Waungwana katika JF mimi ndo naingia ulingoni na huu ndio uzi wangu wa kwanza, pia ninaomba ushauri kwa kuwa wiki mbili zijazo natarajia kufunga ndoa na mara yangu ya kwanza kukutana na mwanamke...
Wandugu Hamjambo....jamani hebu nisaidieni vipi niweze kuishi na watu wa majungu ofisini, kuna huyu jamaa yuko imara kuona makosa na kuyafikisha kwa Boss hata kama madogo madogo ili mradi nisiheme...
Wanawake wengi walioolewa hutoka nje ya ndoa kwa sababu mbalimbali lakini nyingi zikiwa ni kutafuta ridhiko la kihisia.
Dr. Ralph Meyering na Profesa Emeritus wa chuo kikuu cha Illinois huko...
Wakubwa zangu shikamooni!
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!
Jamani we are living in difficult times now, especially for us ladies! Kama mjuavyo hii ni January so kila mtu ana mikakati yake...
mimi naishi na house boy ambaye uwa pia kama mlinzi nikiwa safari,baada ya kuona house girl wananitega na mimi sipend kutegeka,sasa nimetoka safari ya mbali nimefika tanzania usiku,na mimi uwa...
we all hear from church,wedding seminar etc that when searching for a wife,beauty should be a secondary factor while character primary,do u support this or not and why?
why pastors,wedding...
wadau nisaidieni katika hili inasemekena boyfriend au husband akiwa na wivu wa kupitiliza mara akukague kwenye cm mara cm ikipigwa mkiwa wote anataka apokee yy yani ule wivu wa kero mara...
mie ni kijana ambae nina miaka 26 sijaoa ila nina mpenzi ambae tupo mda mrefu,na kwa bahati mbaya au nzuri
mie nakua nae mbali kwa mda mwingi saana yaani mi nipo zanzibar yeye yupo dar,nashukuru...
Jeshi la polisi mkoani Manyara, linamshikilia mkazi wa kijiji cha Gijachameda, Wilaya ya Babati, Bw John Barandi (35), kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mzazi mwenzake Mwanaisha Iddi (25), baada...
Da nimemic majambozi na mavituz kwa miezi mitatu baada ya kubwagana na kipenzi cha Roho yangu Mrembo XXX aliyenisaliti kwa kukimbilia mapedeshee wazee wenye Ukwasi.
Athari zinazonipata sasa baada...
Mwanamke mkazi wa kijiji cha Matui, Wilayani Kiteto, Mkoani Manyara ameponea chupuchupu kuuawa baada ya mume wake kumchoma na chuma cha moto sehemu zake za siri, kutokana na wivu wa mapenzi...
Nimesema sitaki mchumba,sitaki mke tutakutana mbele ya haki
::
Hayo ni maneno ya rafiki yangu ambaye tumekutana nae baada ya kupotezana miaka miaka 8 iliyopita.
Ni handsome kiasi,amejipanga...
Habari zenu wanajamii,
Jana nilikutana na marafiki zangu wakati wa jioni kwa kupiga domo na kujikumbusha ya kale na vituko vya nyumbani.
Katika mazungumzo yetu likaja suali la yule jamaa alokuwa...
Wachumba wengi hili hawataki kusikia
Lakini ukweli lazima tuuanike hadharani
Dunia yenu siyo ila ya enzi zetu kabisa
Utetezi wenu kuwa mbona hatukupimwa
Siyo utetezi kabisa, hiyo siyo busara lol...
Waungwana nisaidieni, nimekataliwa kuoa kisa mimi mwislam, wakwe wanasema sifa zooote ninazo ila dini yangu eti sisi wengi wetu ni magaidi, bibie yeye yuko radhi tufunge ndoa bila ridhaa ya wazazi...
Hebu nisaidieni wapendwa.
Inapotokea wanandoa ambao ni rafiki na familia yako wanaachana, je ni vyema kuendelea na urafiki na wote wawili kama awali au niwapotezee na kuendelea na maisha yangu...
MWANAMKE mkazi wa Kijiji cha Matui, wilayani Kiteto, mkoani Manyara ameponea chupuchupu kuuawa baada ya mume wake kumchoma na chuma cha moto sehemu za siri kutokana na wivu wa mapenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.