Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
10 ways of marrying the wrong person 1. You pick the wrong person because you expect him/her to change after you're married. The classic mistake. Never marry potential. The golden rule is, if...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Hi wana jamvi heshima mbele !! Wajameni mwenye ujuzi na hili swala, kuna kitu kigeni kimejitokeza katika mahusiano yangu na shemeji yenu. Nakumbuka mwanzoni kabla hatujaoana tulikuwa tukiinjoi...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
ukiwa kijana Smart Lazima uchukue DAYARI uandike mwaka huu unataka ufanye nini, "MUNGU ANASEMA NJOONI TUSEMEZANE................"" ANDIKA NDOTO ZAKO KWA MFANO: 1.KUJENGA NYUMBA/KIWANJA 2.KUNUNUA...
1 Reactions
1 Replies
863 Views
Benefits In humans, sex has been claimed to produce health benefits as varied as improved sense of smell,[62] stress and blood pressure reduction,[63][64] increased immunity,[65] and decreased...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Daa my Baby alikuwa busy sana kunikumbusha zawadi za X-max, mwezi wote wa December. Kidume nikajitutumua nikamtimizia wekundu wa kumwaga. X-max sikuichukua pupa nikatoka naye, nilijibana kimtindo...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Ni nini hasa Mwanamke anahitaji kutoka kwa Mwanamume na katika Maisha yake? Assume: 1. Ni binti Mrembo wa asili wazazi wako ni watu makini, waelewa, wasomi na wanaoheshimika sana katika...
1 Reactions
213 Replies
22K Views
Kwa waume na wanawake, Kumekuwa na malalamiko ya watu kuparamia tu na kuanza kazi au kufanya maandalizi ya matunda kwa kuku. (Yaani hakuna kunyonyoa, ila kuosha na kula) Matokeo yake kila upande...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
BARAKA "AMBONISYE" EMMANUEL YAHWEH! Nakurudishia sifa, utukufu na heshima Mtawala wa Mbingu na Ardhi Mmiliki wa Enzi na Enzi Falme za Falme, Milki na Milki Zilizowahi kuwepo...
30 Reactions
78 Replies
6K Views
Wiki iliyopita nilikuwa nasafiri kutoka Mwanza kuja Dar na basi bahati mzuri katika kiti nilikaa na mrembo mmoja tukawa tunapiga stori mpaka Dar bahati nzuri yule mrembo alinipa namba zake za simu...
0 Reactions
85 Replies
7K Views
Inawezekana ni kweli wanaume wanaitawala dunia katika kile tunachokiita Mfumo Dume, lakini nao wanawake wanatawala kiota, siyo dunia. Ina maana gani? Kwa mujibu wa utafiti mpya wa hivi karibuni...
12 Reactions
46 Replies
4K Views
Nilikuwa nimekaa na dada mmoja mahali kwenye public ghafla yule dada akapigiwa simu na kupitia mazungumzo yao inaonesha hawafahamiani. Yule dada akauliza umenijuaje na umepataje namba...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mapenzi ni ujinga ujinga tu ndio maana wenye akili yanawasumbua. Tupia na wewe ya kwako!
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Hii ni kali hususan ukizingatia ni wapi inatokea
0 Reactions
0 Replies
895 Views
Yani tumekaa miaka miwili hatujawahi kusex hata mara moja, naona uvumilivu umenishinda. SI MUDA MREFU NITAANZA KUM-CHEAT na sitaki kumuumiza moyo wake bora nimuache tu.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
"macho yalinidanganya mbele sikuona,nikajikuta nampenda sana,bila kujua mbele ungeniumiza" KUNA JAMAA YANGU KATENDWA NA MCHUMBA WAKE NIMEMKUTA KAKAA KIPWEKE HUKU ANAIMBA HUU WIMBO ILIKUWA BADO...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Have you ever seen a palm tree in the midst of a great storm? That tree may be bent so far over that it’s almost touching the ground, but when the wind finally stops, that palm tree bounces right...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
vipi wakuu,heshima yenu,nisiwachoshe ni ingie kwenye point...kuna mdada nimiaka kama mitatu tulishawai kuwa wapenzi,tukaa achana kikweli nilikuwa sija tulia ujana ulikuwa unanisumbua tuka...
0 Reactions
75 Replies
5K Views
Nimekuta sms hii iliyoandikwa na Polisi kwenye simu ya mpenzi wangu. Unajua nakuthamini zaidi ya MSHAHARA, bila wewe siwezi kuishi ni sawa na kukosa BUNDUKI eneo la tukio, nitakuheshimu kama...
6 Reactions
59 Replies
15K Views
Bila shaka umewahi kukutana na mtu aliyetendwa katika mapenzi.Au ni rafiki yako au ni wewe.Unajitoa kwa moyo wote kumpenda mtu ila yeye hakujali,anafanya yale ambayo mwenyewe angefanyiwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Namshukuru mungu kwa kuniwezesha kuuona mwaka huu na pia kuwa mmoja wenu,ila pamoja na hayo yapo mambo ambayo nilitamani sana kuyapata mwaka 2012 sijayapata,mojawapo ni kuwa na mchumba ili mwisho...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Back
Top Bottom