Jamani naomba maoni kwa jambo hili linalontatiza.....best friend wangu ambae ni rafiki wa gf wangu ametokea kunpenda zaid ya upendo 2liokua nao wa kirafiki...mimi sitaki kumuumiza gal wangu na...
JAMANI VIJANA WENZANGU KATIKA KIPIGANA NA MAISHA UNAISHI VP AU UNAFIGHT TU BILA DIRECTION ? WHO IS YOUR ROLE MODEL (somebody to be copied) TUSHEE HII STORY YA ROLE MODEL WANGUAbraham Lincoln on...
.....A must read true life story).....
Written by a COLLEGE GIRL.. before she gave up the ghost......
I Took Off My UNDERWEAR..
I used to be that innocent girl who had the world at her feet. I...
Khabari za asubuhi wanajmvi wenzangu!
Leo ndo siku ya mwisho ya mwaka 2012, na Allah akitujalia kesho tutaanza mwaka mpya.
Huzuni na furaha vyote kaumbiwa mwanadamu, ni kama pande mbili za...
Katika hali inayostajabisha,wanaume wawili wanakaribia kufanyiana ubaya kwa ajili ya mwanamke mmoja.Ilikuwa hivi:
...Rafiki yangu anampenda sana,huyu mwanamke.Sababu za kumpenda anazijua...
Hivi kwanini wenzetu nyie si wepesi hata kidogo wa kukiri makosa yenu na kuomba msamaha? Kwanini mara nyingi huwa mnatafuta means ya kujusfty makosa kuliko kuomba msamaha? je ni ubabe ama ni aibu...
It was nice having you here in Tanga, though it was a short stay. I am comfortable that you enjoyed your stay. It was so amazing that those great names I Have been reading in the forum we can meet...
Napenda kuchukua nafasi hii kwa niaba ya wadau wa Tanga, kuwashukuru wana MMU na CC walitutembelea hapa Tanga kuanzia Tarehe 28 hadi 30 Disemba 2012.
Binafsi nilifarijika na ninashukuru sana...
Habari za majukumu wana jf, kwa mara ya kwanza nimejikuta nikiingia katika jukwaa hili nikiwa muhanga na majeruhi wa kufa leo au kesho kwa sababu ya mapenzi, ni miaka 2 sasa imepita toka nimfahamu...
Wapendwa wana jamvi, awali ya yote napenda kuwatakia maandalizi mema ya mwaka ujao wa 2013.
Leo hii nimependa kuwakumbusha wale ambao ni wazazi na wale ambao wanategemea kuwa wazazi juu ya...
Wakubwa,
Mipango yote ya safari ya Tanga hapo kesho imekamilika. Wana Arusha Wing wako full-loaded, wanahesabu masaa tu.
Nitumie wakati huu kuwakumbusha wenzetu wote wa "MIKOANI" kuwa wafanye...
Heshima yenu wakuu.Kondom ndio mkombozi wetu mkuu katika maisha ya ngono.Tatizo kubwa linaanza kwenye ufunguaji wa hiyo zana,kondom zinafunguliwa kwa meno,hapa mihemko ndio adui mkuu,wanaume tuna...
habari wana jamii! kuna rafiki yangu wa kike ana mpenzi wake na alimkuta huyu mwanaume ana mtu wake wakati wanaanza mahusiano, sasa huyu rafiki yangu anampenda sana huyu kaka na kaka mwenyewe...
Habar zn wadau.
Mim ni kijana ambae nasoma chuo fulani hap nchini (mwaka wa 2),kwa kwl nimetokea kumpnda mschana mmoja ambay yy ni mwaka wa 1.Siku ya kwanz kumuona na kuanza kuvutiwa na huyu...
WanaJF,
Kutokana na mahangaiko ya kila siku, si kila mara mwanaume utataka uende safari 2 na mkeo. Changamoto yangu ni kuwa ni kama mara 3 tu katika maisha yangu ya ndoa (miaka 10+ sasa)...
Mdada mmoja mke wa mtu
alikuwa akisumbuliwa sana
na jamaa mmoja aliyekuwa
akimtaka kila siku, hatimae
akamwambia mumewe.
Mume akamwambia mkewe, we kubali tuu, ila
mwambie aje mlale hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.