Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Ni saa 4 usiku nipo maeneo ya geto kwangu hapa, sasa naishi na jirani yangu ambae aling'oa dogo mmoja wa mwaka wa kwanza udsm, dogo kaja bila taarifa kuspend weekend kwa mchizi, mchizi kafunga...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
kuna binti moja nnasoma naye kwangu anakila sifa za kuwa mwenza wangu wa maisha bt nakosa pozi kabisa la kumtokea nawza kaa akinitosa itakuwaje, napata wakati mgumu sana kila nnapo waza juu ya...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Possessiveness na control ni tatizo kubwa .possessivess ni pale unapoanza kumfuatilia mpenzi wako every move ,mpaka marafiki anaongea na nani,simu yake ndio yako ,facebook,email wengine mpaka...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Umepigiwa simu kuwa mumeo/ yuko guest fulani anavunja amri ya sita, je kuna umuhimu wa wewe kwenda kufumania? Kwanini uende? je unadhani utafaidia au utaathirika?
0 Reactions
66 Replies
9K Views
Habari zenu wana Jf. Nina umri wa miaka ishirini na nane.Mpaka hapa nilipo sijawahi kufanya tendo la ndoa, hii ni kutokana na tatizo kubwa linalonikabiri na kunipa huzuni kwa takribani miaka 15...
0 Reactions
58 Replies
5K Views
Naombeni ushauri ili niweze kumshauri rafiki aliyeniuliza kama anaweza kumhoji mumewe kuhusu mali na vitu vingine alivyonavyo maana huyo mumewe amepata ajali mbaya sana na hali yake hairidhishi...
0 Reactions
68 Replies
4K Views
hivi ni kweli wanaume wana mapenzi ya kweli zaid ya wanawake? nauliza maana hili swala linanitatiza sana maana naona wanaume ndo hawana .... please mawazo yenu wana JF.
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Jamani mke wangu haniamini kabsaaa. Nikienda ofisini nikachelewa kurudi anaamini nilikuwa kwa mademu. Nikichelewa ananifanyia suprise anakuja office bila taarifa ananikuta tena peke yangu, lakini...
0 Reactions
62 Replies
6K Views
Mtu ninakuwa nawe kimapenzi kwa muda mrefu tena tukipeana mapenzi na ahadi motomoto! Tunafanya mengi katika sehemu mbalimbali, nikiwa na matumaini mwisho wa yote tutakuwa pamoja katika ndoa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni nani kwa Tanzania hii unataka na kupenda uwe naye katika mahusiano ya kimapenzi naye.. Awe mwamaume au mwanamke aidha ni mwanasiasa, au msanii au mwanamuziki, au mwandishi wa habari au...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Desemba 24, 1993, siku moja kabla ya sikukuu ya Krismas, msichana Trish Zemba alipanda farasi akiwa anataka kwenda kutembea, pengine kuwaalika wenzake kwa ajili ya sikukuu ya Krismas au kwa sababu...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Wajameni WanaJF! Kila abiria achunge mzigo wake. Mdau kama una mpenzi au mke wako anafanyakazi ofisi fulani, kuwa makini na nyenendo zake za kila siku. Kuna taasisi moja inalipa vizuri wafanyakazi...
0 Reactions
67 Replies
9K Views
Nataka talaka yangu mie!!!!!!!!!!! Yanamtoka maneno binti wa watu. Nalaimika kujiuliza kunani! Nikasogea karibu. Dadisi yangu ikatua kwa ndugu kabisa wa mdaiwa talaka. Kumbe huyu binti aliolewa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanasaikolojia wanadai wamethibitisha kwamba wasichana wengi hujikuta wakiolewa na wanaume ambao ni sawa na baba zao kitabia. Kumbe ndio maana akina mama wengi huwa wanalia sana wakati binti zao...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Namshukuru Mungu kwa 2012 kwa kila jambo, bila ya kusahau family yangu ndugu zangu,na rafiki zangu. Shukrani za pekee ziwaendee members wote wa JF kwa ushauri wao mbalimbali.pia tusamehe popote...
0 Reactions
0 Replies
945 Views
Aliendelea kutusimulia tulikuwa makini kumsikiliza mzee huyu ambae mafanikio ya maisha yalionekana kumfuata, :: "Basi,niliendelea na huduma yangu ya uchungaji ktk kanisa dogo huko...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Jaman nna girl wangu kama miezi 4 sasa, alinipa password ktk account yake fb pia yangu anayo. Sasa katika pita zangu kuna mdogo wa mama yake (uncle yake) yuko masomoni abroad huwa anachat nae...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Naomba kuwauliza WaJF juzi kati nlikutana na mwanandoa mmoja akawa ananipa story anavyolalamikiwa na mkewe kuwa siku hizi amempata nani baada ya mkewe kumtuhumu kuwa kilometer zimepungua wakati wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hii ilitokea miaka kadhaa iliyopita wakati nasoma Secondary School! Wakati tupo kidato cha tatu, kuna jamaa mmoja (jina kapuni and not my friend by then) alikuwa amempenda mdada mmoja ambaye...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
kwa mtu kama mimi ambaye damu inachemka na Kutojiingiza ktk masuala ya nyeto na ubakaji husiokusudiwa vilevile Kutokana na huduma mbovuu za machangu Mixa kuwekeana madawa ya kulevya, Huwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom