Napenda kumshukuru Mungu kwa ajili ya yote katika maisha yangu najua yote ni mipango yake
kupitia thread hii napenda kuwashukuru sanasana wanaJF wote kwa kunifariji kwa kuondokewa na mama...
Hello....! Naomba tusaidiane kuhusu athari chana au hasi za kuwa mbali na mwenza/mpenzi wako kwa muda mrefu ! Kwangu mimi umbali huu hupelekea usaliti,
Wakubwa zangu shikamooni!
Peoplessssssssssss!!!!!!!!!!
Najua xmass iliwabamba kama kawa kama dawa! Kama ilivoada naendeleza mahubiri yangu ya Mrengo wa Kushoto! The real life! Taking control of...
Mimi sijui nilikuwa ninawafanyaje?
Mimi sikumbuki mambo yalikuwaje?
Mimi siyo kuwa najisifia hata chembe?
Mimi hii ni kumbukumbu zangu tu!
Mimi nimesahau mengi bali haya tu!
Mimi hili swali bado...
wana JF naomba ushauli katika hili,nina mpenzi wangu ambaye mimi ndiye mtu wake wa kwanza yaan nlimtoa bkra,kitu kinachonisumbua na kuniumiza akili ni wakati "tunapokutana" huwa analalamika...
Habari za siku nyingi wakuu,
Nilikuwa busy sana na majukumu ila sasa nimepata likizo kidogo. Nahitaji kampani ya mdada mzuri anayejiheshimu, ya kupata lunch/dinner pamoja na kuongea mambo mawili...
Wadau,najua humu kuna watu wa kada mbalimbali na ujuzi tofauti tofauti,naombeni mnisaidie.
Mimi nina mpenzi wangu tukiwa katika sex,huwa anakuwa na maji mengi sana ukeni,hali hii hunifanya...
Hi, mie ni msichana wa miaka 30, I have my very on lifestyle which me mwenyewe sijielewi. I am working n managed to rent a house and buy a car some years ago.
I live in Dar with a house girl n...
Katibu kahesabu bar zilizopo kando mwa barabara ya shekilango mpaka Bamaga kapata jumla bar 250 alikuwa anahoji mameneja kuhusu mteja kilevi kikimzidi wanafanyaje ni Bar mbili tu zina vyumba vya...
Niliwahi kuwa na mpenzi wangu kwa kipindi cha miaka mitano,baadae akapata nafasi ya chuo kwenda kusoma nje ya nchi.Mapenzi yetu yaliendelea kama kawaida,ikawa akirudi likizo twaendeleza kula tunda...
Bila shaka wapenzi mnapokuwa moto katika mahusiano kuna jina ambalo ulikuwa unamwita mpenzi wako lakini siku hadi siku majina yamekuwa yanazidi kuchuja na kubadilika majina kama ....... dear...
Kama kuna mwanajf yeyote aliyeko dar mda huu ambae anataka kwenda kiwanja au yupo kiwanja please tuwasiliane.
Mie hapa leo sina kampani na nimeboreka kinyama yaani nimelikoka mavitu mazito vibaya...
Kiukweli nilikua sijawahi kusuhudia mwanamke akilazimisha ngono kama huyu.
"
Huyu dada alitongozwa na jamaa yangu ambae ni fundi wa viatu,huyu jamaa ana kazi nyingi sana,sasa huyu dada baada ya...
Huu ndio ukweli kuhusu wanaume.
1. The nice men are ugly.
2. The handsome men are not nice.
3. The handsome and nice men are gay.
4. The handsome, nice, and heterosexual men are married.
5. The...
Mnamo Januari 2006 lilitokea tukio moja la kutisha nchini Marekani. Yapo matukio mengi ya kutisha yanayotokea nchini humo, lakini hili lilikuwa ni la aina yake na kwa kweli lilivuta hisia za watu...
Hivi kwa nini lakini mwanamke unaamua kumhudumia mwanaume .mwanaume ambaye ni mwanaume sio jello.mwanaume anaekupenda hakutumii, hakuombi pesa ya mafuta ya gari wala hutomlisha.mwanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.