Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Nimekuwa nikipita sana JF kama Guest,lakini shida niliyonayo imenifanya leo nijiunge na JF maana mawazo ya members humu jukwaani yamekuwa yakinisaidia sana japo nilikuwa napita kama mgeni. Nina...
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Mimi na girlfriend wangu tulikuwa tunapendana sana. Tulikuwa tumeishakuwa pamoja kwa mudawa miaka minne hivi, na hivyo tukawa tumeamua kuoana. Kulikuwa na jambo moja dogo tulililokuwa likinisumbua...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
kufanya tendo la ndoa na mwanamke aliyemaliza dozi ya UTI jana kunaweza kukusababishia maambukizi??
0 Reactions
4 Replies
774 Views
Mimi ni mwanaume nina umri wa miaka 23, tatizo langu ni kuwa nilikuwa na girlfriend ambaye tumedumu nae kama miezi 8 hivi ila baada ya muda akaanza kubadilika na kudate na mtu mwingine, baada ya...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wadau mwenzenu nipo kwenye wakati mgumu sana psychologicaly, kuna dada anataka kuachika kwasababu yangu ilihali hana kosa lolote....Ishu iko hivi Kuna dada(mke wa mtu) nipo naye karibu sana...
6 Reactions
191 Replies
13K Views
Leo ni jumapili,tarehe kama ya leo "alinunuliwa sokoni" dada yangu (mdogo wangu) miaka mingi iliyopita. " Nimekumbuka jinsi ambavyo mama "alivyomnunua sokoni" wakati huo. " Nakumbuka mama...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
I admit that male and female circumcision is as old as humanity itself globally. It is a practice that was primarily done "in ignoratia" backed by different historic, traditional, religious...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
One question that hasn't been really tackled a lot,Are men willing to wait till marriage? but i think It is pretty hard for a sexually active man to suddenly abstain from sex because his woman...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Mke wa boss mmoja bahili amejikuta akiliwa uroda na kijana mahili wa mipango (Mtoto wa mjini) bila kulipwa hata senti moja. Hii imetokea karibu na sikukuu ya X-Mass ya 2012. Kijana huyo alikuwa...
7 Reactions
52 Replies
87K Views
alinitelekeza mtoto akiwa na miezi mitatu nimejitahidi kulea mtoto kwa kadri niwezavyo mpaka mtoto wangu nw anamwaka na miezi mitano.bila msaada salamu wala chochote kutoka kwa baba yake...
0 Reactions
44 Replies
3K Views
Ni mwaka na nusu sasa tangu nitengane na mume wangu wa ndoa nikikimbia kipigo cha mara kwa mara tayari mwenzangu ameanzisha mahusiano na mwanamke mwingine mwenye mtoto age moja na mtoto wetu je...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Hello,Jf members naomba maoni yenu kuhusu mada tajwa hapo juu,lengo hasa nikumsaidia rafiki mmoja ambaye ni mkristo halafu mchumba (msichana) wake ni muislamu wanataka waachane kwa kigezo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
I had this conversation with a friend of mine and she‘s like she can never and will never do it! Men are not worth it bla bla bla... I was like what the heck! This is absolutely the peak of pride...
1 Reactions
56 Replies
4K Views
Hivi kwa nini wanawake au wasichana wabaya huwa wanaringa kuliko wanawake au wasichana wazuri?
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Helo. Kuna mdada alinisumbua kwa zaidi ya mwaka japo nilimpenda toka moyoni, nikavumilia kalenda zake. Baada ya kuninyanyasa kwa muda mrefu ikatokea akakubali tukawa nae kwa amani. Siku moja...
0 Reactions
91 Replies
7K Views
Mwanamke yeyote akishakunywa pombe akiwa na mwanaume uwezo wake wa kumkatalia huyo mwanaume kwenda kumpiga dushelele unakua mdogo sana.....anakua rahisi sana kudanganywa......na huwa wanajuta sana...
7 Reactions
176 Replies
18K Views
HESHIMA kwenu nyoote Wanajamvi!!!! Jana na leo nimeshuhudia Mada kali sana humu jamvini watu watu wakijiuliza kama kweli wamefanikiwa kutoa Bikra,kiukweli elimu waliyoapatiwa na ushauri ulikuwa...
0 Reactions
134 Replies
11K Views
Wakubwa zangu shikamooni!!!!!!! Wengine Bwana Asifiwe, Tumsifu Yesukristu, Mungu Ibariki Tanzania na As-salamu alaykum (السلا&#1605...
7 Reactions
108 Replies
13K Views
Leo acha niwape dondoo kadhaa kuhusu namna ya kujua kama umemkuna ipasavyo mwanamke wakati wa tendo la ndoa. 1.Kufinya shuka kwa nguvu Kufinya shuka au kitanda kwa nguvu wakati unampa...
1 Reactions
37 Replies
7K Views
NAMNA YA KUMKERA MPENZI/MCHUMBA/MKE AU MME Hivi ni baadhi ya vitu ambavyo vinaweza sababisha kuvunjika ama kutoweka uaminifu kama unavyovingine unayesoma weka hapa tuvijue zaidi Ni vitu vya...
0 Reactions
22 Replies
9K Views
Back
Top Bottom