Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Baada ya kufumaniwa huku akinonihiniwa.msichana uyo na hawara yake hawakuwa na jinsi..mme aliamua kuchukua mkanda wa video uku wakiendelea kufanya tendo la ndoa ni baada ya kufosiwa wakifuata amri...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Imezoeleka kusikia watu wakisema hivyo kutokana na watu wenye utulivu kupata wenza ambao hawajatulia,ndipo imekua kama desturi kuwa ukitulia hupati alie tulia " Je kuna ukweli kwamba ukitulia...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mimi ni mdada nimeolewa na nina watoto.tatizo ni mume wangu kabadilika sana.Anataka nimsaidie majukumu yake kwa asilimia kubwa na wakati ana kipato kikubwa.nimegundua kuwa hela anazopata kiasi...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Sikonge.... "Nusu kilo ya Sukari utaigawa vipi mara TATU" Huu wimbo uliimbwa na Band Gani? Una ujumbe mzito kwa wana MMU...!
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika makuzi ya mwanadamu kuna hautua ambazo kama hatazipitia basi ztakuja kujirudia mbele au kwa lugha ya kule chuoni wanasema atakuja kusapua ukubwani! Sasa basi wengi wanajikuta wakinyemelea...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Mh! Naona nazeeka sasa bila kuwa na mustakabali na maisha haya ya pinguni. Sijajua kama mi ndio nimeshindikana au nawashinndwa hao ninaokuwa nao. Labda mniambie haya maisha ya kifamilia yanahitaji...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hiki ni kiapo cha ndoa ambacho hufanywa na mengi ya madhehebu ya kikristo!Hata hivyo biblia ambayo ni kitabu kinachoaminiwa na wakristo wengi kuwa ni kitakatifu,kinasema"Msiape!"Kwa kuwa binadamu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jamani habari za asubuhi hivi nasikia kuna ving'amuzi ambavyo vinauwezo wa kurekodi kipindi kwa kutumia frashi sasa kazi za wasanii zinaweza kushuka mtu kama anataka kununua cd zima anasubilia...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwa ufupi “Hata hivyo, kuna wanaume ambao tayari wameshakuwa na maambukizi ya HPV wanatembea na virusi, hawa tunawaita (high risk sexual male patner) wanaume hawa utakuta kila akioa mke anakufa...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Kwenye hiki kizazi cha digitali tutake tusitake lazima wake zetu wafanye kazi,na kama tukikataa utaiipata,wapo watakaokujia juu mpaka utalainika tu. " Yupo dogo mmoja hivi anafanya kazi CRDB...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Nimekuwa nasoma ktk vyanzao vingi vya habari na nikakuta watu wengi sana wanakubaliana na hii hoja kuwa katika mapenzi ni lazima uongo utumike ili mambo yaende vizuri.Kwangu binafsi...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakubwa zangu shikamoooni!!!!!!! IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!! Yah! Yah! Yah! Peopleeeeeeeeeesssssssss!!!!!!!! Najua mmeingia humu kutoa ushauri na nini ila mwaka kabla haujafika katikati ni...
30 Reactions
307 Replies
14K Views
Nimekuwa nikishangazwa sana na mila ya Wamasai ambapo katika ndoa yapo ya kustajabisha si kwa kizazi cha sasa tu.Iko hivi :: Ukiwa mwanaume wa kimasai unaeshikilia mila,ukirudi kwako ukakuta...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
I ask my husband to do or stop doing things repeatedly, and he does not listen. For example: I have a cat that he hates, and he constantly picks on him. I've been asking him to stop ever since...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jada u r the omega of my heart the foundation of my conception of love when i think of what a black woman should be its u that i first think of u will never fully understand how deeply my heart...
0 Reactions
3 Replies
698 Views
My husband does not support me and our kids but helps relatives I am 29 and have been married for four years with two kids. My husband and I live apart because of our jobs. I have a problem...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Duh wadau leo usiku nimepata mkasa wa ajabu na kuchekesha sana nipo safarini mtwara toka jumatatu nipo katika hotel moja nzuri sana tatizo ni kwamba madilisha ya hii hotel kati ya chumba kimoja na...
4 Reactions
63 Replies
6K Views
........... Wana JF.. hivi nikweli mahawara walio wengi huwa hawaachani moja kwa moja hata kama miongoni mwao wamepata ndoa na watu wengine.... na hata wale wanapokuwa na mahawara wakiwa ya ndoa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Superman since today is your special day – it's your birthday, let me tell you what kind of a friend you are to me: Superman, a friend like you is like no other friend. A friend like you...
18 Reactions
73 Replies
5K Views
Jamani wapi honeybee? Happy New Year dear!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom