Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari zenu vingozi!! Jana Niko zangu kijiweni nikiwa na watu wangu wa Town, kichwani nina machungu ya kubwagwa saa chache baada ya kujijitumua kwa binti fuakani wa chuo hapa town...heh! stori...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
huwa navutiwa na mademu walio nizidi umri,na wengi wao ni wake za watu ila tatizo linakuja ni jinsi nimwambie hadi anielewe, msahada wenu tafadhari wadau..
0 Reactions
62 Replies
56K Views
Aisee hii imenitoa kijasho chembamba, na sikuitegemea, Ofcn kwetu kuna dada kaumbika kwelikweli na mke wa mtu ( wanaishi ila hawajafunga ndoa), tumezoeana kwa wingi wa utani na huwa ananiita...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Saa mbili asubuhi, siku kama ya leo. Mkeo amekuomba akae na simu yako kwa masaa kumi tu..hadi saa kumi na mbili jioni. Je utakubali?... utamuachia? Na kama la, ni kwa sababu gani?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
kuna msichana alikua mtu wangu kwa miaka kadhaa iliyopita na nilikuja tengana nae baada ya yy kunibwaga kwa madai kwamba alikua anapoteza muda kwa kuwa na mm.Kwa kweli niliumia sana coz nilikua...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wana Jf, Mimi nimekuwa katika mchakato wa kutafuta mwenzi wa maisha wa maisha kwa muda mrefu na nikaweka malengo ya kwamba kabla ya kumalizika mwaka 2012 niwe nimeshampata...
3 Reactions
68 Replies
6K Views
Jamaa kaja gheto kwa jicho la kulaumu tu, analalamika namna ambavyo siku hizi mke wake amebadirika Amekuwa ni mtu wa kurudi overtime yaani kiufupi haeleweki Hakika jamaa anayo haki ya kunihoji...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimeoa mwanamke wa Tukuyu na hivi sasa tunaishi Tanga ambapo ndio ninafanya kazi na wazazi wa upande wangu wana-reside Tanga pia. Tatizo ni kwamba wakwe wanapenda sana mke wangu awe anarudirudi...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Sijawahi kuwa na mzungu, lakini nasikia watu hawa kitandani ni wabaridi sana. Je ubaridi wao wasabishwa na nini? Smile, cacico, WiseLady, charminglady, sweetlady, gfsonwin, giLESi na wengine...
1 Reactions
138 Replies
20K Views
Ni mvulana mwenye umr wa 25 yrs,n ngumu kuelezea ila nilikua na mpnz niliyempenda sana tulianza uhusiano last year 2011,kabla.ya hapo nilikua na gf ambae nilizaa nae mtt wa kike mwenye umri wa 2...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Wakubwa zangu shikamooni!!!!!! Peoplessssssssss!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mwaka huu unaisha sasa nimeona si busara kutotoa pongezi na Tuzo maalumu kwa hili kundi la wenzetu lenye upendo wa mshumaa...
5 Reactions
271 Replies
12K Views
wapendwa wana mmu kwa furaha kubwa napenda kuwajulisha mimi na mke wangu mpendwa tumebarikiwa kupata mtoto wa pili wa kiume.Wa kwanza ni wa kike hivyo tume balance mambo! tupia tips za malezi...
3 Reactions
55 Replies
4K Views
habari zenu,je ni sahihi kwa ndugu yako mfano dada yako,mama yako au hata housgal wako,au ndugu mwngne wa kike/kiume kuingia chumba unacho lala na mume/mke wako?
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nina mpenzi wangu ambae nampenda sana lakin kabla yangu alikua na mpenzi ambae walipendana sana mwanzon badae jamaa akawa haelewek na hapo ndipo nikawa nae lakin hawakuambiana kua wanaachana sasa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 37 na nina mke na watoto watatu sasa. Kikazi mimi ni mtumishi serikalini na mke wangu by Professional ni mpishi na pia anao ujuzi kidogo wa ushonaji. Mke wangu...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Mwenzenu najiuliza halafu nakosa jibu hapa kipi hakipo sahihi! Tuchukulie wewe ni mwanaume na umekuwa kwenye mahusiano ya urafiki na msichana fulani kwa muda mrefu kiasi kwamba mmezoeana...
0 Reactions
32 Replies
14K Views
hiv jamani nisadien mtu anaheshimiwa kwa kipato au jins alivyo?wapo wanaodai heshima pesa shikamoo makelee kwa maana hiyo vijana hasa ambao bado hatujaolewa kupata wachumba itakuwa shida...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Najua hamjaelewa ninataka kuzungumzia kitu gani. Labda nianzie mbali kidogo. Pindi mwanamke aingiapo katika uhusiano, msukumo wake wa kufanya mapenzi hupungua mno. Katika utafiti fulani uliowahi...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
When I first fell in love..(about 10 years ago), it was the best feeling that I’v ever had!.. she was my classmate and my best friend.. she was everything to me na kama ungeniuliza kipindi hcho, I...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom