Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Jino linaniuma sana wakuu,sina raha hapa nilipo!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wapendwa wana jf Heri ya mwaka mpya!!! sui la akei yia 2013!!! Heri ya mwaka msha vandu voose!!! kwanku chung ne year!!! Happy new year to you out there!!! Mimi nimekuwa nafuatlia JF kwa muda...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
0 Reactions
3 Replies
2K Views
any sexy lady ready to have a wonderfull time with me??
0 Reactions
5 Replies
930 Views
Nawatakia wote kheri ya mwaka mpya 2013 na kuwakumbuka wana MMU wote ambao walijeruhiwa kimahusiano, kimapenzi,kiurafiki mungu awape nguvu mwaka huu kuwa na mahusiano bora zaidi Kila la kheri...
0 Reactions
1 Replies
887 Views
wana jf mungu wabariki sana na mwaka ujao yaan dakika chache zijazo mungu atupe hekima na kuifanya jukwaa letu liwe na hadhi yake kama zamani maana siku hizi kimtindo tumeanza kupoteza dira. mungu...
0 Reactions
2 Replies
859 Views
Kama hujawai kuambiwa na mkeo kwamba we ni mtamu. Basi ujue umrizishi mkeo. Jaribu kuwa mbunifu katika mwaka huu wa 2013 hadi siku ukisikia mkeo kakwambia hivyo ujue umefaulu. Happy New Year.
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Acha kujivunia aibu yako Acha kula kuku na watoto Acha kuku, kula mayai tu Acha ubabaishaji wako Acha, nasema wacha kabisa! Halahala usimle kuku na mayai yake! Visingizio vyako nimevikataa kabisa...
17 Reactions
59 Replies
4K Views
Habari wanajamvi! Nimeingia kwenye mahusiano mapya mda si mrefu sana ila kiukweli ninampenda huyu binti na yeye pia ananipenda, wakati tunaanza kufahamiana tulianza kuwa marafiki tunaoheshimiana...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Dada mwenye nia ya ndoa apige simu hii 0715660068 awe amcha mungu mchapa kazi thaks
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Tunatofautiana kiimani na pia tuna age gap kubwa kidogo what should I do?love him,
0 Reactions
1 Replies
959 Views
Hallo Wana namshukuru sana Mungu kwa kuniwezesha na kunipitisha katika mapito mbalimbali ya ujana. Namshukuru kwa kuniwezesha kufunga pingu za maisha na mke wangu mpenzi siku ya Jumapili ya tarehe...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
basi nilimkimbilia, nikamkumbatia, nikamkiss kwa hisia kali, nae pasipo ajizi alijibu kwa mahaba. Hivyo ndivyo nilivyoukaribisha mwaka mpya huu 2013 na shemeji yenu. Tulikuwa hatujaonana tangu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwanaume ana miaka 38 na girlfriend ana 21,haya mahusiano yanawezekana??mwanamke yupo real hayupo kimaslahi maana anauwezo wa kujikimu na kujitosheleza,Mwanaume nae pia ni tajiri na hana mke wala...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Mimi najiuliza sipati jibu hasa kwa hawa marafiki ukuta wanashirikiana kila kitu ila ikifika kushirikiana wapenzi watu wanatoana ngeu ni kitu gani hasa kipo kwenye mapenzi?kwanini watu wanapeana...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
heri ya mwaka mpya wanajf wote
0 Reactions
14 Replies
897 Views
Haya muwe na mwaka mwema wenye baraka na Mungu awaongoze kwa yote
2 Reactions
20 Replies
1K Views
2013 ni heri niwe pekeanguuu,, au 2013 ni heri niwe na mmojaaa,, 2013 ni heri niwe na subiraaaa,, au 2013 ni heri nibadili tabiaaa?? 2013 ni heri tubadili tabiaa ukimwi watishaaa,,, happy new...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanajamii Kipindi hiki cha Sikukuu nilikuwa nina mjadala na Sisters zangu na Shemeji yangu mmoja juu ya nini nini hasa kinampa Heshima Mwanaume katika Jamii hasa pale tu akutanapo na watu wengine...
1 Reactions
97 Replies
11K Views
Back
Top Bottom