Ni marachache sana kukuta mwanaume wa kizungu akiwa na demu wa kibongo(mbantu) aliyetulia,mwenye kujiheshimu,mwenye elimu au hata mwenye kazi mzuri. Badala yake ukikutana na hawa wazungu huku...
Wakuu this is a serious suggestion.
Hizi hadithi za Mtambuzi ni hadithi nzuri sana. Mimi napendekeza zitengenezewe kipindi cha TV. Hicho kipindi kiwe kama soap opera lakini ziwe ni zile...
Wanajamvi habari za mchana,
Ni furaha iliyoje tumepewa nafasi ya kufurahia kufika kikomo cha mwaka 2012
Kuna jambo ambalo linanitatiza kuhusu ndoa na historia zake yaani tangu wawili hawa...
Juzi nikiwa kwenye mgahawa mmoja hivi....
pembeni yangu kulikuwa na wadada wawili wakijuviana mambo ya ofcn kwao. Mazungumzo yao ilikuwa kama ifuatavyo:-
AA. ''ujue( jina) hajaolewa mpaka...
Ndio wewe apo, Nasema Na wewe.. Kati ya wajinga viongozi Na wewe umo, bahati mbaya wajinga wengi hawajijui Kwamba ni wajinga lakini Leo jiwekee mstari wa mjinga.. Hata ikikuuma ni Mjinga tu..pata...
Jamani mwenzenu ninamasikitiko makubwa sana. Shemeji aliyeoa dada yangu ananichukulia mke wangu, nilikuwa nasikia tu fununu siku za nyuma lakini sasa ushahidi umekuwa dhahiri. Kulipa kisasi kwake...
siku hizi kumejengeka tabia akifariki kijana anaotokea familia bora au kama ameacha mali,basi wadada wengi wajawazito watajitokeza na kusema marehemu ndio muhusika wa huo ujauzito,pia utaona...
Dada mmoja anayejihusisha na mambo y kununuliwa na kwenda kutoa kiburudisho kwa mnunuaji alikutwa na dhahama ya aina yake baada ya kukimbia uwanja juzi kati maeneo ya elizaberth lodge in
Dada...
Some songs have the ability to bring fresh memories of someone from our past. Someone we crossed paths with and even loved with every beat of our hearts. Someone not even the stretches of time can...
1.Commitment+Intimacy+Passion= Consummate Love
2.Commtment+Intimacy-Passion= Companionate Love
3.Commitment+Passion-Intimacy= Fatuous Love
4.Passion+Intimacy-Commitment= Romantic Love...
Karibuni kwa mawazo mbalimbali kuhusu mada hapo juu,maana utafiti unaonesha kuwa ndoa nyingi huvunjika na sababu kubwa nisuala la usaliti je unafikiri nini kifanyike kupunguza au kuzuia kabisa...
Nilikuwa na mchumba wangu ambae tulijuana baada ya mm kuweka no. Zangu natafuta rafiki kwenye tv. Ndipo nilipopata wengi na mmoja wao ni huyu niliendelea nae tulikuwa tukiongea kwa cm na sms kwa...
Mapenzi ya Fesibuku
BOY: Baibe, i know i did u wrong but i just ask 4 ua forgiveness....
GAL:[message seen] 3minutes ago.
BOY: Hunnie, pliz just forgive me... am a human being and am not...
Picha haihusiani na habari hii................
Ilikuwa ni mwaka 1999. Wakati huo nilikuwa nimemaliza chuo na nimeanza kuishi peke yangu baada ya kukorofishana na kaka yangu aliyenileta mjini...
Kuna jamaa ana baa hapa mtaani. Kila siku anabadilisha wahudumu. Sasa hivi kaleta vitoto tupu kwenye baa yake, vinadanganya kuwa vina miaka 18 lakini ni wazi kuwa vinadanganya ili watu...
Habari zenu ndugu wapendwa wana MMU wote,
Kwa heshima na taadhima naomba kuwashirikisha mambo yangu wawili yanayohusiana na mahusiano kwa ushauri zaidi na majadiliano,
Case no 1..
Kuna kijana...
Asubuhi unataka kusafiri mara mkeo anakuambia usubiri anakitu anataka akupatie,
wakati ukisubiri mara ghafla mkeo anakujia na box la condom anakupatia huku akikuambia
"nimeona nikupe hili box...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.