Yani tumekaa miaka miwili hatujawahi kusex hata mara moja, naona uvumilivu umenishinda. SI MUDA MREFU NITAANZA KUM-CHEAT na sitaki kumuumiza moyo wake bora nimuache tu..
jamani wadada tuache tabia mbaya ya kuwategea wapenzi wetu, kila kitu ufanyiwe we wa kusubiri tu!asilimia kubwa wako hivyo.
1.zawadi yeye ndo akupe
2.mawsiliano ye ndo awe wa kwanza kukutafuta bla...
90% of Ugandan chicks have aborted a minimum of
5 times before their final year.
*75%Of Kenyan chicks follow men because of
money-gold diggers
Only 20% of Campus girls in all African...
Hamjambo wote wanajf
happy new year
Leo nina habari iliyonjema kwenu hasa wadada na makaka wa jf, ni vyema kwa mwaka huu ukajipanga unafanya nini na nini ambacho unataka kukifanya kwa mwaka...
Mke wangu amejiunga na VICOBA na pia NGO moja ya mambo ya kuwawezesha wanawake kibisahara. Amekuwa akisafiri mara kwa mara kwenda mikoani kwenye semina za hiyo NGO yao. Nimekuwa nikilalamika sana...
Huu ndio umri wao wa kufanya vibweka.......!
Inaelezwa na wataalamu mbalimbali kwamba wanaume wanapofikisha umri wa miaka 40 mpaka 55 huingia kwenye hali ambayo kitaalamu hufahamika kama Middle...
Wanajamii habari za mchana?
Namshukuru mwenyezi mungu kwa hatua niliyofikia, kimjumla nimeoa na nina watoto wawili na ninafanyakazi katika sekta ya Afya, nimeajiriwa mwaka mmoja uliopita (Ni Ajira...
Nawapa hay wanajf kwa siku ingine tena ya leo, imenibidi niseme yaliyojaa moyoni mwangu kwani kuna kitu kinakera sana acha na leo nikitapike hapa katika kolamu hii nilikuwa sitaki kukisema ila...
Hi wapendwa wangu! Jamani nisaidieni mwanaume kuzaa nje ya ndoa halafu anaomba radhi kwa mke wake na mke anamsamehe kwa moyo mweupe na kumweleza amlete mtoto nyumbani wamlee pamoja. Baada ya mke...
Wakubwa zangu shikamooni!!!!!!
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!
Ukistaajabu ya Musa hujayaona huyu kaka!!!!!! Huyu kaka X bwana alienda huko mkoani field zile za miez sita! Basi kufika yeye si...
Mama mmoja aliachana na mume wake muda kama miaka 12 hivi iliopita, baadae akapata bwana ambaye walikuwa wanakaa mbalimbali, ingawa alikuwa walikuwa wanatembeleana na mara nyingine analala hapo...
Kwa nini wanaume hawawezi kutunza bikira zao mpaka siku ya ndoa na maana wasile ile kibibi mpaka baada ya ndoa ndio iwe mara yao ya kwanza kula hio maneno
Ilikuwa tar 24/01/2012 ndipo nilipoanzisha uhusiano wa kimapenzi na kadadaa(sio jina halisi)ana 23yrs.Kilichonifanya nianzishe uhusiano nae ni muonekano wake jinsi alivyo,usafi,pia tabia.Kadadaa...
Please accept my sympathy for the loss of your father.
Sina maneno ya kusaidia kupunguza machungu unayopitia sasa, lakini . .
Those we love remain with us, for love itself lives on, and...
"mummy,daddy wapi?".hili ni swali nimekuwa nikiulizwa na mwanangu wa miaka mitatu for the past two weeks. namdangayadanganya daddy atakuja au daddy kasafiri ila najisikia vibaya sana.
kwa wale...
Stray Cat and Blind Dog Form Unlikely Friendship
By Melissa Knowles
It's the beginning of a new year, and couldn't we all use a heartwarming story to get us off to a solid start? This story is...
Habari zenu wana JF,
Miaka kadhaa iliyopita nilibaatika kukutana na msichana mmoja ambaye tulikuwa tukisoma nae miaka mingi ilyopita wakati wa shule ya msingi na kwakweli tulikuwa mabesti sana...
I recently did a road trip from Nairoberry to Dar n twas a trip to remember, damn!,journey started @ 7am n by 9:30 was @ Namanga after an hour I was cleared by both customs n I hit e road, road...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.