Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Jana rafiki yangu pale kilabuni kaniambia eti watoto ambao mchana ndio mnaniio .. wanakuwa na sura na tabia nzuri kuliko wa usiku. Sina uthibitisho lakini hata mimi nina watoto 6 ndani ya ndoa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mtanisamehe kama kuna mtu ashawahi post ya aina hii... Nimekaa nikawaza nikaona wanaume wengi wanaopenda kutongoza huku kwenye social networks huwa ni wazito kuongea a.k.a madomo zege kwenye...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Which word will you delete from the dictionary this coming year? Mine is Impossible
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Wazazi (hasa wanawake)nyakati za nyuma walihesabiwa kuwa ni wenye huruma kwa watoto. " Wanawake ambao walihesabiwa kuwa na upendo kwa watoto kwa sababu nyingi ikiwemo ya kubeba ujauzito miezi 9...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Kuna jamaa yangu hapa yupo standby anasubiri ushauri ili afanye kweli/achumbie. Bado hawajafanya lolote hadi sasa(HAWAJAGUSANA) ndio maana spidi yake kali, yaani kilomita 1000 kwa saa. Mchumba...
0 Reactions
175 Replies
31K Views
mwanamke wa kweli mwenye moyo wa umama ametofautiana kwa kiasi kikubwa na mwanamke mwingine yeyote. mwanamke huyu awe amebarikiwa kupata watoto ama la lakin atakuwa na sifa zifuatazo. 1) ana...
30 Reactions
226 Replies
25K Views
Kwa kweli nimejikaza sana lakini nimeona ni kheri ni hoji...... Kwa muujibu wa imani zote za dini hususan ukristo na uisilamu kufanya mapenzi kabla ya kuoana ni uzinzi, wakati huo huo...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Nimekuwa nikisikia watu wanasema kuwa ukiipakata laptop wakati wa kuitumia inaleta upungufu wa nguvu za kiume je hii ina ukweli wowote??
0 Reactions
8 Replies
2K Views
MWANAMKE MPUMBAVU 1.Anamkomoa mmewe 2.Analala mapema kabla ya mmewe 3.Anachelewa kuamka kabla mmewe 4.Mbishi,anahisi kuonewa mda wote 5.Anadhani kumnyima mmewe uny- Umba ni...
7 Reactions
58 Replies
4K Views
Ni upi mda muafaka kumuengage mwanamke? Na after engagement mnaweza stay for how long kabla ya kufunga ndoa na je is it necessary wazazi kuwa aware na hii event, either kuattend or not,, kwa...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Wakubwa zangu shikamooni!!!!!!!!!! Peopleeeeeeeeeeeeessssssssss! Sikukuu kama ya leo ndo muruwa kupima thamani yako kwa mpenzi wako! Leo The Ones wote wanapata lile golden chance la kula bata...
4 Reactions
58 Replies
5K Views
Habari zenu wana JF. Heri ya Xmass na maandalizi mema ya kuukaribisha mwka mpya. Familia inaomba ushauri wenu. Najitokeza mbele yenu kuomba msaada wenu wa mawazo, nina mdogo wangu wa kike...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Kweli hawa vijana wana kazi sana jana nimemuona mdada anaoshwa kucha na jamaa mmoja huku akiwa kavaa kimini isitoshe anajiachia kabisa kwa kupanua miguu dah! Nikajisemea moyoni kweli hawa wajamaa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
If you want happiness for an hour, Take a nap ....... If you want happiness for a week, Go on a vacation ....... If you want happiness for a month, Get married ....... If you want happiness...
0 Reactions
6 Replies
797 Views
Joe - More & More - YouTube
0 Reactions
4 Replies
1K Views
"umaskini wako na maumbile yako ndivyo vimefanya ushindwe kusimamia shoo" hii ni kauli ya ney aliyenitumia leo asubuhi akinijulisha ya kwamba uhusiano wetu umekwisha rasmi,siumii kuachwa wala...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
hili ni tatizo? jamani kila nikipata nafasi nakuwa na mwanamke na wala sitosheki.....! kwa siku nakuwa na wanawake wawili au watatu. hili ni tatizo gani?
0 Reactions
23 Replies
3K Views
sasa mimi ningejuaje kama yeye ni mke wa mtu na haNA hata pete kiganjani?? Yamenitokea jana na sio utani,huyu dada nimekua namfatilia kwa mda mrefu kias chake,,na ni wa hapa hapa mtaani,by the...
1 Reactions
128 Replies
12K Views
Nini kipimo cha Penzi.?
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Jaman nmetabriwa mke wang atakuwa fund xeremala,nfanye nn mimi mtoto wa billgate
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom