While a man was polishing his new car, his 4 yr old son picked up stone and scratched lines on the side of the car. In anger, the man took the child's hand and hit it many times; not realizing he...
Kufujwa ni kitendo cha mpenzi mmoja kuwa na mamlaka aliyojipa dhidi ya uhuru na haki ya mwenzake. Inaweza kuwa ni kusimanga, kukosoa kupita kiasi kumuita mwenzie mjinga, mbumbumbu n.k. Pia naweza...
Habari Wana JF
Mimi Nina mimba ya Miezi 9 nimebakisha week mbili nijifungue ila mume wangu analazimishia niende nikajifungulie huko kwao kanda ya ziwa, I thought of flying ila flights haziruhusu...
Habari wakuu!
Naomba kujua hasa wanawake wanisaidie katika hili kwanini inakua ngumu kuonyesha hisia zako kwa mtu unayempenda?mfano unakuta dada ametokea kumpenda mwanaume lakini ataishia...
KUJIAMINI ni hali ya kuwa na uhakika juu ya kile unachokifanya, tenda, nena na hata muonekano kwa ujumla.
Kujiamini kunasaidia sana katika kutafuta njia ya mafanikio maishani. Ni suala la muhimu...
Kuna jamaa yangu mmoja anapenda sana kutongoza madem; lakini kila dem baada ya muda ukimwita Shem anaruka maili mia kuwa yeye siyo shem wangu! Ukimdadisi anakwambia jamaa alimshikashika tu na...
Yule Babu Mchungaji wa kimarekani aliyetabiri mwisho wa dunia kua trh 21 May 2011 ameibuka tena na kudai kua Mungu alitusamehe, ametupa nafasi nyingine. Na amesisitiza kua trh 21 oct. 2011...
Ndugu wana JF,
Asalaam aleikum. Mmezoea kuniita mwenye matatizo lakini leo nimekuja na wazo hapa. Mi naona ndoa za wale ambao waliolea kwao au mke na mme wanatoka Mkoa mmoja naona wana raha zaidi...
Former undisputed heavyweight boxing champion of the world Mike Tyson is said to be feeling fine after undergoing successful gender reassignment surgery at a clinic near Beverley Hills. Once...
Mjomba alikuwa akiishi hapa..............!
Ni mwaka 1975 nikiwa sekondari kidato cha nne, nilikwenda Iringa kwa mjombangu kumsalimia. Alikuwa akiishia eneo linaloitwa Ilula, mji ambao uko nje...
The scientific journal Personality and Individual Differences has recently published research on the average erect penis lengths of men around the world, and according to the study, the men of the...
Wana JF,
Kuna mwanachama wetu anajulikana hapa kwa ID ya Ennie ameniarifu muda si mrefu kuwa mmewe kafariki kwa ajali na leo ndo wanasafirisha mwili wa marehemu kuelekea Kilimanjaro.
Dada Ennie...
Wapendwa,asifiwe kristu!asalym aleukumu!..protokal zote zimezingatiwa
Basi pasipo kupoteza muda,nimepewa jukumu na invisible la kufanya zoezi tajwa hapo juu ili ikifika tarehe 31 tupate mdau mkali...
Tukio hili nilisimuliwa na rafiki yangu ambae lilimtokea mjomba wake.
"
"
Huyu bwana huyu anaitwa Hemed.
"
Ni mume wa mke mmoja na pia ni baba wa mtoto mmoja.
"
Bwana Hemed alimfumania...
Dawa ni hii
Uwanja wetu wa leo, utakuwa na kazi moja tu, kujadili tatizo la kuwahi kufika kileleni, kuchelewa kupata nguvu za kurudia tendo, chanzo na tiba yake. Dhumuni la kuandika mada hii...
Kwa nchi kama Canada, US, UK, Australia, Argentine wana sheria zinazoruhusu mwanaume kuwepo mkewe anapojifungua mtoto. Hii husaidia katika kufarijiana na kusaidiana kuabsorb the pain of delivery...
wasichana wa kimjini mjini wanaboa sana. hivi kwann hawapendi kusex sana zaisdi ya kutaka vitu na starehe lkn ukifika wakati wa mechi bao moja tu hoi....! mm kwa kawaida nachapa bao 4 na kuanzia...
For I know the plans I have for you, declares the LORD, plans to prosper you and not to harm you, plans to give you hope and a future.
(Jeremiah 29:11, NIV)
The scripture tells us that...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.