Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kucheka mara kwa mara kutakuondolea msongo wa mawazo na mifadhaiko; pia kutakufanya kulala usingizi mnono na kufurahia maisha yako. Uchekeshaji ni kitu muhimu sana na ndio maana viongozi wakuu...
18 Reactions
60 Replies
10K Views
  • Closed
Na hii imeambukiza hata watu wa pwani na visiwani . Jamani mwenye kujua sababu ya hawa jamaa kupenda tigo atufahamishe
1 Reactions
110 Replies
46K Views
Inatokea unamtokea binti umempenda sana. Baada tuu ya kufahamiana na kupeana namba za simu, na Kabla ya kupanga appointment ya kukutana. Jambo la kwanza utakuta msg chache za kimahaba kwa...
0 Reactions
66 Replies
5K Views
Kichwa habari cha husika, hali ya mwenza wangu s nzuri kama zamani, alkua ananpga shoo mpaka naomba poo ... tumelzungumzia lakn yeye haoni kama ni tatizo, tusaidieni!
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Kama ambavyo wanawake wana matiti yenye ukubwa tofauti pia uume wa wanaume nao una ukubwa tofauti. Vile vile kama mbavyo kila mtu anapenda kwa vigezo vyake pia ukubwa au udogo wa uume siyo tija...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wadau! husika na kichwa cha habari hp juu,ni post ipi na ya nani ilikugusa kihisia iwe furaha au huzuni,na kwa kigezo kipi utaendelea kuikumbuka?
0 Reactions
2 Replies
876 Views
Siku moja wakati naingie "filling station" pale Kimara Resort ORYX, yapata saa saba na madakika fulani mchana, mara ikaja gari ndogo, jamaa nae alikuwa anataka kuweka mafuta, akasimamisha karibu...
0 Reactions
63 Replies
8K Views
Leo nimeshuhudia ugomvi wa familia wakimlaumu binti aachane na mume anaye ishi naye kwakua si mwanaume wa maana.Nimepata taabu kidogo tafsiri ya mwanaume wa maana,? Hivi ni mwenye sifa zipi?
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kuna mtu ameandika kwa Aunt Bettie (gazeti la mwananchi) anaomba ushauri eti uume wake mdogo afanyeje? Sasa tunajiuliza ameulinganisha na wanani na aliuona vipi? Kuna mtu ana wazo lolote? Sasa...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Takiriban familia nying zenye mafalakano chanzo huwa urembo wa mwanamke nashndwa kujua ni kwa nn naomba mnsaidie.
0 Reactions
65 Replies
8K Views
Wadau wife naona kanichosha, yaani mawasiliano kati yetu yamekuwa hafifu sana. Wakati mwingine nashindwa kumuelewa, mara aje na stori za watu wengine wanafanyaje ktk maisha yao mara alete stori za...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
[emoji2]
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari wanajf. Mimi nimeoa na tuna watoto wawili ila mke wangu ni mkorofi sana mpaka nafikia hali ya kuwaza ameingiwa na nini. Yaani yeye anataka awe ndio muamuzi wa kila jambo ndani ya nyumba na...
0 Reactions
81 Replies
9K Views
Habari wanajamvi! nimekuwa nikijiuliza sana bila majibu sahihi,nimekuwa nikiskia sana wajawazito wanakuwa wanapenda sana kushiriki tendo la ndoa,je hii inasababishwa na nini? pia kuna faida yoyote...
0 Reactions
9 Replies
13K Views
Heshima kwenu brothers and sisters Nimeguswa na hii kitu leo hii,, baada ya kuona jamaa yangu analalamika mchizi wetu kupata kazi nzuri sehem kwamba hana sifa na kazi itamshinda.. Na kuponda...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Chanjo hii itatolewa kwa Mabinti wa kuanzia umri wa miaka tisa hadi 12, ambao hawajaanza kufanya ngono ndio watakaopewa chanjo hiyo, inayotarajiwa kupunguza tatizo hilo kwa asilimia 75. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Hahahaaa. Katika utundu niliokuwa nao ni kutengeza concortions. Mojawapo ni cocktail ya juisi ya ukwaju na Konyagi. Basi siku moja nimejikalia tu home sina jipya joto tu. Nikaingia jikoni fasta...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
habar wanajamvi. wito kwa wazazi.jaman najua upendo mlionao kwa watoto wenu lakini mtoto akishaanza kuongea mwamishen kutoka chumban mwenu. kuna mtoto kaniuliza maana ya HONEY ni nini?nikamjibu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
KWENYE maisha kuna nyakati za kutofautiana na kukasirishana. Katika hali ya kawaida, kipindi hiki huwa ni cha hatari kwa sababu husababisha madhara makubwa. Sote tunajua, watu hupigana...
4 Reactions
28 Replies
10K Views
Habari ya asubuhi wanajamvi. Kiukweli naboreka sana na watu wanaotafuna chakula kwa kupiga kelele na kuachama midomo wakati wa kula. Aibu hata mbele ya wageni jaman. Mfano utakuta baba zima...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Back
Top Bottom