Divorce and loss of the loved one is among the top three causes of psychiatric admission! Hii ni hata tanzania. Mtu anapokuja na topic inayomhusu mpendwa wake sana ambaye kumetokea kutokuelewana...
Usharo umejitia, wanase kiulaini,
Mademu wajipalia, ili uzame chumvini,
Upate kuwakamua, uone vyao vya ndani,
Vile mie nionavyo, ahela waitafuta.
Kifo wakikumbatia, tena kwa busu shavuni...
Inafahamika kwamba sisi sote ni binadamu, na kwa sababu hiyo kukosea tumeumbiwa.
Hivyo sio kitu cha ajabu kwa wapenzi kuwa na ugomvi wa mara kwa mara na wala sitaki kuzuia ugomvi kutokea, kwa...
Wana JF, habari nilizozipata hivi punde kutoka kwa mwana JF mwenzetu Mwita Maranya amenijulisha kwamba amepata mtoto wa kiume baada ya mkewe kujifungua kwa kufanyiwa upasuaji.
Pole sana mama...
Habari zenu wana jf.
Natafuta msichana wa kuanza naye maisha mwenye umri tajwa hapo juu .
Awe anaishi Mwanza ,Magu au Bunda.
Sifa kigezo cha elimu ni kuanzia kidato cha nne awe maji ya kunde si...
Aisee nilikuwa cjui kuhusu hili katika pitapita yangu maeneo ya manzese nikamckia jamaa akisema hivyo so kazi kwenu wenye mahawala madada makaka mababa na mamama wote wa JF
Happy couples know that the real relationship begins when the honeymoon is over. They know that unless you maintain the garden of love, its beauty will wither and die. In a recent column, you...
Ndg wana Jf mwaka jana nilituma post ya mchumba wangu mchawi.Nashukuruni kwa mashauri yenu mazuri.Uamuzi niliochukua ni kuachana nae,pia nilihama ninaishi mbali nae kwa mikoa minne na nilibadili...
KWA waliosoma katika shule za msingi za Tanzania kabla na mwanzoni mwa miaka ya 1990, bila shaka wanakumbuka hadithi ya sungura mjanja na sizitaki mbichi hizi.
Hadithi hii iliandikwa kwa mtindo...
habar za mwaka mpya wapenz.......
Jaman watoto hawa,,,,,,,,,,,,, mwe.......shigha du....
Niko mkoani huku ukweni karibu mwez na visiku sasa, hapa nyumbani, kuna kawifi kangu ndio kwanza kana...
Siku na tarehe kama ya leo mwaka 2008 majira ya saa 2:30 asubuhi ndio siku ambayo baba yetu mpendwa mzee RK ulipoiaga dunia ukiwa na umri wa miaka 76. Ilikuwa ni Ijumaa ya terehe 4/1/2008 ndiyo...
Kuna wakati unaweza kulazimika kuhama nyumba kutokana na maudhi....
Majumbani mwetu ni eneo muhimu sana kwetu, kwani kuna dhima nyingi sana ambazo zinakamilishwa majumbani mwetu katika kutufanya...
Habari zenu wana jf, hongereni kwa kuwepo tena 2013. Miaka sita iliyopita kuna msichana tulitokea kua marafiki wa kawaida akisoma darasa la 7, alitokea kunizoea sana urafiki wetu uliendelea mpaka...
WanaJF
Leo nilichokiona kimenishtua sana, sijui nimfanyeje huyu mdada...
Ni hivi ninaishi na Housegirl kazi yake kubwa ni kutake care of my little daughter
Sasa leo jioni hii...
Wakubwa zangu Shikamooni!
Peopleeeeeeeeeeeess!!!!!!!!!!!
Jamani haya mambo ya cheating yamegeuka wimbo wa Taifa jamani!!!!!! All i hear is Cheating, cheating cheating and more cheating...
Happy New year to all!
WanaJF naomba majibu kwa maswala haya:
katika mahusiano watu wengi wanaamini mwenza kuomba msamaha na kujutia kosa lake basi msamaha wa kweli unapatikana, lakini hoja hapa...
The kiss can be a mysterious thing; one in need of interpretation, at times. This is especially true when you first start dating someone. There are many different types of kisses, and trying to...
Nimeajiri housegirl ila sina amani sana mana mie nafanya kazi na Mr ni business man anatoka baada yangu na msichana ni bomba ila yuko poa anafanya kazi je kutakuwa na usalama BAADA YA MIMI KUTOKA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.