Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Hapa wengine ni sehemu ya kutafuta ushauri na kubadikisha mawazo na sio sehemu ya hadith! Tupa kule hadithi zenu hazina tija
0 Reactions
20 Replies
2K Views
hp mu wazima..jaman me bado mgeni naomba msinitolee mapovu sana nisaidien kwa hili nitaloenda waeleza.. kuna mpendwa mmja anadai kukosa uaminifu kwa boy wake kutokana na kukuta msg za ajabu...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
I experience the other side of my wife today. She completely refuse to travel by bus. Her emphasis is FastJet or P.W. Its not her first time on jets or airbus. I try to make her understand on...
0 Reactions
78 Replies
5K Views
Kama mmekaa zaidi ya miaka 3 kama wapenzi na bado hujamjua kitabia basi hata ukikaa nae miaka 500 hutamjua, ni heri umuache aende zake. Wale mabingwa wa kuwaweka watoto wa watu uchumba miaka...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Yaani nina hasira, siku ya tatu leo ana majibu ya mkato sana tulishazoea kuongea usiku, lakini siku hizi simuelewi kabisa anapiga kidogo halafu ana niambia kichwa kinamuuma. Jana ameniambia...
0 Reactions
78 Replies
5K Views
MWANAMKE mkazi wa Kijiji cha Matui, wilayani Kiteto, mkoani Manyara ameponea chupuchupu kuuawa baada ya mume wake kumchoma na chuma cha moto sehemu za siri kutokana na wivu wa mapenzi. Mwanamke...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nina jirani jamaa yangu ameoa mwaka jana Novemba! Ilikuwa hivi: binti alipata mimba: basi jamaa kachagizwa fasta fasta wafunge arusi. Na kweli ilikuwa arusi babu kubwa! Wote wanafanya kazi: binti...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Kijana mmoja hapa mtaani kwetu mwenye umri wa miaka 17 amejikuta katika wakati mgumu kwa kutakiwa kulipa milioni mbili kama faini ya kumtoa bikira binti wa watu anayesoma kidato cha kwanza...
0 Reactions
50 Replies
3K Views
katika pitapita kwenye blogs nikakutana na hii..... #TIPS>>YOU NEED AT LEAST 8 HUGS A DAY!!!! Hugging therapy is definitely a powerful way of healing. Research shows that hugging (and...
3 Reactions
47 Replies
6K Views
Nina rafik yngu wa kiume yy ni advocate ktk ofic moja hapa dar es salaam tumedumu ktk urafik wetu yapata mwaka na nusu unaelekea wa pili amejaribu kunihitaj kimwil nikamchomolea nakumpa sababu...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Nimeangalia muvi nyingi za hollywood za mapenzi sijawahi kuona demu akimpiga mzinga bf wake. Atapigwa mti na kusepa bila kuomba nauli wala hela yya matumizi sijui hela ya saluni. Au watatoka out...
1 Reactions
49 Replies
11K Views
NI Jumatatu nyingine tena imewadia marafiki zangu ambapo tunakutana katika uwanja wetu ule ule wa kupeana darasa hili maridhawa. Ninaamini mtakuwa wazima wa siha njema na mpo tayari kupokea kile...
0 Reactions
8 Replies
29K Views
Habari za jioni wana JF? Katika kukumbuka nilikotoka nimejikuta nakumbuka mambo mengi sana na nikajikuta najiuliza hili swali. Obviously naelewa kuna mambo huwa yanabadilika. Mfano labda...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
kuna rafiki yangu kaacha pombe kuanzia tarehe 1 mwaka huu na makusudi yake anataka aache kwa mwaka huu wote na kuendelea ila anasema tangia ameacha kila akikaaa hivi mawazo yake yote yanamtuma...
0 Reactions
6 Replies
969 Views
Inakaribia miaka kumi sasa tangu tukio hilo baya litokee... Alikuwa mbali na mimi kwa kipindi cha kama nusu mwaka.. Japokuwa mawasiliano yalikuwepo on daily basis.. tena mara tatu kwa kutwa...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Habarin wana MMU, nimeshtushwa na kauli ya shemeji yenu. Ni kwamba alikuwa anaumwa jana akaenda hospital kwakuwa nlikuwa ktk sherehe za mapinduz sikuweza kumsindikiwa and was ok with her, jion...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Husband tricked into believing wife's children were his own awarded £25K - for 'bereavement': Devoted 'father' deceived for years until DNA tests revealed truth Richard Rodwell was a loving...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuuu,wakuuu heshima yenu... Habari za wkend? sijui nianzie wapi,anyway Kebbys?or ?..26 Jan.... Mama yangu alikuwa mgonjwa zaidi ya miaka 6 hivi,mwaka jana akafunga safari kuja Dar kupata...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Mnapokuwa single kabla ya kuoa ukiwa marafiki au rafiki basi mnaelewana sana lakini once mnapooa urafiki hupungua au mnaweza kugombana. Tatizo hapa ni wanawake kuwa na fitna ndogondogo juu ya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Unampenda sana mpenz wako kiasi kwamba huli,hulali kwa ajiri yake!vip siku unaamka asubuhi unajiangalia kwenye kioo unakuta sura yake imehamia kwako,je utaipenda sura hiyo au utaichukia?hasa kwa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom