Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
mi' ni supplier kwenye kampuni fulani, procurement officer wa pale ni bishosti mmoja, toka nianze kusuply huyo mdada amekuwa ananiletea zile za kidemdem ful txt, sometym cm hata ucku mnene...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Hamjambo wana mmu wote? Bila shaka wanammu mnazifurahia talkshow za hapa MMU kama mimi. Mnakumbuka jinsi interview ya The Boss iliivyokuwa moto, pia ya prosoner xyz. LARA1, naomba wiki ijayo...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Siku kadhaa zilizopita nilikuwa safarini Mbeya. Asubuhi wakati najiandaa kwenda kwenye michakato wale wadada wahudumu wakawa wanafua pale karibu na mlango wa chumba changu. wanaulizana wamehudumia...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Wanajamii,naomba kwa wale walioa kwa wameru au wanafahamu taratibu za mahari kwa wameru inakuaje?awamu ya kwanza unaenda na nini na awamu zingine ni nini.naomba jappo kwa kifupi tu mpangilio wao...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Eneo moja wapo ambalo vigumu kwa wanawake wengi kupata ukombozi kamili Mwanamke anapojiruhusu kudhalilishwa na kujidhalilisha ni pale anapoamua kuwa chombo cha kutumiwa kwa malipo mojawapi ikiwa...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
hivi kwanini wanasiasa vijana kama Nape, Zitto, Mnyika mdee, esta wasira hawajaoa wala kuolewa ni muda wenu mabint na vijana kujitokeza na kuchukua wake na waume
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Awe ameshajenga anagari na pesa.a men is the head of house hold
0 Reactions
159 Replies
12K Views
mimi ni msichana nina miaka 25 sijawahi kulala na mwanaume hata siku moja lakini mchumba angu ananilazimisha nikamuomba anisubiri mpaka tukioana lakini hanielewi naombeni ushauri wenu
0 Reactions
84 Replies
6K Views
Jamani mungu asifiwe mashallah Nina tegemea mtoto nimefurahi Vipi .I will be a mother of 4 children
4 Reactions
104 Replies
8K Views
Ni jirani.Sio mbali sana na nilipokulia.Nawafahamu vema tangu mume wake akiwa ni dobi,mpaka leo ana gari na duka moja ila sasa kwenye kuongeza duka la pili ndipo dada huyu anapoonekana kuwa njia...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimamkini muwazima wanajamii. Kwangu salama kiafya. Naombeni ushauri juu ya hili Nina miaka 3 ktk ndoa yangu lkn toka nilipoacha kazi na kujiunga na chuo maisha ya ndoa yamekuwa magumu tena...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Siku kadhaa zilizopita nilikuwa safarini Mbeya. Asubuhi wakati najiandaa kwenda kwenye michakato wale wadada wahudumu wakawa wanafua pale karibu na mlango wa chumba changu. wanaulizana wamehudumia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa vile humu kuna hazina kubwa ya mawazo imenilazimu nilete hii taarifa humu kupata mawazo zaidi. Jamaa fulani ana mtoto nje ya ndoa. Yeye ni mfanyakazi wa shirika moja la kimataifa na hana shida...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Hali zenu wanaMMU, kuna mada hii nimekutana nayo mahali flani. Naomba tuijadili lugha muhimu za hisia katika mapenzi......Karibuni... 1. KUWA NA MUDA NA MWENZI WAKO Msingi wa kuwa na muda na...
3 Reactions
23 Replies
7K Views
It was yesterday! " Ndipo aliponifuata na kunieleza, " Sijui ni kwanini alinichagua mimi,lakini ndo hivyo,nilianza kumuona wiki moja iliyopita, " Kabla ya hapo nilikua sijapata kumuona ana...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
jaman habari zenu,kama kichwa cha habari kinavyojieleza, unamkuta mdada anakutega mara kibao mara akae uchi mara alete vzawadi sasa ndo nauliza nitajuaje kama hatanichezea? Yani akinipata alaze na...
0 Reactions
62 Replies
6K Views
Katika kukua kwangu nimegundua jambo baya ambalo mwanamke hatakiwi kumwambia mwanaume/mzazi mwenzie wakiwa wamekwazana ni kumtamkia kuwa "KWANZA HAO/HUYO MTOTO SI WAKO". Kuna jamaa yangu...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
kuna akina mama kutokana na matatizo kadha wa kadha inabidi wasaidiwe kubebewa ujauzito na akina mama wengine al maarufu 'surrogate mother' lakini, inaelekea huwa kuna uhasimu wa kihisia baina...
2 Reactions
95 Replies
9K Views
Jamani sikuu za mwisho wa mwaka x-mass na mwanzo wa mwaka ujao zimekaribia, vp mwana JF umejiandaa vp kutoka na mpenzi wako! utamwandalia nini so special katika kipindi hiki? n.b mimi natafuta...
0 Reactions
2 Replies
774 Views
Vishawishi vinavyosababishwa na Teknolojia...... Sasa leo nazungumzia ni jinsi gani vitu hivi vinashawishi na hata kupelekea baadhi ya wapenzi wetu kutumia muda mwingi katika "kona" hizo kuliko...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom