Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Hamjambo wote? Huruma ya mwanamke iko wapi kama hata kwenye hili dogo haiwezekani? Mara kwa mara nilikua namchukulia mwanamke kama kiumbe chenye huruma sana, mtu mwenye kuelewa nini maana ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
jf bkufika hadi huku kwetu?
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Uganda's anti-homosexuality bill on hold but gay campaigners fear the worst | Metro News Uganda’s anti-homosexuality bill on hold but gay campaigners fear the worst...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Too often, people spend so much time and energy dwelling on the past, dwelling on mistakes, or dwelling on disappointments. They don’t even realize that their focus is keeping them from moving...
2 Reactions
4 Replies
806 Views
Habari wana jf,leo nahitaji kujuzwa au kupata mawazo yenu kuhusu jambo hili,japo sijui kama lilishawahi kujadiliwa humu au la,kama tayari naomba mniwie radhi, . . .Hivi katika tendo la ndoa,size...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Jamani nina mpezi ninamzidi miaka 16, kwa sasa tunapendana sana. Je, kweli huu upendo wetu utadumu. Naomba majibu kwa wenye uzoefu.
0 Reactions
22 Replies
2K Views
its true jaman kumwambia mtu muachane only to set him or her free wakat unajua anakupenda kwa dhat...its pocbo kabsa jaman....
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jaman wapendwa hv swala la ndoa za mikataba mnalitazama kwa jicho gani? My self napenda ndoa ya mkataba..... vp kuhusu wenzangu mna maoni gani?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wkubwa zangu shikamooni!!!!!!!! Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeessssssssssssssss! Hahahaaaaaaaaaaaa! Leo nimevaa Bullet Proof Mapemaa manake Kuchimbika Hapa Haikwepeki!!!!!! (Hamchoki tu...
18 Reactions
87 Replies
7K Views
Katu usimuoe mwanamke mzuri kama hauna pesa Kwanini nawaambia mwanamke mzuri ukimuoa halafu ukawa hauna pesa lazima utasaidiwa na wanaume wenzako yaani watakuwa wanambinua kila siku mfano nyie...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Namshukuru Mungu amenijalia Kazi nzuri na maisha yanaenda bila tatizo. moja ya changamoto ambayo huwa inaniumiza kichwa ni katika swala zima la muda muafaka wa kuanza maisha ya ndoa, kwa vijana...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
ALIYEDHANIWA AMEKUFA KWENYE AJALI ILIYOTOKEA USIKU WA KUAMKIA JUMAMOSI AFUNGA NDOA HAKIKA MUNGU NI MKUU Bwana harusi Emmanuel Mwangosi akiwa na mkewe Magreth Mtebe mara tu baada ya...
5 Reactions
41 Replies
8K Views
A husband was asked: Do u talk to your wife after sex? His answer: Depends, if I can find a phone.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tacaids na Unicef jana walikoroga majambozi! Ugomvi wao ni kubeza mfumo dume na hawana jipya! Wadai mabinti "wakipigwa", chanzo ni mfumo dume! Mabinti wanapotusonga "tuwawezeshe" lawama mfumo...
11 Reactions
116 Replies
6K Views
habari zenu jamani, natumaini mpo salama.......... Hata mimi nipo Mungu anasaidia, sijafa jamani hadi leo, nimependelewa nipo. Wazee shikamooni, wadogo hamjambo, masinia wenzangu mambo vipi? Ahii...
14 Reactions
123 Replies
7K Views
Baby naomba unicredit vocha ya elfu 5,na ukija hostel usisahau kuja na chips kuku mzima coz nipo na friends zangu,afu nadaiwa elfu 35 nilikopa mpenzi wangu na plz sweet naomba uniongezee elf 30 ya...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
PIPOOOZ....source :@lara 1 jamani mada hii nimeidownload kwenye blog flani ya kulee, si wajua mambo ya blue monday ofic inaboa wakubwa wako kwenye vikao so kupass time tunazuga na ishu ka hizi...
4 Reactions
210 Replies
11K Views
jamani wana jf,naombeni msaada wenu katika hili,mtu akikwambia,i really miss you patotee,katika hiyo sentensi neno 'patotee' lina maana gani?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ni miaka kama miwili imepita. Nakumbuka nilianza naye uhusiano nikiwa mwaka wa nne na yeye mwaka wa mwisho chuoni kwao. Kabla ya hapo nilikuwa karibu naye kwa miaka kama miwili nyuma. Akamaliza...
8 Reactions
121 Replies
9K Views
Back
Top Bottom