Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
UWEPO WAKO KAMA MPENZI HAUWEZI KUZIBWA NA HELA.... Hii ni kwa wale ambao wanadhani hela ni kila kitu,especially wanaume....Una mpenzi wako yuko mbali,aidha mkoani,au shule anasoma..Huendi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Huyu mzee kila kitu anacho, Vijisenti ndiyo usiseme. Anasema ananipenda na yuko tayari kunifanya nionekane malkia katika ulimwengu huu. Jamani naomba ushauri wenu, nimpe au hapana? Umalkia katika...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Nimekuwa nasikia kuwa mwanaume 'mbantu' akiwa na uhusiano kimapenzi na mwanamke 'mhindi' basi mwanamke huyo akijulikana na jamii ya kihindi basi anauliwa. Je ni kweli?
0 Reactions
1 Replies
889 Views
Cjui nimlaum boss wa shem wangu kwa kutopanga ratiba ya kazi,cjui nimlaumu shost wangu kwa kushindwa kureason au nimlaum shem wangu kwa kushindwa tekeleza timetable na kukubali boss amuendeshe...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Women who lost their virginity as young teenagers are more likely to divorce - especially if it was unwanted, according to new research. The University of Iowa study shows that 31 per cent of...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanabodi mambo zenu! Labda nianze hivi KILA mtu anatamani DUNIA iwe mahali pa salama na watu tufurahie maisha kwa kila nukta ipitayo. Na kama sikosei kila mmoja wetu anatamani MAISHA yake ya...
5 Reactions
51 Replies
4K Views
Dondoo: Mpangilio wa maswali c kwa umuhimu. Baadhi ya maswali yanaweza kuwa yanaelemea imani fulani ya kidini hivyo km halikuhusu potezea 2 mkuu. unajua wajibu wa ndoa na upo tayari kuubeba...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimezoeana sana na huyu mwanamke nimempenda sana,naye kumbe alikua akinipenda ever since tumeanza kuzoeana, because i am kinda charm and so caring and i know this,nimeingia kwenye relation nae...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Leo wakati nakuja kibaruani kwangu, ndani ya gari tulikuwa tunasikiliza radio na wakati huo walikuwa wanachambua magazeti na nikasikia stori iliyonichekesha sana. Katika mchakato wa kukusanya...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Hello my Baby habari ya hasubuhi? Akanijibu, mbaya. Nikamuuliza why? Akanijibu nani leo (Jina Kapuni) kafumaniwa na Mama akizini na ngombe banda la ng'ombe leo alfajiri. Huyo kijana ni ndugu wa my...
0 Reactions
15 Replies
12K Views
Ni stori ya kweli. Mkeo ni mjamzito wa miezi nane amekuaga anaenda kwa nduguzake, wewe ukabaki home umepumzika baadae ukiwa unasikiliza redio unamsikia mkeo live kwenye redio anabishana na wanaume...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
heshima mbele wakuu. baada ya kushiriki humu jamvini kama mgeni leo nimeona nijiunge kisha nipatiwe ufumbuzi wa tatizo langu kutoka kwenu. Mimi ni kijana ambaye elimu yangu ni ya msingi tu...
1 Reactions
47 Replies
4K Views
Mara nyingi huwa nasikia maneno haya umaridadi, utanashati, uzuri, usafi yakitajwa kama vitu ambavyo vina 'add value' kwenye mahusiano. Sasa; Je, hivi ni kwamba maneno haya ni synonymous? Kama...
2 Reactions
44 Replies
10K Views
Tunaambiwa Mungu alimuumba Adam (mwanaume) kwanza ndipo akamuumba Eva (mwanamke), tukiacha MASHOGA pana marehemu Michael Jackson alibadilisha sura yake ionekane kikekike hivi, sasa nasikia Mike...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Mkuu mzabzab baada ya kusoma comment zako nyingi nimejikuta navutika kukuuliza hili swali hapa chini:- Hivi kuna kitu kingine chochote unachoona kwa mwanamke zaidi ya K aka mgegedo female...
1 Reactions
88 Replies
6K Views
Wakubwa zangu shikamooni! Weraaaaaaa weraaaaaaaaaa! Kama kawa kama dawa Ijumaa hii ndani ya nyumba tunae Mtu mzima @Prisoner 46664 ambapo atatiririka on his Personal Experiance of Transformation...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Sifa ya dakika moja yaweza kubadilisha kabisa maisha ya mtu Leo ningependa kuwasimulia kisa hiki ambacho naamini wote tutajifunza. Akiwa chuoni bado mwanafunzi wa kozi ya uhandisi Selemani...
18 Reactions
41 Replies
4K Views
Tukutane tena baadae, mahali palepale uje nikupe tena baadae nakupenda kama ringtone, huna maringo na swaga zako ziko simple, kitandani unanipa masham sham kila mara uko nami, raha zote wanipa...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
Wana JF, Kawaida katika mahusiano kila kitu kinaweza kuwa vizuri katika kila eneo lakini ikakwamba katika upande wa mapenzi upande wa kuridhishana kunako 6 kwa 6. Kwa kutumia uzoefu wenu, naomba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi naishi na mke wangu na tumejaaliwa kupata watoto wawili. Shemeji yangu baada yakumaliza shule, kaja kuishi nasi nyumbani kwangu, nimemtafutia chuo na anasoma nakurudi nyumbani, lakini maisha...
2 Reactions
124 Replies
20K Views
Back
Top Bottom