Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Salaam wadau, Sio siri kama mwanaume unajikuta unataka kuoa halafu unakutana na mwanamke kama Lara1 ili uishi nae muda mrefu lazima ukubali kuwa mume bweg- tu.Huyu dada ni mtata aisee ni mwenye...
5 Reactions
155 Replies
11K Views
Nimekuwa nikiwasikia wanaume wengi wakisema kuwa hawataki kuuziwa mbuzi kwenye gunia.Hapa ninaongelea waoaji na sio wababaishaji,Mtu anaweza kuwa amempenda mtu, ana nia ya kuoa na vigezo vingine...
0 Reactions
104 Replies
12K Views
Katika pita pita zangu leo, nilikumbana na majarida mbalimbali yaliyokuwa yakiongelea juu ya umuhimu wa kumsomea mtoto kitabu kila siku kwa dakika 20 tuu. mhhhhh! well, mi najua kusoma leo infact...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Tumeingia hapa Makambako jioni. Tukakubaliana na Mwenzangu wa ofisini twende kupata chakula nje ya nyumba ya kulala wageni tuliyofikia. Tukiwa hapo eneo la chakula (Villa Park) mwenzangu anavutiwa...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Nilikua nazuga kwenye facebook nikaipata hii? The most lovable wife is the understanding woman. HIM: Honey don't wait up will be out with the boys! Will be coming home alittle late HER: Make...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakubwa Zangu shikamooni!!!!!!! IGWEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!! MAMBO YA MAKE UP HAYA!!!!!!!!!!! Ujikute tu unakuwa mbayaaa! Inahusuuuu? Akuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!! Uzuri uko madukani siku hizi...
7 Reactions
75 Replies
7K Views
Kwa Takwimu Kutoka katika Wizara Ya Ardhi , Nyumba Na Makazi zinasema Kwamba Kuanzia Eneo La Tegeta Mpaka Bunju Viwanja Vyote tayari vinawamiliki hivyo ukiona mtu anataka kukuuzia eneo katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
#1 – Get It Off Before The Show Starts This is an extremely useful tactic. Many guys swear by it. This is what you do - masturbate an hour or two before you are going to have sex. This will...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nini cha kufanya pale utakapojikuta katika relationship na mtu ambaye umeona hakufai na mahari ameshakulipia?
1 Reactions
109 Replies
8K Views
Mimi nina ujauzito wa kwanza wa takribsni miezi 5. Hivi karibuni mtoto alikuwa kimya kwa takribani wiki [yaani hanipigi saana]. Kwa muda wote huo nilikuwa ndani tu bila kutoka hata nje nipigwe...
1 Reactions
34 Replies
11K Views
kuna watu wa ajabu sana. Kazi yao kukaa karibu na wale wanaouza vocha za tigo rusha wananyatia msichana akija akitaja namba wanakariri faster then wanasave later unashangaa namba mpya inakutext au...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimekuwa na uhusiano na mdada kwa miezi 10 sasa, ananipenda nami nampenda pia, lakini kwa sasa yupo chuo, mi nafanya kazi, tunakutana likizo kwasababu tuko mikoa tofauti, wasiwasi wangu ni kwamba...
1 Reactions
76 Replies
5K Views
Nakumbuka ilikuwa 1997. Ilikuwa ndio mwaka wangu wa kwanza kuajiriwa. Nilipo panga Jirani yangu kulikuwa na familia moja hivi ambaye Mume alikuwa mfanyakazi wizara fulani hapa town, inasemekana...
0 Reactions
63 Replies
11K Views
Sijui kati ya walioko kwenye mapenzi na wanasiasa wepi wanadanganya zaidi??
0 Reactions
11 Replies
1K Views
real story ya wivu wa kimapenzi.....baba mmoja alikuwa na wake wawil mmoja wa mjin mwingne wa kijjn but huyu dingi akawa close sana na huyu kinara wa town mama wa kijjn akaenda kwa mganga ili...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Wana JF naomba msaada weu, mimi na mke wangu tupo katika mchakato wa kutafuta mtoto wa tatu, lakini sasa toka tuanze mchakato huo tumekuwa na debate kwamba kuna style hazifai kutafutia mtoto..Mi...
6 Reactions
43 Replies
20K Views
Ndugu wanaJF, Kwanza kabisa napenda kutumia fursa hii kwa niaba ya familia yangu kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kuifikia siku ya leo tukiwa buheri wa afya. Ni rehema zake tu...
20 Reactions
71 Replies
4K Views
Aliye tayari anitafute
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwa tabia hizi za rejareja jumlisha na zile za jumla mfanoumalaya hutopata mwanamke mwenye akili labda kilaza mwenzio 1- kulalamika kila siku shida Dada yangu mgonjwa...mama yangu yupo...
9 Reactions
140 Replies
9K Views
Siku moja jamaa alikuwa katika matembezi ya jioni akiwa na mke wake; katika tembeatembea yao wakapita sehemu yenye jengo jipya la hotel, yule jamaa akamwambia mkewe vyumba vya hotel hii...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom