wanajf nisaidieni mawazo...nina hg kutoka iringa ana wiki ya pili tu tangu nimemlipia elfu sitini kumleta tanga.....
nilimsikia akitoa harufu kali sana mwilini nkajua huwa haogi mchana....kwa vile...
Jamani kuwa mzazi nako shuhuli kama huna general knowlegde au baadhi ya vitu huvijui nouma.
Kisa hiki kimenitokea jana usiku niliporudi nyumbani mida ya saa 2 usiku nikamkuta mtoto wa wifi yangu...
Ki ukweli nimeangalia sana pornography, sana tena sana na mwisho wa yote nimegundua mengi sana kuhusu uangaliaji wa wa porno na hizi hapa ni athari kubwa usizoweza kugundua mapem kama utakuwa...
Nisaidieni kunipatia majibu ya suali hili:
Mtanzania mmoja yupo London akawaagiza ndugu zake wamuolee mke, Wakamuolea (kufanya hivi katika dini ya Kiislamu inaruhusika lakini huwezi kumuingilia...
Hello wana MMU,
kama kuna mtu alishawahi somaga story yangu ya zamani kidogo kuhusu sitaki kuolewa nimeamua kuzaa,
ni hivi yule niliezaa nae alikua hajaoa bado ila nilimpa goahead akitaka kuoa...
unajikuta mwanaume umeangaika sana, mwenyewe unakiri kwamba inatosha bora nimtafute mmoja nitulie tupange maisha lakini unayoyakuta unaona bora urudi kama mwanza kwa wale watu wale waleeeee...
-"I was raped at the age of 9 "- Oprah Winfrey
-"I didn't even complete my university education" - Bill Gates
-"I was sexually, mentally, emotionally and verbally abused by my father as far back...
PENGINE haya tunaweza kuyaweka kwenye kundi la madhara yatokanayo na utandawazi. Mitandao ya kijamii ipo inayowasaidia wanafunzi katika masomo yao na kazi, lakini wengine wanatumia mitandao hiyo...
Nimefurahishwa na tukio la juzi la kuona polisi imeingilia kati familia ambayo ilikuwa inataka kuolesha mtoto wa miaka 13.
Wanaume ni lazima kwenye jamii yetu tusimame na kutetea wanawake...
If You saw someone beating your mum, you rushed into the house to fetch a weapon and found someone in bed with your wife/husband. Which would you attend to 1st?
Don't lie & do not criticize
jaman kwema wanajamvi??/ mm ni mbint nimekua na mahususiano na watu 3 tofauti wote kuishia kunitenda wengine kushindana kitabia tangu mwaka juz nimeamua kuachana na mahusiano na kutumia njia hii...
Asie fundwa ktka unyago hufundwa na wapenzi! Siku zote Ero mm nilijua kuwa SEX lazima iwe ya vurugu,
yaani mavitu ya kufungana vitandani, mara kupigana pingu, mara kuwekana blind fold, mara...
hbari za sa hzii wapendwaaaw
mimi nina mpenz wangu tangu tuanze mahusiano hayo ni kama miaka 2 sasa imefika
lakini siku hizi simuelewi kwasababu ilikuwa kila mwezi lazima ni sex naye lakini...
habari za cku wana JF.....? nitafurahi sana kusikia maoni yenu hasa mlio oleana bomani.. yani ndowa ya kiselikali. hivi inakuwa na ushirikiano kweli wa pande mbili....? hasa wakati wa matatizo ya...
Angelina wanted to travel to Lagos by bus..
So she paid and occupied a seat and she went to
buy something,on her coming back she found out
that another person has occupied that seat...
So she...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.