Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
If your single focus on being a better you instead of looking someone better than you. A better you will attract a better next. Dont wait for a perfect moment instead take a moment and make it...
0 Reactions
4 Replies
891 Views
Muda unakimbia. Maisha yetu hapa duniani yanaishia taratibu. Nashangaa nilikuwa mtoto sasa ni kijana. Natambua ujana huu ambao ni mzuri hautaendelea kukaa na mimi. Nina nguvu na sura nzuri lakini...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwanza nawapa heli ya mwaka mpya wana JF...Wenzangu me navyojua kwa kawaida mwanaume akifika kileleni umwaga manii,sasa tatizo langu ni kwa jinsia ya kike..hivi wakifa kileleni huwa inakuaje,pili...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nilikua na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke M1 kutoka kijijini ambako tulikua tukiishi huyo mpnz wangu alikua akiniaga mara kwa mara kua anenda Jijini Dar kumsalimia dada yake na pia alikua...
2 Reactions
54 Replies
5K Views
Nakaribia Kufikisha Mwaka, toka niwe na rafiki wa kike ambae siku moja nilitegemea tuje kuishi pamoja na kujenga familia bora, nilimpenda sana na hata nilijitoa kwa ajili yake ili awe katika...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
wana MMU leo nimekuja hapa na mada ambayo nataka tuijadili kwa undani zaidi. leo nilipanda gari la ubungo kbh na ndani ya daladala hiyo kulikuwako akina mama wawili ambao ni marafiki wa siku...
5 Reactions
370 Replies
33K Views
Wadau ni suala ambalo mie limenisumbua kidogo. Kwa nini wake huwa hawaelewani na wifi zao? Je ni ujinga wa wake? au? Yaani wakati mwingine unaweza kuta mke ni msomi anashindwa kuelewana na wifi...
0 Reactions
50 Replies
9K Views
Hbr wana MMU? Ktk kipindi hiki cha mwisho wa mwaka pamoja na shamra shamra za x-mas na mwaka mpya, nilikuwa nimejipanga kupata muda wa kumshukuru Mungu kutulinda mwaka huu wote na kutuepusha na...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
mi ni kijana na nilikua na mpenzi wangu na tulikua tunapendana sana. ila dosari ilianza pale alipoenda kusoma mwanza, kila mtu alianza kucheat kwa upande wake, na kila mtu akawa ana wivu kwa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Sikukuu hii niliamua kusherekea nikiwa kwa kaka yangu. Aliniita ili na watoto wake wanifahamu kwani waliniona wakiwa wadogo na hawanikumbuki. Kwake kuna hg mwenye miaka kama 18 hivi ambaye ndo...
2 Reactions
47 Replies
4K Views
Baby naomba unicredity vocha elfu 5000/=, na ukija hostel usisahau kuja na chipsi kuku mzima coz npo na friends zangu,afu nadaiwa elfu35 nlikopa mpenzi wangu na plz mpenzi wangu naomba uniongezee...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
:: Alikuwa muungwana Kijana mwenye afya Mpole,mcheshi pia Wengi alituvutia Waschana tulimpenda Moyoni aliniingia. :: Bahati ikanijia Kumbe nae alinipenda Bila kupoteza muda Mipango...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
habari,mimi nashindwa kuwaelewa watu wengne ati wanasema kua kama umemaliza chuo like around 23 yrs mpaka 30's hujapata mtu wa kuoa/kuolewa basi umelate,and that huez pata mwenza ukiwa...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Jamani naomba msaada, nipo kwenye process za kukamilisha mpango wa wangu wa maisha, nataka kumuipress zaidi na kweli nampenda sana kutoka moyoni mwangu! lakini je, nini nifanye ajue kweli...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
mimi nimekutana na watu wengi hasa wanawke wakiwa na mabwana we4ngine ambapo maisha ya mme wake ni mazuri na siyo ya dhiki,jibu la msingi husema kuwa mme wake hamfanyi afurahie dunia ya kimapenzi...
0 Reactions
78 Replies
10K Views
Tumeaka mornie tukazindua siku (si boxing day leo?). Tulipomaliza nikaenda zangu sitting room, nikarudi ghafla chumbani baada ya nusu saa nikamkuta ana-shave.(tume-do kabla hajashave). Nikashangaa...
4 Reactions
146 Replies
10K Views
Mwanamke akiolewa na akazaa na mmewe huku mme akiwa amejenga nyumba, penzi na utamu wa ndoa unapo ingia nyongo na kufikia point ya kuachana basi utasikia mahakama inasema mgawane mali mlizo chuma...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Bwana harusi Chrispin Saadani (34) aliyekuwa akisherekea kufunga ndoa na mchumba ake usiku mwa tar.24 Disemba alijikuta anazuiwa kufunga ndoa na mchumba ake baada ya wanawake wawili alio zaa nao...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jana katika taharifa ya habari ya ITV walionyesha wasichana zaidi ya 30 age zao kati ya miaka 16 na 20 wakiwa mabikra. Nawapongeza sana, ila sijajua utaratibu wa kuwachunguza na kuwahakiki...
2 Reactions
3 Replies
997 Views
Yeah I'm gonna change everything that holds a mem'ry of you oh yeah I'm gonna start with the wall, TAKE stick the pictures off the wall and burn 'em Move the chairs around take the window curtains...
0 Reactions
7 Replies
984 Views
Back
Top Bottom