Inawezekana kabisa unazunguka na bahasha yako mjini kila siku ukitafuta kazi hadi soli ya kiatu imeisha..,lakini huu ni mwaka wa tatu au wa nne toka umalize chuo but no job.......dont worry be...
FREE ADVICE TO ALL SINGLE LADIES FROM MICHELLE OBAMA
"Don't look of that man's bankbook or tittle" becouse you will end up disppointed
Look at his heart,look at the soul ,look at how the...
Ni mara ngapi umeshawahi kusikia malalamiko au hata kuvunjika kwa ndoa kutokana na ugunduzi wa wanawake kwamba waume zao walishazaa nje bila kuwajulisha wakati wakioana? Jibu bila shaka litakuwa...
tulizoea kuona alama inayoelezea penzi /mapenzi /upendo ikiwa imechomekwa mkuki hapo awali ila sasa alama hii haina mkuki unayoichoma kama zamani , je hali iliyokuwa sababisha mkuki ule uwepo...
Wanaume wenzangu, Umeshawahi kupata Msichana, mnadate lakini yeye ana sheria kama anaishi Europe wakati wazazi wake wanakaa NGALE LO O?? Msichana anaku-ektia maisha hadi wewe Boyfriend wake wakati...
Kuna aina ya mtu katika maisha,ukimpata akawa mpenzi wako,unasema asante Mungu, umenipa zawadi hii,he/she is a man and a half,ni kama wewe ni Chips umekutana na Fried Chicken with Mayonnaise,ni...
1. Write a love poem about each other and read it out.
2. Call a radio station and dedicate a love song. Make sure he or she is listening!!
3. Write '143' in lipstick on the mirror and...
Kuna mganga mmoja wa jadi nilipanda nae daladala(huku Mwanza tunaziita Hiace).Kwenye usafiri huo kulizuka ubishi ni nani kati ya wanaume na wanawake ni nani hajiamini zaidi na mapenzi.Kama...
hellow great thinkers.......
naamini katika mahusiano yetu ya kimapenzi tunakutana na watu wenye tabia mbalimbali,kuna wenye kuongea haswa na wawazi katika kila jambo,yaani wao ndio waanzisha...
Bazazi kwa kipindi cha takribani wiki mbili hakuwepo mtandaoni;
Ni maisha tu yalikuwa yanamtatiza.
Katika hangaika yake alifika katika wilaya ya Mpwapwa.
Katika Jimbo la Mpwapwa, Tarafa ya...
Ukiona umedumu na mwenzio kwa zaidi ya miaka 2 na kuendelea ktk mapenzi na hajawahi kujamba mbele yako achana nae faster. Kama anaficha kitu kidogo namna hiyo ni vingapi atakuwa ameshakuficha!?-...
Habari za Asubuhi wana MMU!
Naomba kuuliza swali kwa wazazi wenzangu ni kwa nini kama mume na mke wametofauiana ndani ya nyumba, basi utakuta baba anakuwa mkali kw watoto, na wakileta mchezo...
wakuu niaje,ni mara nyingi nimeona wapenzi wengi iwe mke au mme,katika walet zao utakuta kuna picha ya wapendwa wao iwe mke/mume au mchumba,ivi ndo kwamba wanawapenda sana au?na kama wewe mke wako...
Love means having something in common..Someday you will find someone who makes you feel like the wait was worth it and you will be happy why it never worked out with anyone else...
kuna kaka mmoja ni rafiki yangu na ana mpenzi wake lakin kwa muda kidogo wamekua kama hawaelewani na wanaishi nyumba moja hawajaoana asa kaka ananitaka mim niwe mpenzi wake akimaanisha kashoshwa...
Msichana akitaka kukutafutia
sababu ya kukukataa wala
hatumii nguvu,ana majibu mengi ya kutoa na majibu yao makuu ni:
1.We kwanza mweusi na mi mweusi mtoto
atakuwa so
dark,mi napenda wanaume
weupe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.