Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
wapendwa,nlikuwa safari mkoa flani toka j3 iliyopita na j5 ilikuwa nilirudi home acity!huko nikakutana na moja ya 'project' zangu kali za zamani (wat hapened tuyaache),ila mpk leo jmosi nashindwa...
1 Reactions
86 Replies
18K Views
Niliwahi kutoa stori humu kuhusu kidosho fulani ambaye ana jamaa yake, na alikuwa hajisikii raha kuwa naye coz huyo jamaa alikuwa mpole sana. Kama hukuipata ile stori, isome hapa. Sasa baada ya...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa kawaida wanaume hupenda kuwa viongozi pale wanapofanya tendo la kujamiaana na wapenzi wao au wenzi wao, kwa maana ya kuwaelekeza wapenzi wao wawafanyie hivi au vile ili kuongeza ashki ya...
13 Reactions
110 Replies
44K Views
Imagine sausage(kifaa cha mchochomeo) ingekuwa chaki na kila unapotumia sausage inaisha Kama chaki unapoandika Kwenye ubao inaisha.mngefanyaje?wengine mngeshaishiwa saa hizi
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Kwa wale wanaoniunga mkono, nawaombeni sasa tufike hatua tufahamiane live. Tuanzishe Club za JF ndani ya majiji yetu na ikiwezekana tuwe tunakutana na kujadili mambo mbalimbali yanayohusu jamii...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanabodi, jambo hili huwatokea baadhi ya watu wakiwa kwenye malavi davi na baada ya kumaliza kuduu...huwa inatokea kwa wanaume wanavaa nguo za ndani za mpenzi wake na kuondoka nayo hata kama ni...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
jamani za sa hizi..eeeh mi ni mgeni humu na kutokana na ugeni wangu nilikuwa nahitaji mrembo mzuri,mzoefu na mchangamfu ili anieleweshe na kunielekeza mazingira ya humu.ambaye yuko tayari...
0 Reactions
63 Replies
4K Views
Niliposhindwa kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano dada yangu (mwalimu) na kakangu (businessman kimataifa) walinitafutia chuo cha MIFUGO NA KILIMO Iringa,nilipata nafasi hiyo na wakanipeleka...
0 Reactions
42 Replies
3K Views
Sijui kama ni ugonjwa au lah. But kiukweli Mademu wanao mix lugha ya kingereza na kiswahili ktk maongezi yao huwa wananipagawisha sana lol. Yani ata nikiwa kwenye daladala/kadamnaasi na...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Mimi ni mwana ndoa mme wangu anamwanamke wa nje nimeshakuta msg simu za yule dada nazikuta nimeumia mpaka sasa hv naamua kupotezea ila kinachonisumbua sasa ni mhemuko haniridhishi kabisa ni...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
habar, hv kwel Jaman inawezakawa usionane na mpenzi wako takrban mwez na siku kadhaa kwel na sio mtu waubusy kiivyo, japo mawasiliano yapo pale pale but spending time ni zero na haikuwa hivyo...
0 Reactions
59 Replies
4K Views
:: Niwieni radhi ndugu wana jamiiforum,,wapi kuna jukwaa la kujadiliana mikasa inayohusu Maisha,mikasa..Mapito ya maisha yanayoweza kuwa msaada kwa wale tu ambao,,wana matatizo ya maisha...
1 Reactions
5 Replies
6K Views
Tena Sana! (Endelea kusoma na tafadhali toa ushauri kama unao). Aisee binadamu tuna mitihani.Ni hivi, baada ya kuona utendaji wa dada mmoja hivi hapa kibaruani unashuka (ikiwemo ukali wa ghafla...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimewaza sana jambo hili kama litawezekana hapa JF. Binadamu husemekana ana sherehe tatu 1. kuzaliwa, 2. kuoa/kuolewa na 3. kufariki au kifo sasa mitandao mingi huuliza siku ya kuzaliwa tu na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimekuwa kila mara nikiingia jf na kusoma mada walizoanzisha wengine na watu wengine kutoa michango yao ya namna mbalimbali nakutana na mawazo tofauti tofauti. Unaweza kuta kuna mtu uchangiaji...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Wakubwa zangu shikamooni! Weraweraaaaaaaaaaaaaaaa! Sitoi bila Helaaaaaaa!!!!!!!!! Kama kawa kama dawa Ijumaa hii ndani ya Kikaangio ni Mtu mzima Snowball sharing his Experiance as a responsible...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Jamani hivi hamu kali ya ngono husababishwa na nini? Hata ukicheza mechi masaa manne mfululizo ukikaa kidogo hamu imerudi mahali pake, yaani mpaka mtu anaweza akadhania unataka afie kiunoni kwako...
7 Reactions
130 Replies
9K Views
Heshima kwenu wana JF nyote. Ukweli nahitaji sana msaada wa mawazo yenu. Mimi nimeoa na nina watoto 2. Tatizo kubwa ni huyu mama-watoto wangu. Ukweli ananifanya niujutie uamuzi wangu wa kumwoa...
0 Reactions
48 Replies
3K Views
Wote mlioitikia mwaliko na kufika viwanja vya vatcan village igoma mwanza siku ya jumapili tarehe 16/12/2012 ili kumpongeza binti yangu mpendwa akanganyila nawashukuruni sana! Shukrani hizi...
0 Reactions
10 Replies
799 Views
Back
Top Bottom