenzi, lakin ki ukweli mapenzi ya facebook yananishangaza jaman......mtu ana mtu wake ila daily ni kutoa vitisho na kumtangaza huyo mtu(mchuchu)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.