Wana jamii forum, ninatatizo sugu!naomba ushauri wenu. Nianzapo night shift game!naanza kumkumbuka small house!!na nimemkataa huyo small houz!nimkumbukapo najawa na hisia!!na nishaoa...
Leo nilikuwa na shida fulani. Nikamuuliza rafiki yangu mmoja anisaidie akasema kuna mdada anaweza kunisaidia. Akanipa namba ya huyo mdada. Hanifahamu wala mimi simfahamu. Jioni hii nikamtext...
So this is christmas
And what have you done
Another year over
And a new one just begun
And so this is christmas
I hope you have fun
The near and the dear ones
The old and the young a very merry...
Wakuuuu bwana na bibi salaamu na Kheri ya christmas...
jamani watu wanatafuta wapenzi kwa mbinu nyingi sana wengine wakiamini maujanja ndio yanawafaa ktk kuwapata wenzi,wengine pesa mbele....nk...
KUNA STORI HAPA NIMEKUTANA NAYO. KAMA NI KWELI, BASI KUMUAMINI BINADAMU NI KAZI NGUMU SANA.
Nilienda kumzika ibilisi wangu!
Ilikuwa ni ajali kubwa na hata mimi sijui niliweza vipi kupona...
Hivi hii tabia ya dada zetu kupenda wanaume wa kizungu au watu wa rangi tofauti sijui mnaitoa wapi yaani mkiona mtu mwingine tofauti na mwafrika mnahangaika sijui kwa nini,acheni bwana wengine ni...
I would gladly start afresh
set the darkness aside and come into the light,
step out of the gloom and laugh again,
But I have nothing left to give.
My light went out, my heart lives in the...
hizi ni baadhi ya sifa a mwanamme aliye serious na kuwa nawe
1. ANABADILIKA
Mwanaume Ambaye Ana Malengo Ya Kuoa Hubadilika Kitabia. Muda Mwingi Hutaka Kuonekana Mtu Mzima Mwenye...
Stacey Tantleff-Dunn mtalamu wa afya ya ulaji na mwonekano anasema kwamba, vipimo vya uzuri kwa wanawake vimegawanyika. Kwa kawaida wanaume hupima uzuri wa mwanamke kwa sura au mwili, lakini...
.. Hiki ni kisa cha kweli na nadiriki kusema Mungu ni shahidi....kimetokea leo........Uncle wangu yuko katika maandaliza ya kuoa na tayari kuna binti ambaye alitarajia kufunga naye ndoa mwishoni...
Habarini wanaJF! Poleni na mikikimikiki ya wiki nzima. The weekend is here and this week tupo na rhymes za Reggae. Mwenye Lyrics anazopenda atupie, mwenye video pia atuwekee... Tujipeni utamu...
Niliambiwa, ulikuwa ni usiku kama huu wa leo wakati watu wakiwa wameenda kwenye misa ya mkesha wa kuamkia sikukuu ya x-mas marehemu mama yangu ndio alikuwa anahangaika kunileta mimi duniani. Naam...
Dear JF MMU members...
Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa kuwa nanyi marafiki zangu kwa kipindi chote cha mwaka huu hadi kufikia leo hii. Ingawa hatufahamiani kwa sura lakini kwa njia hii...
Kwakuwa mapenzi ndo kila kitu katika maisha ya viumbe hai vyote ulimwenguni; binadamu,wanyama, n.k. Nimekuwa nikifikiria sana juu ya mapenzi namna yanavyochukua muda mwingi wa binadamu...
Ndugu mwanaMMU,
Bw Tuko wa JF anayo heshima kubwa kukutakia heri na furaha ya Xmas na mwaka mpya wa 2013. Hakika nina furaha ya ajabu kuwa na rafiki kama wewe. Asante sana kwa ushirikiano...
jamani ni kweli hizi ndio njia za kumtambua mwanamke anayetaka kukuacha ukiona hizi ujue muda si mrefu utaachwa
Kuna tofauti kubwa ya kimaamuzi kati ya mwanaume na mwanamke kwenye suala la...
Bora mlioamua kuolewa na Mababuuuuuuu,Tusubiri kukaa Eda,Lkn hii sampuli ni sawa na kuitundika roho yako juu ya feni,Wazuri wa sura ila MTIHANI Bora uwe na Mwanaume hana hata Meno ya mbele kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.