Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
do you disclose your total salary package to your spouse. I know some companies reviews salaries annually, do you disclose it when you get home? Promotion is celebrated by couples, do you disclose...
2 Reactions
39 Replies
2K Views
Ni jamaa fulani huku kwetu,Ni baada ya kusaritiwa na mpenzi wake na kuamua kujinyonga. Kijana huyu alikuwa mwaminifu sana kwa mpenz wake,cha ajabu ni pale alipoanza kugundua kuwa mpenzi wake ana...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Ok Nina wifi yangu jamani.aliolewa na mtu wa Iran lakini huyu mume wake alizaliwa USA hata Huko Iran hakujui.Huyu wifi yangu amesoma Yale university na hakufanya kazi tangia aolewe na mumewe.mume...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Wana JF nimejaribu kufanya utafiti kidogo na kugundua kuwa asilimia kubwa ya mme na mke huwa hawana maongezi ya furaha wakati wakiwa kwenye vyombo vya usafiri wakiwa wanaelekea sehemu mbali mbali...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Kuna mwanamke nilimpenda sana na tukapeana ahadi ya kuoana, baada ya makubaliano hayo alikuwa na mtoto nikaamua kumsomesha kwenye shule ya English medium karo zaidi ya milioni moja na mtoto huyo...
2 Reactions
51 Replies
3K Views
Unakuta umeoa mke na mna watoto wawili au watatu. Mke anafanya kazi kipato chake ni kama 1m kwa mwezi, na wewe unafanya kazi kipato chako ni hicho hicho. Matumizi ya home anakutegemea wewe (mme)...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Akina dada wa Kitanzania mmefikaje huku kwenye mambo haya?Yaani mume anakuwa recruited kwa vigezo hivi na mnathubutu kwenda public kwenye magazeti!!!
1 Reactions
63 Replies
5K Views
Binti anatafuta bwana wa kizungu..Waswahili hatutakiwi,,,mpaka kaenda kulipia tangazo,,kweli Bongo mwisho wa dunia unakaribia.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo katika pitapita zangu kwenye mtandao (internet) nikakutana na hizi chuma nikaona sio mbaya nikiwashirikisha wadau. Jamaa wanaeleza kinaga ubaga maujanja muhimu sana ambayo unaweza...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Wana jf eti kwa mtazamo wako nani ni kiwembe na msaliti wa ndoa yake kati ya mchezaji mpira wa miguu na mwanamuziki?
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wandugu naombeni ufafanuzi/elimu kuhusiana na hili. Iwe kwa experience ama taaluma, ntashukuru kupata majibu. Kuna mama mtu mzima aliolewa ndoa ya kanisani miaka mitatu iliyopita. Alikuta mume...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna ka binti kamoja kalikuwa karafiki kangu tukipiga stori hii na ile, Siku moja tumekaa tukiongea hili na lile mara gafla kakaniuliza swali hili, "Sijawahi kumuona mpenzi wako, lakini hebu...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Mimi ni mwana "uma-jumuhi " wa kiafrika, ninaipenda Afrika, na ninautukuza sana uafrika wangu. Hata hivyo ninasikitika kuwataarifu wananzuoni wenzangu wa kiafrika, kwamba nimeoa...
6 Reactions
280 Replies
31K Views
Wauza ngono Mwananyamala almaarufu kwa wahaya yamefungwa baada ya operesheni polisi jumla ya wauzaji wa penzi 32 wamekamatwa
0 Reactions
33 Replies
9K Views
TAFITI za kitaalamu zinaonesha kuwa, tabia za watu hujengwa na ndugu, marafiki au mazingira yanayowazunguka kila siku. Hii ina maana kwamba kama tutakuwa na marafiki au ndugu walikata tamaa ya...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Siku ya Jumatatu; tarehe 14 January 2013 ni siku ambayo Regia Mtema Foundation imeitenga maalumu kwa ajili ya kumbukumbu ya Regia Mtema. Katika siku hii maalumu wote mnakaribishwa Peacock Hotel...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
the guardian newspaper - advitersment ya kutafuta mchumba
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilikamatwa kama mteja wa makahaba-mshtakiwa Mahakama Na Tausi Ally (email the author) Posted...
10 Reactions
53 Replies
6K Views
Wadau kuna uzi wa jamaa kafumaniwa na mke wake akilawitiwa....na nyuzi nyingine nyingi tu za mimomonyoko ya maadili kwa watoto wetu wa kike na wakiume... Hebu turudi tuangalie nini chanzo...
8 Reactions
77 Replies
33K Views
Back
Top Bottom