Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Napenda nimpate mchumba wa kike umri 19-25, mkristo, mfanyakazi(ameajiriwa), mrefu wastani, rangi yoyote, si mnene si mwembamba. aliye tayari ani-PM Mimi nina miaka 27 mwanaume,ni mtumishi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wadau uuuuuh, leo ndo nimegundua majungu kazini yanatisha. Watu wana wivu wa mambo ya kitoto jamani, hapa nimekwazwa na bosi pamoja na wafanyakazi wengine, siku yangu imeharibika kabisa...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Sofia alikuwa msichana mwenye tabasamu,mchangamfu na mwepesi sana wa kupata marafiki. Katika umri wa miaka 16 umbile lake lilikuwa sawa na binti aliyetayari kuolewa na kuanza majukumu ya...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
The #1 reason why you may be single is... "Is your family keeping you single?" could be the title of a reality TV show these days. But the truth is, your relatives may actually have a bigger...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamvi wote na hongereni kwa kuingia 2013, amani na upendo kwenu wote. Jamani leo naombeni mnisaidie nimjibuje huyu binamu yangu maana tangu juzi ananipigia simu hajui afanyaje...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Jamaa yangu mmoja kamtongoza mdada tangu mwaka jana hadi mwaka mpya umeingia hajakubaliwa. Mwaka mzima anatongozwa.
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Kwanza kabisa napenda kuwatakia heri ya mwaka mpya 2013...wana jf wote hasa wadau wa safu hii ya mapenzi jamani kuna rafikiyangu alikua na demu wake chumbani kwake ghafla nikaona ananigongea...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Jana usiku nilikua nimekaa zangu block G{kwa wale wana udsm nadhan wengi wenu mtakua mnapajua}wakaja wadada wawil wakakaa pembeni yangu,mmoja akaanza kumwelezea/kumuomba ushauri mwenzie...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hello members wa MMU, Nina mpenzi wangu tunayependana kwa dhati sana na tuna malengo ktk future yetu. Juzi kati aliniaga anasafiri kidogo nje ya mkoa na nikamwelewa tu kivizuri kwa vile alikuwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
I WISH YOU A HAPPY NEW YEAR 2013 BUT BACK TO MY SIDE, Am not very happy man coz there are some things have been happens and I don’t real like about the world in general. So, Lets me...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Ni tabia ya mwanaume akitembea barabaran akiwa na mchumba wake au mke wake,ghafla akapita msichana/mwanamke amevaa vizuri,au mrembo sana au amejazia jazia,utaona mwanaume anageuza shingo na...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Hugh Hefner Marries Crystal Harris Mr. and Mrs. Hugh Hefner at the altar. (Instagram) Hugh Hefner and Crystal Harris are on their way to happily ever after! The Playboy founder, 86...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
“Your standards are ridiculous. The man that you’re holding out for doesn’t exist. You are going to die old, lonely, and bitter!”
8 Reactions
44 Replies
4K Views
Habari wanajf... Natatizwa na hili swala jaman nisaidieni Hv kuna madhara yoyote kuendelea kuwasiliana na x-boy /x-girl wako,wakati unadate na mtu mwingine?? Nahitaji msaada wakuu
0 Reactions
42 Replies
3K Views
wanajamvi! Mie n kijana w kitz,nimebatika kusafiri nchi kadhaa ktk east afrika. KTK pitapita zangu,nimepigwa na butwaa na kubaki nikishika tama!!nimetafuta suluhu kw wengi...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Pale wapenzi wanapofumaniana au pale mmojawao anapokuwa na hisia za kusalitiwa,msalitiwa humuuliza msaliti:'kwani huyu/yule ana nini ambacho mimi sina?' Ni swali gumu kwa wengi.Wengi hubaki kimya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
@ Mjisikie huru kuweka wimbo wowote ule iwe Bongoflava, taarab, zilipendwa, za kikabila, bolingo n.k. katika kusherehekea kuuaga mwaka wa 2012 na kuukaribisha mwaka 2013. Heri ya Mwaka Mpya...
18 Reactions
103 Replies
7K Views
ngoja na mimi leo nitoke kimtandao, hii ni special kwaajili yako mpenzi, ni mimi mpenzi wako AS.
1 Reactions
35 Replies
2K Views
nawashuri wale wote ambao hamjafungwa katika jela ya mapenzi fanyeni hima mje gerezani,mwenzenu naingia mwaka wa tisa huu gerezani raha tupu,au hamjui ilipo mahakama za mapenzi ? Wajuzi waambieni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hii imetokea leo mlimani city eneo ilipo bank ya nmb, ambapo jamaa mmoja mtanashati alipogongana uso kwa uso na njemba moja iliyokuwa imeongozana na mke wake sijui yule. Yule mdada alikuwa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom