Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
What Happens in Kavos - What Happens in Kavos... - YouTube Maisha ya kileo kwa muzungu
0 Reactions
0 Replies
626 Views
Kuna malalamiko mengi kuhusu mifumo ya kijamii katika nchi yetu inayoonekana kuwa kikwazo kwa maendeleo ya aina fulani ya wanajamii wetu. Example mifumo dume na mifumo kristo. ntatoa dokezo...
0 Reactions
4 Replies
984 Views
Nimehudhuria sherehe za harusi nyingi. Nimekuwa nikiona kaka za bibi harusi wengi wakishangilia na kufurahia dada zao kuolewa. Hapa naomba mnijuze juu ya nini hasa kinachowafanya wakaka kuwa na...
2 Reactions
72 Replies
6K Views
A relationship coach lays out his 5 golden rules for reviewing the prospects of long-term marital success. When it comes to making the decision about choosing life partner, no one wants to make a...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kila mara nikipata nafasi ya kuzungumza na watu wazima hasa wanaume ambao wapo kwenye ndoa zaidi ya miaka15 na kuendelea ajabu ni kuwa maoni yao karibu yote au niseme asilimia 90 kuhusu ndoa na...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
I feel so good. Natamani niwaonjeshe wote raha ninayo jisikia, hasa baada ya kupita vizingiti vingi huko nyuma ambavyo nimeshinda na hasa tokana na kuwa najua na hii raha yaweza kupita pia...
2 Reactions
44 Replies
5K Views
My sweetie Angel, How are you? I am fine but so missed u in bed and everything. Vipi masomo yanakwendaje? tunza vizuri mali yangu mpenzi, maana I don’t expect to hear unampa mwingine zaidi yangu...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Nilikuwa na dem, hakuniambia ni mke wa mtu, akabeba mimba akazaa, yupo na mme wake lakini anataka niwe natoa pesa za matumizi ya mtoto na anang'ang'ania eti mtoto ni wangu. Wakati huo huo huyo mme...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Ndugu wana JF, hodi hodi, Nawaletea tatizo langu ambalo limenisibu kwa muda mrefu sasa. Najua humu kuna watu kazi yao kukejeli wenzaon na kukatisha tamaa. please naomba chukulia serious na ujibu...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Nakumbuka nimeharibu sana tu, wakati nakua; mama ndugu zangu walikuwa wakiniasa nilikuwa nawaona au wamepitwa na wakati au washamba. leo kuna mengi nayakumbuka na ninajuta kama kaka yangu...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Hebu fanya kasensa kadogo eneo unalo ishi.. kati ya wavulana na wasichana wapi ni wengi? Nadhani umepata jibu. Wasichana ni wengi na hasa ukizingatia swala la KUOA anaamua mvulana, bargaining...
0 Reactions
1 Replies
710 Views
Holiday ya X-Mass na Mwaka mpya mara kadhaa imeleta kizaazaa kwa wapenzi hasa mmoja anapokosa kuwa na uaminifu kwa mwenzake. Mapumziko ya leo nchana tulitia timu ya watu watano kupata lunch...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii kwa kweli binafsi inanshangaza kua kuna baadhi ya wasichana wanaona coz kaachana na boy frend wake anaamua kutoka na rafiki wa boy wake uyo ambae kimsingi enzi izo alikua shemej!,swali ni kua...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
1.tafuta sehem iliyo tulivu. 2 andaa viti viwili chakwako na muhusika lengwa.3 mweleze sababu ya kumwita na lengo lako juu yake na yako. 4 panga viti kimoja nyuma na kingine mbele.5 mkaribiribishe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Napata shida sana na hili. Wote tunafahamu kwamba jiji la Salidalama lina tatizo la usafiri na pengine kumsaidia mtu ni kitu cha kawaida kama anakwenda kazini. Lakini cha ajabu, kuna baadhi ya...
14 Reactions
117 Replies
8K Views
Aisee kuna watu wababe jamani..... nilikua napata kilaji mahala fulani hivi ...kuna jamaa kakaa na binti mzuri sana kama meza ya tatu kutoka tulipokaa...... unajua tena sehemu starabu watu huwa...
1 Reactions
134 Replies
9K Views
Yaan kuna binti kakosea namba katuma msg kwangu,nikamwambia soory ni wrong number but akasema please pamoja na hayo let keep in touch nikamjibu okeey haina shida.Baada ya hapo ni mfululizo wa msg...
0 Reactions
72 Replies
5K Views
oyo niaje wakubwa, hii issue ni jana tu imenikuta, ni baada ya kulala na demu 1 ambae ni house girl wa sister fulani huku A town, anasemekana alitoroka kwa huyo bosi wake na kwenda kwa mzazi...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
1. Ukibikiri, huyo ni wako tu, hata miaka mia ikipita. 2. Ukimkubali mtu inakuwa siri yako moyoni, ikimkataa unatangaza mji mzima 3. Unaye mpenda hakupendi, usiyempenda ndo kakuganda hebu na wewe...
3 Reactions
47 Replies
6K Views
Wana jf habari zenu hongereni kwa mwaka mpya 2013. Leo kuna kitu nataka mnisaidie ni hivi kuna rafiki yangu kaniambia eti mke wake anamlazimisha wafanye mapenzi kinyume na maumbile japo yeye mume...
0 Reactions
62 Replies
10K Views
Back
Top Bottom